Michelle98
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 673
- 2,066
Huenda haujanielewa, me namaanisha kuwa wenye hizo bikra bado wamuombe Mungu waweze kushnda vshawish mpk watakapokutana na waume zao usku ule wa ndoa yao ndo wazitoe.Huwezi omba ulichopewa Budah labda uwe hamnazo.
Ndio maana hata ulivyoandika hapa hujamuomba Mungu bali umefanya kwa uwezo wako.
Ishu ya Bikra ni ishu iko wazi kabisa, huna haja ya kuomba Mungu katika hilo labda mungu wa maboksi
Huyu bado mvulana na hana uzoefu wowote na ndoa. Atajuaje kuoa kunakujaje?!! Msamehe bure!Uzi ni mzuri ila haujakamilika ongezea nyama kidogo
Halafu nakukumbusha tena na tena kwa nia njema
Mapenzi hayana hayo mambo mkuu
Usishangae wewe ukaja kumpenda muuza bar na ukawa kiziwi hata usisikie ushauri wa sisi marafiki zako
Napenzi yana sili sana msipende kuongea mambo kiwepesi wepesi
Na Kutemewa Mate Pwaa!!!Hii weekend unapokea msonyo
Sio haki kivipi yani?? Waliwaoa kama walikuwa hawaoni umuhimu wa bikra ni shida zao. Hakuna aliyewafata akawaambia huyu mwanamke sio bikra Ila muoe kwa lazima waliamua wenyewe. Kumbuka unachokitaka wewe sio lazima na mimi nitakeajabu yake hata dada zako woote, shangazi zako (namwacha mamako) hawakuolewa na bikra lakini wewe unataka kuoa mwenye bikra. hiyo sio haki.
Kvp bro?Kuoa mwanamke masikini ni kucheza na serikali
Mbona kama una justfy jambo ambalo tayari limeshaanza kuleta madhara kwenye jamii?!Kila mtu ana maamuz binafs juu ya mwli wake, lkn kuna walobakwa zkatoka. Na wengne hawakuona umuhimu wa kujitunza, na mambo yanabadilika kila itwapo leo.
[emoji4]Muhim n kuombea watoto wetu na kuwafundsha kujitunza, na thamani iliyopo katka kujitunza. S wakike ama wakiume kujitunza n muhimu kwa jisia zote.
................ujue nn kila jambo huwa na chanzo na pia zama zmebadilika, kadr utandawaz unavyoozd na maadili yanazd kuporomoka.Mbona kama una justfy jambo ambalo tayari limeshaanza kuleta madhara kwenye jamii?!
Unajua hii mitazamo ya kimagharibi ya kifeminist itakuja kuwagharimu sana mabinti wa kibongo siku zijazo. Maana mnapenda sana kufosi vitu ambavyo ni unecessary.