Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Watakula pilau wakifungua jioni.Watakuwa wamefunga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakula pilau wakifungua jioni.Watakuwa wamefunga
Mashindano yako mengi tu na yatafanywa mpaka hiyo sikukuu ya wayahudimpaka Jana Usiku Mabango yote ya Barabarani juu ya hilo Tukio tarehe iliyokuwepo ni 9 April, 2023 na sasa baada ya kuona GENTAMYCINE nimewashikeni pabaya mmeamua kubadili tarehe na Venue. Hovyoooooooo....!!!!!!!
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Wewe sio mzima, hapo juu umesema atatuma mtu wa kumuwakilisha halafu hapo chini unasema atahutubiaje sehemu zote mbili, rais kwavile ni Muslim aende kwa waislam wenzie na makamo kwavile mkristo aende kwa wakristo wenzie.Hayo mashindano siya ya kumualika kiongozi mkuu kama mgeni rasmi. Bila shaka atatuma mwakishi wake ambaye kimsingi atakuwa waziri fulani mwenye imani hiyo. Kwanza ni makosa makubwa kuita usomaji huo eti ni mashindano. Kwa mungu hakuna mashindano. Hiyo ni ibada kama ibada zao zingine. Halafu kuweka siku ambayo taifa litakuwa linaadhimisha sikukuu kwa waumini wa kikristo haileti maana nzuri kwa wakristo wa tanzania. Je kama mgeni rasmi siku hiyo ataalikwa na maaskofu kwenda kuhutubia taifa katika maadhimisho ya pasaka ataenda upande upi? Au atahutubia kotekote bila kuchoka? Hao watu wawe wanaheshimu sikukuu za taifa kama zilivyopangwa, ina maana hawajui siku za matukio ya kitaifa mpaka wapange mashindano yao siku hiyo? Hio ni dharau na si busara na hekima
Yaana siku ya Pasaka msome Qur'an, kwanini siku hiyo Rais asiende kwenye Misa ya Pasaka?
Mbona hakuna muingiliano wowote? Waislam watadeal na qur an na wakristo watadeal na pasaka. Mbona kwaresma na Ramadan vimeingiliana na hakuna shida yoyote
Usidandie mambo usiyoyajua kisha unatukana. Maazimisho yale yanafanyika kwa mujibu wa mwezi wa kislam. Kwenye ramadhani kila siku kumi zinamaana na matendo yake huwezi fanya jambo la kumi la mwisho kwenye kumi la manzoni.Na nimeona katika Tangazo lao Kubwa kuwa Mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 April, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE ( Zanaki and Makuwa Think Tank ) ndiyo tutakuwa tunesheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka ( Kufufuka kwa Mkombozi Wetu ) Yesu Kristo.
Nimekaa pale sasa tayari kusubiria Majibu yenu na pia Kusoma Maoni yenu kama Great Thinkers hapa JamiiForums.
Endeleeni kutafuta Watu ubaya Oky?
Ni kawaida wafuasi wa shetani kupenda kujifariji kwa kushindana lakini hawatashinda.Na nimeona katika Tangazo lao Kubwa kuwa Mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 April, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE ( Zanaki and Makuwa Think Tank ) ndiyo tutakuwa tunesheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka ( Kufufuka kwa Mkombozi Wetu ) Yesu Kristo.
Nimekaa pale sasa tayari kusubiria Majibu yenu na pia Kusoma Maoni yenu kama Great Thinkers hapa JamiiForums.
Endeleeni kutafuta Watu ubaya Oky?
we ambaye ni mzima unajua ni wapi pana uzito wa kwenda? Hayo mashindano hayana uzito kutolea speech ya taifa bora aende kwenye pasaka ita make senseWewe sio mzima, hapo juu umesema atatuma mtu wa kumuwakilisha halafu hapo chini unasema atahutubiaje sehemu zote mbili, rais kwavile ni Muslim aende kwa waislam wenzie na makamo kwavile mkristo aende kwa wakristo wenzie.
