Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Huwezi omba ulichopewa Budah labda uwe hamnazo.

Ndio maana hata ulivyoandika hapa hujamuomba Mungu bali umefanya kwa uwezo wako.

Ishu ya Bikra ni ishu iko wazi kabisa, huna haja ya kuomba Mungu katika hilo labda mungu wa maboksi
Huenda haujanielewa, me namaanisha kuwa wenye hizo bikra bado wamuombe Mungu waweze kushnda vshawish mpk watakapokutana na waume zao usku ule wa ndoa yao ndo wazitoe.
 
Uzi ni mzuri ila haujakamilika ongezea nyama kidogo

Halafu nakukumbusha tena na tena kwa nia njema

Mapenzi hayana hayo mambo mkuu
Usishangae wewe ukaja kumpenda muuza bar na ukawa kiziwi hata usisikie ushauri wa sisi marafiki zako

Napenzi yana sili sana msipende kuongea mambo kiwepesi wepesi
Huyu bado mvulana na hana uzoefu wowote na ndoa. Atajuaje kuoa kunakujaje?!! Msamehe bure!
 
Bikra wapo na wasiyo na hizo bikra pia wapo, kila mtu ana uamuz na vipaumbele vyake linapofka suala la ndoa.

Hivyo bas kila mtu na aheshimu uamuz wa mwingne..........heshmu vipaumbele vya wengne maana kila mtu ana uhuru wa kuchagua.
 
ajabu yake hata dada zako woote, shangazi zako (namwacha mamako) hawakuolewa na bikra lakini wewe unataka kuoa mwenye bikra. hiyo sio haki.
Sio haki kivipi yani?? Waliwaoa kama walikuwa hawaoni umuhimu wa bikra ni shida zao. Hakuna aliyewafata akawaambia huyu mwanamke sio bikra Ila muoe kwa lazima waliamua wenyewe. Kumbuka unachokitaka wewe sio lazima na mimi nitake
 
Ukioa mwanamke maskini mwanao atateswa sana na serikali ya CCM. CCM ni ile ile na hii nchi bado inaendelea.
 
Kila mtu ana maamuz binafs juu ya mwli wake, lkn kuna walobakwa zkatoka. Na wengne hawakuona umuhimu wa kujitunza, na mambo yanabadilika kila itwapo leo.



[emoji4]Muhim n kuombea watoto wetu na kuwafundsha kujitunza, na thamani iliyopo katka kujitunza. S wakike ama wakiume kujitunza n muhimu kwa jisia zote.
Mbona kama una justfy jambo ambalo tayari limeshaanza kuleta madhara kwenye jamii?!

Unajua hii mitazamo ya kimagharibi ya kifeminist itakuja kuwagharimu sana mabinti wa kibongo siku zijazo. Maana mnapenda sana kufosi vitu ambavyo ni unecessary.
 
Huyu bado mvulana na hana uzoefu wowote na ndoa. Atajuaje kuoa kunakujaje?!! Msamehe bure!


Kama ungekuwa na bikra ningekufanya Mke WA pili, nipo ndani ya ndoa mwaka wa 8 sasa,

Huo uvulana anao mtoto wangu wa Kwanza.
 
Mbona kama una justfy jambo ambalo tayari limeshaanza kuleta madhara kwenye jamii?!

Unajua hii mitazamo ya kimagharibi ya kifeminist itakuja kuwagharimu sana mabinti wa kibongo siku zijazo. Maana mnapenda sana kufosi vitu ambavyo ni unecessary.
................ujue nn kila jambo huwa na chanzo na pia zama zmebadilika, kadr utandawaz unavyoozd na maadili yanazd kuporomoka.



Na pia kwann wanaweke, kwani wanaume hawahitajiki kujitunza. Linapokuja swala la kujitunza bas lizungumzwe kwa wote, kwan wanajitoa hizo bikra wenyewe?? Na hao wanaowatoa kwann wasiwaoe kama tatzo n bikra, yapaswa woote waolewe maana hakuna aliyezaliwa bila bikra


Sasa kama elimu ya kujitunza wapewe wote, wakike na wakiume hii huenda itaokoa jahaz liszame.
 
Kwema Wakuu!!

Binti wa kuanzia miaka 18 kuendelea ni Mkubwa na anaweza kubeba majukumu Kama Mama, tofauti na Sisi wanaume ambao mpaka walau tufikishe miaka 25-27.

Ukibahatika maana ni bahati kukuta mwanamke Bikra mwenye umri wa miaka 18kuendelea Kwa Zama zetu.
Ukikutana na Mwanamke WA hivyo oa upesi.
Utakuja kunishukuru.

Hakuna Raha Kama ukutane na Mwanamke Bikra alafu uwe First love wake. Utakula maisha mpaka ukome.
Ninauzoefu na Jambo hili. Na wapo waliofuta ushauri wangu ni mashahidi. Wanakula Raha za maisha.

First love ndio mapenzi halisi, ndio upendo halisi
Kikawaida mwanamke Hapendi mara mbili.
Kikawaida mwanamke hapelekeshwi mara mbili.

Mwanamke akishatendwa na Mpenzi wake wa Kwanza hawi tena Kama alivyokuwa, upendo wake unashuka Kwa zaidi ya 50%.

Lakini ukiwa WA Kwanza atakupenda Kwa 100%.

Watu wengi wanasema wanawake ni wabinafsi na pesa Yao hailiwi, ni kweli Kama wewe sio First lover wa uliyemuoa lazima awe mgumu kwenye kukupenda Kwa moyo wake wote.

Najua kuna watu watabisha, lakini huo ndio ukweli. Hata wanawake wenyewe wanalijua hili.

Mwanamke anaumizwa mara moja tuu kwenye mapenzi, tena anaumizwa na Mpenzi wa Kwanza. Maumivu ya Mpenzi wa kwanza ni OG Kwa Asilimia 100% lakini wewe mwenzangu na miye sijui wakumi huko umuacha ataumia kidogo tuu.

OA mwanamke Bikra utakuja kunishukuru
 
Sawa.

Ila mkuu kwa huo umri hawa madogo wanakuwa Bado wanamambo mengi wanataka kujaribu, kumuweka ndani mwanamke wa miaka 18 ni hatari San wengi wqo japo sio wote akili zao znakuwa Bado hazijakomaa.

Ni bora kuoa 26 bikira kidogo huyu kwa huo umri unaweza sema kakwepa mishale mingi sana na unaweza muamini ila sio hivo vya 18 of age
 
Back
Top Bottom