Maadhimisho na Kilele cha Usomaji Quran kufanyika Siku ya Pasaka ni Dharau na Uchokozi kwa Wakristo au ni Utaratibu tu?

mpaka Jana Usiku Mabango yote ya Barabarani juu ya hilo Tukio tarehe iliyokuwepo ni 9 April, 2023 na sasa baada ya kuona GENTAMYCINE nimewashikeni pabaya mmeamua kubadili tarehe na Venue. Hovyoooooooo....!!!!!!!

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Mashindano yako mengi tu na yatafanywa mpaka hiyo sikukuu ya wayahudi
 
Wewe sio mzima, hapo juu umesema atatuma mtu wa kumuwakilisha halafu hapo chini unasema atahutubiaje sehemu zote mbili, rais kwavile ni Muslim aende kwa waislam wenzie na makamo kwavile mkristo aende kwa wakristo wenzie.
 
Yaana siku ya Pasaka msome Qur'an, kwanini siku hiyo Rais asiende kwenye Misa ya Pasaka?

Na sikukuu ya Idd Dr Mpango aende kwenye swala ya Idd??!!, eti ?!!

Unataka Tz iwe na dini mpya iitwayo "Chrislam" religion??
 
Usidandie mambo usiyoyajua kisha unatukana. Maazimisho yale yanafanyika kwa mujibu wa mwezi wa kislam. Kwenye ramadhani kila siku kumi zinamaana na matendo yake huwezi fanya jambo la kumi la mwisho kwenye kumi la manzoni.

Hiyo sikukuu ya pasaka inayosemwa hapa mwaka jana ilikuwa na tarehe tofauti lakini siku ya usomaji wa quran pale taifa ilikuwa tarehe ileile ya ramadhan fuatilia japo miaka 5 iliyopita.

Haya mambo ya mfungo na ckukuu nyingine za kiislamu ukiyaingiza kwenye kalenda za wazungu lazima uchanganyikiwe kama mpandisha uzi asiyependa kusikia mawazo mbadala.
 
Aisee!!, nasikia neno Pasaka ni distortion ya neno la kizungu Passover ??, ilikuaje passover ikawa ndio sikukuu ya kufufuka kwa Yesu??
 
KILA mmoja Ina wafuasi wake hakuna kuingiliana sioni shida
 
Ni kawaida wafuasi wa shetani kupenda kujifariji kwa kushindana lakini hawatashinda.
 
Wewe sio mzima, hapo juu umesema atatuma mtu wa kumuwakilisha halafu hapo chini unasema atahutubiaje sehemu zote mbili, rais kwavile ni Muslim aende kwa waislam wenzie na makamo kwavile mkristo aende kwa wakristo wenzie.
we ambaye ni mzima unajua ni wapi pana uzito wa kwenda? Hayo mashindano hayana uzito kutolea speech ya taifa bora aende kwenye pasaka ita make sense
 
mpaka Jana Usiku Mabango yote ya Barabarani juu ya hilo Tukio tarehe iliyokuwepo ni 9 April, 2023 na sasa baada ya kuona GENTAMYCINE nimewashikeni pabaya mmeamua kubadili tarehe na Venue. Hovyoooooooo....!!!!!!!

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Duh....
 
Acha uchizi wenyewe wanakwambia mashindano wewe unasema ibada
Mungu gani huyo anayefanyiwa mashindano? Tafuteni jina zuri hayo sio mashindano. Wanaposema mashindano wanatumia muafaka gani katika istilahi ya lugha fasaha? Mambo ya dini na imani yanaitwa mashindano ni kituko
 
Yesu alikula pasaka,so Haina uhusiano na kifo/kufufuka kwa yesu,askofu kilaini alisema ni sikukuu ya kipagani Roma ambapo baada ya kanisa kushika hatamu na kuondoa vitu vingi vya kipagani,wapagani waliobatizwa wakaomba basi walau sikuu hiyo walau Ibaki,kanisa likaona iihusishe na yesu kwa mtindo huo
 
Mungu gani huyo anayefanyiwa mashindano? Tafuteni jina zuri hayo sio mashindano. Wanaposema mashindano wanatumia muafaka gani katika istilahi ya lugha fasaha? Mambo ya dini na imani yanaitwa mashindano ni kituko
Ficha upumbavu wako kwani hapo umeambiwa mungu ndio anafanyiwa mashindano?
 
Aisee!!, nasikia neno Pasaka ni distortion ya neno la kizungu Passover ??, ilikuaje passover ikawa ndio sikukuu ya kufufuka kwa Yesu??
Jibu ni rahisi sana, alisurubiwa siku ya ijumaa kuu, siku ya tatu akafufuka katika wafu.

Yesu ameikuta Pasaka ikisherehekewa, Sasa matendo yaliyotokea ni alama ya Ukristo tangu ijumaa Kuu.

Kuna watu hapa hapa mjini wamezaliwa tarehe 25 December, Kwahiyo siku ya Christmas wao ni birthday yao.

Cha msingi uelewe Yesu ameikuta Pasaka.
 
Hao waislam wa wapi na sikukuu gani ya waislam iliyofungamana na ya kikiristo? Idd kubwa au ndogo, maulidi, ilikua lini!? Yaani waislam washindane na wakiristo, siyo nyinyi mnaohamasishana kutoa sadaka kubwa na siyo mia mia kama waislam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…