Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tupo tu tinachangia kwa kujiaminiWalioooa Empty set watapita kwa hoja za povu au kwa ukimya wa hali ya juu [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona zamani walikaguliwa Mkuu?
Embu soma hapa Kumbukumbu la torati 22
15 ndipo babaye yule kijana na mamaye watakapotwaa alama za yule kijana za ubikira, wawatolee wazee wa mji langoni;
16 na baba yake yule kijana awaambie wazee, Mwanamume huyu nilimpa binti yangu awe mkewe, naye amchukia;
17 angalieni, amemwekea mambo ya aibu, asema, Sikuona kwa binti yako alama za ubikira, nazo hizi ndizo alama za binti yangu za ubikira. Na wayakunjue yale mavazi mbele ya wazee wa mji.
Mkuu gonga like.Samahani mleta mada wewe ni peter wa muna maana issue za kugombania watoto ziko nyingi ila wewe umekomaa na hii ya patrick-muna-peter? Mbali na hilo hii mada yako ni nzuri na ina ujumbe mzuri unaofikirisha. Kuna mda hata mimi ujikuta namchukia mwanamke wangu ninapokumbuka nilivo mkuta hana bikra. Na imani yangu ni hiyo hiyo uliyoielezea ya kuwa wanaume wote tuliochukua wanawake wasio na bikra tunaishi na wake za waume wenzetu.
Ndoa ni agano inafungwa pale tu mtu mme anapolala na mtu mke aliye na bikra. Wengine mahusiano yetu yako kijamii zaidi ili mradi tulienda makanisani/misikitini/bomani haimanishi kuwa tumefunga ndoa kiimani. Huko tunaenda tu ili kupata uhalali wa kuishi kwenye jamii pasipo kusumbuliwa ila kwa Mungu mwanaume halali wa ndoa ni yule aliyetoa bikra ya mwanamke husika - hao ndio wanafunga lile agano halisi la ndoa. Mengine tunayofanya ya kupelekana makanisani nk ni utaratibu tu wa hapa duniani ili jamii iweze kuwa tulivu kidogo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] amboni[emoji23] [emoji23] [emoji115] ukishaona jamii ya comment hizo basi ujue jamaa kakuta AMBONI moja ila pole mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufanya zinaa Mkuu Mbona huelewi. Kutokuolewa na bikra ni kosa mkuu
Daaah una hasira kichizi, washakufanyia nn hao mkuu.
Huwezi ukakagua kila mara alafu mtoto akaitoa bikra Mkuu. Mbona ipo wazi.
wewe ndio huelewi kukataza ngono ni sawa na kukimbiza upepo...bikira zinatolewa daily,wake up...hata uwafungie wanao na makufuli..ipo utaskia tu zilishatolewa siku nyiingi
Mkuu usiniambie mimiOa mwanamke bikra mcha Mungu, Mpe jukumu la kuwatunza watoto. Mwanamke akiamua hakuna kinachoshindikana ndani ya nyumba. Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono miwili.
yaani nimepata picha utakua mzazi wa aina gani nimekosa jibu,ningependa kukuuliza tu je na wewe ni 'baraka' kwa wazazi wako...najua umejua ninamaanisha nini….
mnhhh kuitoa bikra ni saa yoyote akikutana na fataki huko nje,hujanijibu ukiikuta haipo utafanya nini?
Mkuu usiniambie mimi
Mi nilishapitwa na wakati, niko na mke wa mtu hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni Mkristo, unadhalilisha Wakristo.
Unadhalilisha wazazi wako kuwa hawakukulea ipasavyo. Nilitegemea utakiri kuwa ni kosa na tunapaswa tulipinge wewe unaniambia ni-wake up. Atakaye kuoa anatapata tabu sana ikiwa ndivyo hivi ulivyo. Naomba Mungu Uwe una-comment for funny lakini kama upo real, ni shida
Afadhali nimekutana na comment ya masikitiko. Heri yako unayekiri kukosea kuliko kujifariji kwa hoja chovu.Uzi mzuri kweli tulikose na nyie ndo mliotutoa na hamkutuwowa wametuwowa wengine basi tutawaombea mabinti na watt wetu wa kiume wapate baraka za kuzitunza.
Bikra haihusiani na kujua kupika wala kupenda nduguzo bali ni malezi kutoka kwa wazazi wake.Ukiangalia hakuna mwanamke ambaye hajawahi kuwa bikra, hata malaya aliwahi kuwa bikra. Kwahiyo kama bikra ni kitu ambacho kila mwanamke aliwahi kuwa nacho, kinachokuja kutofautisha mke mzuri na mbaya ni mambo mengine kabisa. Ukipata bikra oa, lakini usije kulalamika humu hajui kupika au sijui hapendi ndugu zangu. Mfundishe, ni bikra huyo.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu siku hizi hata wa Mama wanaogopa kuwakagua mabint zao.Ndio hivyo Dadaangu, kama wewe ulikosea jitahidi kwa wanao. Kwani unashindwa kumwambia mtoto wako wa kike kila baada ya muda fulani nitakuwa nakukagua kama umeanza mchezo mbaya au laa. Wazazi wanachakujibu kuhusu hizi ishu.
Embu fikiria Lutu ni mzazi wa kiume lakini anauhakika kabisa mabinti zake wako sildi. je wewe utashindwa?
Mkeo ulimkuta bikra sheikh?Mfalme huwezi mpa kiporo vinginevyo aongozwe na tamaa tuu.
Wanaume wajinga hawajui umuhimu wa bikra kutokana na akili zilivyoshikwa