Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra


wale waliosema kushika sana dini ni uwazimu hawakukosea,sasa ukimkagua ukamkuta sio bikira hautamwoza mwanao??
 
Mkuu gonga like.
 
Huwezi ukakagua kila mara alafu mtoto akaitoa bikra Mkuu. Mbona ipo wazi.

yaani nimepata picha utakua mzazi wa aina gani nimekosa jibu,ningependa kukuuliza tu je na wewe ni 'baraka' kwa wazazi wako...najua umejua ninamaanisha nini….

mnhhh kuitoa bikra ni saa yoyote akikutana na fataki huko nje,hujanijibu ukiikuta haipo utafanya nini?
 
wewe ndio huelewi kukataza ngono ni sawa na kukimbiza upepo...bikira zinatolewa daily,wake up...hata uwafungie wanao na makufuli..ipo utaskia tu zilishatolewa siku nyiingi


Kama ni Mkristo, unadhalilisha Wakristo.
Unadhalilisha wazazi wako kuwa hawakukulea ipasavyo. Nilitegemea utakiri kuwa ni kosa na tunapaswa tulipinge wewe unaniambia ni-wake up. Atakaye kuoa anatapata tabu sana ikiwa ndivyo hivi ulivyo.

Naomba Mungu Uwe una-comment for funny lakini kama upo real, ni shida
 

Hilo litafanyika likitokea kwa sasa siwezi sema nitafanya nini. Mimi Ni Baba, kama nimesimamia kwamba Mke wangu nimuoe akiwa bikra na ikawa. Siwezi shindwa kuwaoza wanangu wakiwa mabikira. Mungu atanisadia coz ninafanya lililo jema
 

hahahaaaaaaaaaaaaaa usinitishe mkuu,atakayenioa ni mtu ambaye tunashibana na kuelewana kwenye mambo mengi..kwa hili lako nimeshangaa hata yeye atashangaa,na wala sio kuwa napinga tu ni kweli nashangaa at this time mtu anaweza kuwa na mawazo kama yako…..sio kosa,lako umelelewa kwenye misingi ya dini iliyopitiliza….again,sikushangai kama kuna wanaoua kwa sababu ya dini...
 
Bikra haihusiani na kujua kupika wala kupenda nduguzo bali ni malezi kutoka kwa wazazi wake.
 
Mkuu siku hizi hata wa Mama wanaogopa kuwakagua mabint zao.
Mtoto darasa la saba unaweza ukakuta hana bikira, utandawazi umetuharibu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…