Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali
Sijui tabia Wala harakati za Mwambe,Ila sijapenda kabisa utenguzi wake...ana sura ya huruma
Moyo umebeba mengi sana. Ndio maana maandiko yanatueleza kuwa ni Mungu pekee anayeweza kuuchunguza moyo wa mwanadamu.
 
Salaam Wakuu,

Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri.


Rais Samia kasema watu Wasimpake matope Lukuvi. Wala Wasimsingizie kwamba anaenda kugombea Uspika bali Wamuache amsaidie kazi Ikulu ya Kusimamia hawa Mawaziri Vijana aliowateua.

"Wengine wameanza kumletea [William Lukuvi] meseji za ajabu ajabu wakijua atagombea Uspika, hatogombea. Ana kazi na mimi. Kaka yangu Lukuvi, yeye ana kazi na mimi, mtaisikia baadaye. Lakini namvuta Ikulu, kazi yetu ni kuwasimamia nyinyi.kasema Rais Samia

Rais Samia amesema Kabudi atakuwa na Kazi moja tu Ikulu, Kusimamia kupitia na Kushughulikia Mikataba yote ambayo Serikali inaingia.

"Kabudi amefanya kazi nzuri sana kusimamia majadiliano ya serikali na mashirika, na ndiyo kazi ninayotaka nimkabidhi sasa kindakindaki...Mashirika yote, kazi zote zitakazoingia ubia na serikali, Kabudi ataongoza hiyo timu. Kwa hiyo yeye ni baba mikataba." amesema Rais Samia Suluhu

Amesema hizi kazi hazipo kwenye Muundo wa Serikali lakini anaona ni Msaada Mkubwa Kwake.

MY TAKE:

Je, Kassim Majaliwa na Mkuchika Wameshindwa kumsaidia rais? Kwanini Lukuvi na Kabudi wawe juu yao?

Kapteni George Huruma Mkuchika yeye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) na Waziri Mkuu ni msimamizi wa shughuli zote za serikali katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anawakilisha serikali katika bunge la taifa. Yuko chini ya mamlaka ya rais.

Hao wamepotezwa kistaarabu tu; ni kwamba rais kasema hatawaki katika serikali yake lakini anashindwa kusema kwa nini hawataki. Alisema atawaondoa serikalini mwake wote wale ambao anadhani wanaangalia 2025 tu, na katika wazito aliowaondoa ni hao Kabudi na Lukuvi, ila sasa ukweli unamsuta, anatafuta namna ya kuwa-acomodate nje ya serikali.
 
Kuondolewa lukuvi na kuwekwa lizi moja kwenye hiyo wizara hata wewe unaona aibu hapoulipo.
kwani Ridhiwani ashawai kuwa serikalini na akatuhumiwa kwa jambo Fulani!, Kwamba amechafuka hafai au
 
Salaam Wakuu,

Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri...
Hah hah misaccos imenuna baada ya mama kusema Prof Kabudi na Lukuvi watakuwa na kazi maalumu Ikulu, ningeshangaa sana kama mama angewatosa hawa waheshimiwa majembe, sasa baada ya kushushuliwa misaccos mnajiuliza na kujibu maswali wenyewe na mumerukia kwingine kwa Majaliwa eti wameshindwa kumsaidia mkuu,je Majaliwa atafanya kazi zote yeye?

si ndio maana ya mgawanyo wa kazi na kuwa na wasaidizi. Misaccos mimacho kodoo,leo mama kawashushua kwelikweli ,hiyo inaitwa kumkoma nyani girani.
 
Utakuja kupelekwa guest house na mwanaume mwenzako kwa tamaa ukiendekeza njaa mjini.

Ofisi ya mwanasheria mkuu ipo chini ya wizara ya katiba na sheria na wanakitengo maalum cha kuangalia mikataba nchi inayoingia na boss wao alikuwa Kabudi...
Kwani Kuna sheria inamzuia Rais kufany hivyo?!
 
kwani Ridhiwani ashawai kuwa serikalini na akatuhumiwa kwa jambo Fulani!, Kwamba amechafuka hafai au

Sio lazina familia nzima kuwa viongozi, nchi inawatu mill karibia hamsini kunahajagani baba,mama,na watoto wote kuwa viongozi tuwe hata na aibu kidogo.
 
Hili jambo halijakaa sawa kabisa. Watu makini unawatoa uwaziri unawapeleka Ikulu kuwa maafisa? Then watu wanaojulikana toka zamani wanautamani urais kwa Kila aina ya fitina unawateua? Mambo ya ajabu kabisa.
 
Watoto wa mjini wameshamzunguka watampelekea majungu na fitina za kutosha badae watamgeuka.
 
Kwani Kuna sheria inamzuia Rais kufany hivyo?!
Ndio maana ukuona post yangu ya kulalamikia teuzi za mawaziri ana mamlaka ya kuteua na kutengua kwenye hizo nafasi.

Lakini akishaona kafanya makosa sio kujibalaguza kwenye kadamnasi umtoe mtu katika nafasi rasmi ya ushauri halafu utuhadae umemchukua akushauri kwa nafasi isiyo rasmi where is the logic.

