Maandalizi kuelekea maandamano ya amani kesho Novemba 9

Hata wakilengwa akina mdudu na mwambu itafaa sana wanataka kutuchafulia nchi yetu

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
MAANDAMANO ya Amani kuna mtu atachukua bunduki??Polisi CCM darasa la pili changanyeni akili zenu,mama zenu wanatumia vibatari,mikaa,kuni,macho mekundu ,hivi hamuoni hayo mateso?Mumeibiwa fedha zenu za michango ya kuzikani mpo kimya!!mukistaafu mnaomba hadi sigara!!hivi Kwa nini hamuoni hayo mambo?
 

Hawawezi kukuelewa mbuzi koko hao:

 
Nina uhakika mtoa post hatakuwepo kwenye maandamano haya.

Si tulikubaliana ustaarabu ni kupambana na mada na si mleta mada.

Wewe si nabii Titto. Wewe unataka katiba mpya hutaki? Umezuiliwa kushiriki? Si umeambiwa usipoweza kwenda Mbeya hata vaa chupi nyeupe basi?



Tokeni mashimoni huko Kuna mvua za El Nino. Mtafia humo.

Bure kabisa!
 
Njooni mjifunze kufanya mauaji ya kimbari, tunajua bila kumwaga damu hatutoweza kuipata Tanganyika yetu
 
Brother we ni hopeless kwa kifupi unatia aibu
 
Hata nyie mnaojifanya kuandamana mkipewa madaraka mtafanya kama mtakaowatoa, hakuna mzalendo hata mmoja hapo kila mmoja anapambania maslahi yake

Hao kina mdudu na yule mbarikiwa wote wanasehemu zao za maokoto, huko kujifanya wazalendo ni danganyatoto mkipewa madaraka na nyie mtaiba hela, mtaweka ndugu zenu kwenye nafasi nyeti

Hakuna mtu asiyetaka maisha mazuri ni mfereji wako wa mautamu haujauchimba sehemu sahihi/ chanzo kizuri ..

Hivyo basi kesho laleni tuu, ungeni juhudi mle mema ya nchi kama wengine.

CCM haitoki leo wala kesho madarakani na haitaweza kusikiliza kelele zenu
 

Kinachodaiwa hapa ni katiba mpya na rasilimali za taifa kuwa kwa maslahi ya wananchi.

Ya madaraka yanatoka wapi? Au ulikuwa waandika kwa uzi upi? Au labda wewe ni mmoja katika timu hii pendwa ya maokoto?

 
Kinachodaiwa hapa ni katiba mpya na rasilimali za taifa kuwa kwa maslahi ya wananchi.

Ya madaraka yanatoka wapi? Au ulikuwa waandika kwa uzi upi? Au labda wewe ni mmoja katika timu hii pendwa ya maokoto?

View attachment 2808095
Acheni kutapatapa
Mara loliondo
Mara katiba
Mara IGA
Mara mmeonewa

Acheni kutapatapa kama warax wa mrina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…