fierceman
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 553
- 757
fafanua huenda mimi bongo yangu ni empty setEither hujamuelewa au umeamua tu kumbishia naweza kujitolea kufafanua tena alichokisema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fafanua huenda mimi bongo yangu ni empty setEither hujamuelewa au umeamua tu kumbishia naweza kujitolea kufafanua tena alichokisema.
Labda nikuulize ki2,, una mtoto wa kike ambaye hajafikia kuolewa, then anakwambia "mama leo nimetoa bikra"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] reaction yako ya kwanza itabase kwenye ubaya au uzuri??? ukijibu hili swali utakuw umeelewa kwamba facts zinatokana na hisia na maono...[emoji23] [emoji23]
Kama kuna mwanaume ameoa mwanamke asiye na bikra basi hii mada itakuwa inawatesa sana hasa pale anapo mtazama mkewe na kumbuka vijana wanvyo shikilia bango za bikra na utamu wake.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwa hiyi utaanza kukimbizana na mtoto wako wa kike kuhakikisha habikiriwii???? Yani ukitaka kumchungaa Ndo utaharibu kabisaa...UTAHARIBUUU...we ukiwa na mtoto huto jali??? maana kwa maswali yako nahakika huna mtoto...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Umtoe wapi mkuu Kama Gigy money Ana 20....Na kama yupo tena mwenye Age kuanzia 23 ajitokeze nitampa mtaji wa milion 10
Ww ndo hujanielewa mkuu hiyo ni point iliyo ndani ya maada iliyopo, na nikudhani asiyeoa bikira ni mjinga means aliyeoa bikira mwanamke hata kama hajitambui basi ni mjanja kisa katunza bikira kumbe wenzio wenye akili washindwa kukaa na asiyejitambua
Mkuu kwa umri wako ushawahi kutana na wasichana wangapi above 20 wenye Bikra zaoo tuanziee hapoo!! Maana naona mnaongea hadithi tu hapaaMkuu nimewa-term kama wajinga kutokana na sababu kuwa; hivi kuna vitu viwili kimoja kipya cha pili ni kichakavu uanadhani mwenyea akili atachagua kipi na mjinga atachagua kipi.
TUACHE KUJIFARIJI BHANAAH... BIKRA INA LADHA YAKE BHANAAH...
KAMA UMEKOSA KUBALI TU UPAMBANE NA HALI YAKO... USITIE TIE KASORO... WEWE ENDELEA TU NA MAKOMBO YAKO... SISI TUENDELEE NA BRAND NEWS ZETU...
HIZI NI FADHILA ZA ALLAH ANAMPA ANAYEMTAKA... NA ANAMNYIMA ANAYEMTAKA... UKIPEWA BIKRA SHUKURU TENA ZAMA HIZI TOA NA SADAKA YA SHUKRAN UKIOA UKAKUTA BIKRA ORIGINAL... LAKINI UKIKOSA VILEVILE SHUKURU... UTAPEWA KINGINE...
ANAYEBISHA... NI SAWA NA KUUKATAA ULEMAVU ULIONAO...
KUNA JAMAA HAPA NAONA ANATAFUTA KILA NAMNA KUPINGANA NASI... ILA UKWELI NI KWAMBA ANAITAMANI BIKRA...ILA HAJUI ATAIPATIA WAPI...
Katika maelezo yako nimegundua vitu vi2.. either watu wako wa karibu huw wanakudominate sana or umejibu kukwepa mtego wa swali langu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila watever it is nimependa maelezo yako [emoji23] [emoji23] [emoji23]Najua unafahamu kuwa reaction yangu iwe kwa ubaya au uzuri haiwezi kuwa reaction ya dunia nzima hivyo haitoshi kupima usahihi wa kutoa bikra. Kwa maana nyingine mimi siwezi kuwa kigezo cha usahihi wa fikra katika jambo fulani.
Ok, nijibu swali sasa reaction yangu itategemea na umri wa mwanangu, kama she is above 22. Wala haitanisumbua, kama she is below 22 then nitakaa nae nimuulize je anaelewa vizuri hicho alichokianzisha ? Nimueelekeze uzuri na ubaya katika umri huo alioanzia kufanya mapenzi, zaidi sana nitareact kwa ubaya/ ukali ikiwa she is below 18. Kwasababu katika umri huo mara nyingi kwa nchi yetu mtoto anakuwa bado shule kwa maana ya O-level kama aliwahi basi atakuwa A-level, huyu kwangu bado mtoto mdogo , japo kwa sheria ya nchi 18 years ni mtu mzima, mi nimechagua 22 kwa mtazamo wangu ambao sio lazima sote tuwe nao.
DA HUSTLA
fafanua huenda mimi bongo yangu ni empty set
Kama hiyo bikira muhimu sana mbona mkishaipata humo kwenye ndoa na bado unaenda kutafuta hao wasiokuwa na bikira uliwaacha huko mwanzo?Maskini umejibu kinyonge kweli
Labda nkukumbushe hakuna mwanaume bikra,jilaumu kwa kuigawa hii zawad adhimu kwa mumeo kabla ya ndoa
Ufundii sasaa...!Kama hiyo bikira muhimu sana mbona mkishaipata humo kwenye ndoa na bado unaenda kutafuta hao wasiokuwa na bikira uliwaacha huko mwanzo?
"mlee mtoto katika njia ipasayo nae hata iacha hata akiwa mzee " ki2 kibaya anachoweza kufanya mzazi ni kujisahau kwamba anahusika kwa asilimia kubwa kutengeneza tabia ya mtoto[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwa hiyi utaanza kukimbizana na mtoto wako wa kike kuhakikisha habikiriwii???? Yani ukitaka kumchungaa Ndo utaharibu kabisaa...UTAHARIBUUU...