Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
bonge kadhalilishwa sana. kama ni mimi ,baada ya hii adhabu ambayo haipo kisheria, ninaanza kutafuta mtu mmojammoja kwenye makazi yake na kumfanyia hiviviNimeona kuna video clip inazunguka ambayo inaonyesha maafisa uhamiaji wakimsulubu jamaa bila kujali ni kosa gani ametenda ni aibu kwa idara hii ambayo inatakiwa ku-enforce law badala yake amefanya kitendo ambacho kisheria hatujui tunakiitaje.
Mfumo wa haki jinai na makosa yake unaelekeza vyema kamata mtu peleka mahakamani na siyo kama inavyoonekana pichani.. kama umebainika kuingalia video hiyo kuna sehemu wana sema wamepata maelekezo kutoka kwa PCO (sijui ndio Nani)
Haya yote ni Madhara ya matumizi mabaya ya neno “jeshi” siku za hivi karibuni maafisa hawa wanajiita jeshi la uhamiaji nachojua uhamiaji inafanya kazi kimuundo kama inavyoelekezwa kwenye immigration act ya mwaka 1995 aliyesema uhamiaji ni jeshi ndio ametuletea Haya mods usifute huu uzi tafadhali uhuru wa kuongea uhuru maoni
View attachment 1800944
View attachment 1800945
View attachment 1800946
View attachment 1800947
View attachment 1800948
.
This is barbaric, Waxiri wa Mambo ya Ndani ajiuzulu, hatuko a Police State.Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria.
Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa kijichukulia sheria mkononi?
Nachelea kusema haya mambo yakiachwa raia wengi watakuja athirika nayo. Hizi athabu zikiachwa ziwe zinatolewa na vyombo vya dola ubinadamu wote utaondoka. Tutabakia na Unyani.
Jamaa alipaswa akamatwe na apelekwe sehemu stahiki ili sheria zikafuate mkondo wake.
kuna kitu hujakielewa kuhusu kuishi kwa sheria. unaendeshwa na hasra na mhemko wa kutendewa baya. ni bora wewe raia umuue mwizi wako kimya kimya kuliko chombo kinachofanya kazi kisheria kutumia njia hiyo hiyo. kuna madhara na tafsir tofaut. we hapo traffic akikukamata unaendesha speed akaamua kukuvua nguo na kukupiga viboko kwa kuhatarisha uhai wa watu, utarud hapa hapa kulalamika. penda kuheshim sheria. penda utawala wa sheria. kuwa na akili pia.Hawa sio wale wa tuma kwenye number hii me tapeli siwezi muonea huruma ya asha liza wengi
kwa mtu anayejielewa na ANA NYENZO uko sahihi kabsa. kwamba umenihudumia nje ya sheria na mimi nitakulipa nje ya sheria. dhana ya utawala wa sheria ndo mboni ya haki na ustaarab. watu wengi wanapenda sheria tu kama ni kwa haki zao tu. serkali timamu haifanyi kazi kwa mhemko kama mtu. uzuri tuna serkali timam ila tuna watumishi wachache ambao ....bonge kadhalilishwa sana. kama ni mimi ,baada ya hii adhabu ambayo haipo kisheria, ninaanza kutafuta mtu mmojammoja kwenye makazi yake na kumfanyia hivivi
Uzuri ni kwamba majinga yamejirekodi yenyewe. Ushahidi tosha...Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria.
Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa kijichukulia sheria mkononi?
Nachelea kusema haya mambo yakiachwa raia wengi watakuja athirika nayo. Hizi athabu zikiachwa ziwe zinatolewa na vyombo vya dola ubinadamu wote utaondoka. Tutabakia na Unyani.
Jamaa alipaswa akamatwe na apelekwe sehemu stahiki ili sheria zikafuate mkondo wake.
Litaundiwa tume...Hili tumelipokea na tutalifanyia kazi.
Na wewe kafanye utapeli kama wa huyo tapeli mwenzio ili wakupeleke mahakamani mkuu!! Ikiwezekana kafanye ujambazi kabisa ili wakupeleke mahakamani kwa raha zako!Ficha upumbavu wako. Kwanini asipelekwe mahakamani? Hii nchi siyo ya manyani kila mtu kuchukuwa sheria mikononi! Idiot!
Vipi na wewe unafanyakazi ya utapeli mkuu?Kama ni mwendo wa kujichukulia sheria naomba na sisi raia tujilinde hapo namuona huyo sgnt bonge aliyemkanyaga Teke anaishi ukonga, huyo jamaa anayemuuliza nikuonyeshe demo anaitwa alix..
Waziri tunaomba hatua zichukuliwe kwa hawa watu . Dola la kikatili kama ndui Idi Amin. loooooooooooooooNianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria.
Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa kijichukulia sheria mkononi?
Nachelea kusema haya mambo yakiachwa raia wengi watakuja athirika nayo. Hizi athabu zikiachwa ziwe zinatolewa na vyombo vya dola ubinadamu wote utaondoka. Tutabakia na Unyani.
Jamaa alipaswa akamatwe na apelekwe sehemu stahiki ili sheria zikafuate mkondo wake.
Kuadhibu mtuhumiwa bila kumfikisha kwenye vyombo husika kunatoa loophole kwa watu wasiyo na nia njema kutenda unyama. Hii siyo kanuni yangu bali ni kanuni ya maisha yenye ukweli. Kuna raia wengi wasio na hatia wameathirika na wengine kuua kwa sababu ya hili jambo. Nchi ina sheria na taratibu. Ni lazima zifutwe.Na wewe kafanye utapeli kama wa huyo tapeli mwenzio ili wakupeleke mahakamani mkuu!! Ikiwezekana kafanye ujambazi kabisa ili wakupeleke mahakamani kwa raha zako!
Hapa ni Tanzania au Sudan? pumbafu kabisaNianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria.
Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa kijichukulia sheria mkononi?
Nachelea kusema haya mambo yakiachwa raia wengi watakuja athirika nayo. Hizi athabu zikiachwa ziwe zinatolewa na vyombo vya dola ubinadamu wote utaondoka. Tutabakia na Unyani.
Jamaa alipaswa akamatwe na apelekwe sehemu stahiki ili sheria zikafuate mkondo wake.
HATA JAMAA MWENYEWE MPUMBAVU. NINGEKUA MIMI NISINGETII HATA MOJA YA AMRI WALIZOKUA WANAMPA. INGEBIDI WATUMIE NGUVU NA INGESAIDIA KUWAUMBUA ZAIDI JAMAA HAWA WALIOHARIBIWA NA AWAMU YA TANO.Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria.