Naiweka kama nilivyotumiwa na Classmate wangu.
Wana 4U movement mkoa wa kilimanjaro kma ambavyotumekubaliana kwenye kikao chetu juu ya kwenda dar kwenye uzinduzi wa kampeni za lowassa tutaondoka moshi mjini saa 12 jioni
Tutaondokea Mekuz na viongozi wa msafara watakuwa makamanda wetu fredi mushi na Paul matemu tuwah jamani
Tumeamua kuondoka mda huo ilitupite usiku kwa usiku wasione kma lowassa ametoa watu mikoani lkn pia tulishakubaliana tutampa kila mtu nauli yake ya daladala ilituingie jangwani kwa daladala kuwaaminisha watu kuwa tumekwenda kwa mapenzi yetu. Msisahau majina ya hoter zenu mtakazofikia ukisahau wasiliana na mratibu wako.
Maelekezo mengine mtapewa na viongozi wenu
By Dr Juma Mwininga
Mratibu Mpya Wa 4U movement na Team lowasa Kitaifa
nchi ina utaratibu......na sheria zifwatwe
Na imeandikwa, kesheni mkiomba. Sasa huyu anakesha kuhakikisha fisadi anaenda Ikulu!
Nawasihi sana UKAWA kesho msiruhusu wasanii pale ...Please and Please...Tuwe tofauti
hawajachimbia bomu chini?
kilamuruzi bwana, hela zilizoibwa kwenye hazina ya Serikali kupitia Meremereta, EPA,Escrow na kwenye Mfuko wa Barabara uliokuwa unasimamiwa na Magufuli wewe umetingwa kudai hela za Biashara ya Mbowe. Nyie mlikuwa mnasema CHADEMA ni Kampuni ya Mbowe na Mtei, leo mwenye Kampuni "Kaiuza" nyie mnapiga kelele. Tatizo letu na nyie ni kwa nini Serikali haikuchukua Kodi kwenye biashara hiyo??
Na ndo wakati wa kuimarisha ulinzi kwa maalbino.Wakati Kama Huu Waganga Wa Kienyeji Ndio Wanakuwa Na Biashala Maana Mwanasiasa Asie Na Yesu Bas Anamganga Wake Wa Kienyeji
Sasa hv hakuna teamlowassa wala 4um zote zimekufa. Zote zimeshakufa! Sasa hv ni teamchadema na ukawa basi!
Hizi ni porojo!
Sasa hv hakuna teamlowassa wala 4um zote zimekufa. Zote zimeshakufa! Sasa hv ni teamchadema na ukawa basi!
Hizi ni porojo!