Duh....mpaka Jana Usiku Mabango yote ya Barabarani juu ya hilo Tukio tarehe iliyokuwepo ni 9 April, 2023 na sasa baada ya kuona GENTAMYCINE nimewashikeni pabaya mmeamua kubadili tarehe na Venue. Hovyoooooooo....!!!!!!!
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Mungu gani huyo anayefanyiwa mashindano? Tafuteni jina zuri hayo sio mashindano. Wanaposema mashindano wanatumia muafaka gani katika istilahi ya lugha fasaha? Mambo ya dini na imani yanaitwa mashindano ni kitukoAcha uchizi wenyewe wanakwambia mashindano wewe unasema ibada
Kwani Wewe humuamini Masiah?Lete kifungu kinachoonesha kua pasaka ni kufufuka kwa huyo mnaemuita .....
Yesu alikula pasaka,so Haina uhusiano na kifo/kufufuka kwa yesu,askofu kilaini alisema ni sikukuu ya kipagani Roma ambapo baada ya kanisa kushika hatamu na kuondoa vitu vingi vya kipagani,wapagani waliobatizwa wakaomba basi walau sikuu hiyo walau Ibaki,kanisa likaona iihusishe na yesu kwa mtindo huoNa nimeona katika Tangazo lao Kubwa kuwa Mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 April, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE ( Zanaki and Makuwa Think Tank ) ndiyo tutakuwa tunesheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka ( Kufufuka kwa Mkombozi Wetu ) Yesu Kristo.
Nimekaa pale sasa tayari kusubiria Majibu yenu na pia Kusoma Maoni yenu kama Great Thinkers hapa JamiiForums.
Endeleeni kutafuta Watu ubaya Oky?
Ficha upumbavu wako kwani hapo umeambiwa mungu ndio anafanyiwa mashindano?Mungu gani huyo anayefanyiwa mashindano? Tafuteni jina zuri hayo sio mashindano. Wanaposema mashindano wanatumia muafaka gani katika istilahi ya lugha fasaha? Mambo ya dini na imani yanaitwa mashindano ni kituko
Jibu ni rahisi sana, alisurubiwa siku ya ijumaa kuu, siku ya tatu akafufuka katika wafu.Aisee!!, nasikia neno Pasaka ni distortion ya neno la kizungu Passover ??, ilikuaje passover ikawa ndio sikukuu ya kufufuka kwa Yesu??
kwa hiyo hapo ni mipango ya wanadamu tu kujifurahisha kwa hayo mashindano bila mungu kuhusishwaFicha upumbavu wako kwani hapo umeambiwa mungu ndio anafanyiwa mashindano?
Hao waislam wa wapi na sikukuu gani ya waislam iliyofungamana na ya kikiristo? Idd kubwa au ndogo, maulidi, ilikua lini!? Yaani waislam washindane na wakiristo, siyo nyinyi mnaohamasishana kutoa sadaka kubwa na siyo mia mia kama waislam?Mimi nimekaa na waislamu miaka mingi Sana,ninachoweza kusema Ni kwamba waislamu Wanapenda kushindana na wakristo ilhali wakristo hawana time ya kushindana na waislamu.
Sehemu niliyokaa,siku za sikukuu za kikristo lazima hiyo siku waislamu wafunge barabara kufanya maadhimisho ya siku zao. Utakuta mtaa mzima wamefunga taa usiku na vitambaa vinapepea barabara zote. Lakini unakuta baada ya ike jumapili kupita, jumapili inayofuata wanakuwa hawana kabisa utaratibu wa kufanya shughuli Kama ile Hadi unabaki kujiuliza Sasa waislamu kwa nini ile jumapili wasingewaacha wenzao wakasherekea sikukuu yao vizuri Kisha wao(waislamu)wakaadhimisha hiyo siku yao jymapili ya leo?
Miaka ya mwanzo kuishi nao nilidhani ni coincidence wanapofanya Hili swala la kufunga mitaa siku za sikukuu za kikristo ili nao washerekee siku zao. Ila baadae nikaja kugundua lengo lao Ni kuzima sikukuu za kikristo zisisikike kabisa. Sijui kwa nini wale jamaa walikuwa washari kiasi kile.