Maandalizi kuelekea maandamano ya amani kesho Novemba 9

Maandamano ni haki ya kisheria, hilo ni hitaji la sheria na wala sio maoni yako au ya mjomba wako.

Kusema Mbeya haihitaji maandamano unamaanisha Mbeya haifuati sheria za nchi, jambo ambalo sio kweli, kaa chini wacha mihemko tumia ubongo kufikiri, sio kupiga kelele kila wakati.
 
Akina Lucas ni watu waliofilisika kwa hoja wanategemea tu mabunduki hawana tofauti na Hamas au Janjawed wa Sudani
 

Wahuni wako Dodoma:



Na wengine wako busy kuuza Bandari na rasilimali zetu.
 
waandamanaji haramu wote kesho wadhibitiwe na kuwajibishwa kikamilifu na ipasavyo bila huruma hata kidogo.
miongoni mwao ni muhimu sana rapsha zikiwazidi afya zao, wapelekwe wakapate fursa ya kuona huduma za afya zilivyo boreshwa katika awamu hii ya sita, na wao wakiwa miongoni mwa wanaopatiwa huduma hizo kuanzia kesho......

hao ni majambazi na waporaji wa fedha na mali kwenye vibanda na maduka ya wavuja jasho wenye bidii katika nchi hii. wasionewe huruma hata kidogo, ili iwe fundisho kwao na kwa familia zao....

mashamaba na ardhi yenye rutuba vimejazanaa nchini, uvivu tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…