nashangaa sana hii maonesho imekuwa km ya kudaganya watu kila day, historia na maendeleo yanayojadiliwa ni yaleyale kila mwakaKinacho takiwa kufanyika kwenye sherehe hizo,ni kuonesha Taifa limepiga hatua gani kwenye Sayansi na teknolijia sio maonesho ya kupasua matofari kwa kichwa.
Dar es salaam yote ilikuwa mvua.hukuona Tv raisi mwenyewe kaingia na mvua au hata Tv huna?ina maana wakazi wa temeke na kurasini sehemu ya karibu nao mvua? Wewe upo wapi mpaka useme temeke mvua sahiv?
Hilo ni wazo lako na hakukua na hakika kwamba kutakuwa na mvua za muendelezo. kumbuka hili suala linapangwa kwa siku kadhaa kabla ya tukio.sasa c wangesema watu wamfuatilie raisi kupitia runinga zao majumbani akihutubia kutoka ikulu kuliko kodi za watanzania zitapanywe tu
ndio nakuuliza muda huu wewe upo temeke au kurasini? Na upo sehemu gani?Dar es salaam yote ilikuwa mvua.hukuona Tv raisi mwenyewe kaingia na mvua au hata Tv huna?
Hawakuwepo wale ni migambo,walipoanza kuigiza Kwa kurukaruka wakisema ni makomandoo nilizima runinga..Karne hii? Aibu hawaangaliagi Kwa wenzetu kama Kwa kiduku,china urusi na kwingineko?Kuna muda wanafanya kupandisha Mori kama morani wa kimasai,duh my kantreWakuuu naomba kuuliza hivi wanajeshi mbona siwaoni kwenye gwaride?
kuhusu kujua sehemu yangu hilo halihusiana na mada mkuu.ndio nakuuliza muda huu wewe upo temeke au kurasini? Na upo sehemu gani?
Naona mtumbwi hapo 🤣🤣🤣🤣Usafiri wa shida ndugu yangu na mvua hizi 😁😁😁
View attachment 2974281
Yawezekana pia ikawa watu wamechoka na huu muungano au hawaoni faida yake - hasa Wadanganyika!
View attachment 2974284
kwwni huko china, urusi na kwa kiduku huwa hawafanyi gwaride?Hawakuwepo wale ni migambo,walipoanza kuigiza Kwa kurukaruka wakisema ni makomandoo nilizima runinga..Karne hii? Aibu hawaangaliagi Kwa wenzetu kama Kwa kiduku,china urusi na kwingineko?Kuna muda wanafanya kupandisha Mori kama morani wa kimasai,duh my kantre
Bila picha?Wakuu natizama maadhimisho ya muungano, idadi ya watu mpaka Sasa ni ndogo mno kulingana tukio lenyewe. Je, ni uwepo wa mvua ama ni watanganyika kutokuona umuhimu wa tukio lenyewe na kukatishwa tamaa na jinsi mambo yanavyoendeshwa nchini?
Maoni yenu wakuu.
Muungano si wawananchi,huu muungano ni wa viongozi kugawana vyeo.Wakuu natizama maadhimisho ya muungano, idadi ya watu mpaka Sasa ni ndogo mno kulingana tukio lenyewe. Je, ni uwepo wa mvua ama ni watanganyika kutokuona umuhimu wa tukio lenyewe na kukatishwa tamaa na jinsi mambo yanavyoendeshwa nchini?
Maoni yenu wakuu.
wewe ndio mjuaji na mshamba. Hapa maeneo ya selassie kukavu na hiyo mvua si mvua ya kusema watu washindwe kutoka . Sema hakuna msukumo wa watu kwanini aende huko . Unafikiri simba na yanga mvua ingekuwa inanyesh uwanja ungeacha kujaa? Uwe unaacha ujuaji wa kijinga. Achana tu na mtaa wa makaburini hao wanaoishi huo mtaa unaotazamana na uwanja wa taifa watu wamelala ndani na geti la uwanja analiona.kuhusu kujua sehemu yangu hilo halihusiana na mada mkuu.
Suala ni kwamba wakati ule tangu asubuhi kumekucha kulikuwa na mvua kubwa at least muda huu imepungua.
Kuhusu Temeke na Kurasini pia mvua ilikuwepo na Ushahidi ni picha za moja kwa moja toka Uwanjani. Punguza ujuaji wa kishamba
Mtu hapendwi au Muungano?Ivi hata watu 50, wamefika kweli 🤔🤔, ni ishara tosha huyo mtu hapendwi.
Bora niangalie upendo tv na katuni za junior kuliko niangalie tbc,itv,clouds channel tenMvua ina nyesha mji mzima barabara zinazo elekea uko na mjini zime fungwa una tegemea watu wakajazane uwanjani wakati local channel zote ziko MBASHARA
1.Muungano hauna faida kwa mwananchi wa kawaida,so why attend,binafsi sioni faida.Ni a lunatic tu anayeweza kuhudhuria sherehe za nanna hiyo.Wakuu natizama maadhimisho ya muungano, idadi ya watu mpaka Sasa ni ndogo mno kulingana tukio lenyewe. Je, ni uwepo wa mvua ama ni watanganyika kutokuona umuhimu wa tukio lenyewe na kukatishwa tamaa na jinsi mambo yanavyoendeshwa nchini?
Maoni yenu wakuu.