Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Sawa. Aliowa kabla ya Utume lakini hakuiwa bikra.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Upo sahihi Mkuu
 
Bikra nyingi zina usumbufu sana. Nashauri kuzisahau tu maana siku hizi hakuna kabisa.

Hata ardhi bikra ziliisha watu wanaparamia mwezini huko [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]


Bikra zipo nyingi sana mkuu, Binafsi nilipokuwa nasoma Chuo pale Udsm, nillikutana na bikra tatu. Moja niliikata ambayo kwa sasa ndio Mama wa wanangu.

Hizi nyingine niliziacha coz sikutaka kuingia lawama kwani nilijua sitawaoa. Binafsi ni rahisi kuchezea mwanamke asiye bikra bila kusikia hatia kubwa tofauti na kumharibu mwanamke bikra wakati najua sitamuoa. Kiukweli sitokuja nifanye hilo.
 
mi sijawahi kutana nazo. wapi huko ambako unazipata? au sababu utu uzima unachangia. wazee wenzetu huko ulaya wakienda ulaya mashariki zipo za kununua na latini america. ni nafuu kwa walio ruka stage kama mimi
Mkuu ukiwa na age kubwa uwe na gari na hela y@ mboga then zungkia vyuoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 

😅😅😅😅😅😅 kumbe bikra ni kwa ajili ya kuolewa. Asante kwa elimu hii mkuu
 
Zama zile wanaume walisaidiwa na washenga kuzitoa hizo bikra. Siku hizi, wanasaidiwa kubanisha papuchi kwani anadhani kakosea njia. Ndo maana mchina anafaidi mapesa anayopelekewa kuwauzia bikra fake kumbe ni kubana papuchi tu
 
Zama zile wanaume walisaidiwa na washenga kuzitoa hizo bikra. Siku hizi, wanasaidiwa kubanisha papuchi kwani anadhani kakosea njia. Ndo maana mchina anafaidi mapesa anayopelekewa kuwauzia bikra fake kumbe ni kubana papuchi tu
hahahahaah
 
Natamani kujua Zaidi kazi ya bikra kwenye ndoa. Ila nitajifunza taratibu haswa kwenye kizazi hiki cha sasa ambacho bikra hazina uwiano sahihi wa matunzo. Mbele imo nyuma imetoweka and vice vice versa.


Hahaaha! "Mbele imo nyuma imetoweka" Nimecheka sana Mkuu.

Hakuna bikra ya nyuma mkuu. Bikra ipo mbele kutokana na huko ndiko kuliko halali.
Tofauti ya hapo ni Uasi tuu.

Bikra humpa heshima mwanamke, familia yake na ukoo kwa ujumla. Ni dalila ya kusema familia ile imetulia.
Amini nakuambia sisi wanaume tuliowengi ni rahisi kuamini na kujivunia kuwa na mwanamke bikra kuliko asiyekuwa nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…