Embu kasome katiba kwanza kazi ya mawaziri ni nini; tafuta na kitabu cha siasa ujue executive government wanashughuli gani.

Jioni njema kujibizana vitu vingine ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu (kazi bure).
 
Vipi wanaharakati wanaweza kwenda kortini kuhoji vyeo vipya vya Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (Mb) na William Vangimembe Lukuvi (Mb) ?.

Kenya%20president.png

HOMEKENYA COURT SAYS NO MORE 'JOBS FOR PALS', SETS ASIDE 130 APPOINTMENTS

KENYA COURT SAYS NO MORE 'JOBS FOR PALS', SETS ASIDE 130 APPOINTMENTS​


JUN 03, 2021
By


This was a petition brought by two Kenyan organisations that support constitutionalism and open governance: the Katiba Institute and the Africa Centre for Open Governance (AfriCOG). They sued the attorney general and the public service commission, saying that more than 120 appointments to a variety of state corporations made by President Uhuru Kenyatta and members of his cabinet, were unconstitutional.

And as you read the judgment, you could be forgiven for thinking, at first, that the petition would fail. One leg of the argument by the institute and AfriCOG was that the appointments by the President and the cabinet were ‘appointments in the public service’. As such, only the Public Service Commission had the power to make these appointments.

By paragraph 65 (of a total of 122 paragraphs), the court had reached the conclusion that ‘positions in parastatals and state corporations are not positions in the public service’. As a result, a reader could well have thought this would be the end of the matter, particularly since the court’s next conclusion was that ‘appointments to parastatals and state corporations can only be made by the President or Cabinet Secretaries’.

Mandated

What then, was left of the petition? – Quite a lot, as it turned out. For even if the president and cabinet were mandated to make these appointments, the question still remained whether they had done so in a constitutional way, said the court.

The two applicants argued that the statutes under which the appointments had been made were unconstitutional because they did not require that the appointments should be made on the basis of fair competition and merit.

On the other hand, the AG and the others involved in the matter, argued that the constitution provided this space for the President and cabinet members to make appointments to parastatals and state corporations ‘that would enable to government to deliver on the promises it made to the public.’ This was an argument with which the court did not agree, however.

‘Run afoul’

Statutes that became law before the 2010 constitution was enacted did not directly stipulate the same requirements for appointment as post-constitutional laws, said the judges. But the court held that these older statutes ‘should be read with alterations and adaptations necessary to make [them] conform with the constitution’. Because they were to be read in this way, the court could not declare the appointments provisions in these laws, unconstitutional.

However, stressed the court, all appointments made in terms of these statutes had to comply with the requirements of the constitution that they be ‘open, transparent, competitive and merit’ based and that they should take into account ‘gender, ethnicity, diverse communities of Kenya and persons with disabilities’. If appointments were made without regard to these requirements, they would ‘run afoul’ of the constitution.

As to the post-constitutional statutes relating to parastatals, they would clearly have to comply – but in the case of the National Social Security Fund Act, for example, there was no such compliance requirement, and the court thus found the

https://africanlii.org › og-blog-tags
parastatals | African Legal Information Institute

3 Jun 2021 — Kenya court says no more 'jobs for pals', sets aside 130 appointments. By Carmel Rickard. Kenya's President Uhuru Kenyatta has been dealt ...
 
Kama Hamjui ni hivi.. Rais ana angali jinsi ya Kuntoa Kasimu Majaliwa ili Luluvi awe PM.. hii ni ya ndani kabisa ninaye andika hapa nineyapata kwa Mtu wa ikulu ndani.. na hiv Karibuni Majaliwa na pigwa chini Lukuvi ana tangazwa PM..

Mark my alert..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Uongozi lawama sana.
Kwahio hii ni Kazi Mpya au?

Wanajitolea au ni Matumizi mengine ya fedha zetu?

Kwahio kama amewatoa sababu ya umri na wanafaa sana kwa ushauri, wale aliowatoa ili waende wakafanye matayarisho 2025 / hawaendani na kasi yake ni kina nani?
 
Bring your enemies closer😃
Strategic management
1641823983833.png

Ni sawa kama unaendesha a cartel au Kundi fulani la winner takes all ila sio kiongozi wa nchi unayepaswa kuwaunganisha watu, kuunganisha nguvu zao ili nyote muende sawa.... (hapa ni kama kunyanganyana fito za kujengea nyumba moja)

Ila hapo ingekuwa kwenye Mafia Leadership ningesema kacheza vizuri karata (Don Corleone would have been proud)
 
Ni ipi hyo kaz maalumu???ucwe zumbukuku ww
Hah hah misaccos imenuna baada ya mama kusema Prof Kabudi na Lukuvi watakuwa na kazi maalumu Ikulu, ningeshangaa sana kama mama angewatosa hawa waheshimiwa majembe, sasa baada ya kushushuliwa misaccos mnajiuliza na kujibu maswali wenyewe na mumerukia kwingine kwa Majaliwa eti wameshindwa kumsaidia mkuu,je Majaliwa atafanya kazi zote yeye? si ndio maana ya mgawanyo wa kazi na kuwa na wasaidizi. Misaccos mimacho kodoo,leo mama kawashushua kwelikweli ,hiyo inaitwa kumkoma nyani girani.
 
Back
Top Bottom