Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Unayebisha ni kuwahi jangwani utuletee video sasa hivi
 


pole sauna dr magufuli,

naona na huruma sana KWA nini ilibidi ukipokee kikombe hiki.

sikiliza madaktari, fanya kampeni KWA pace yako, usijaribu sana kupambana na watu waliokwisha fanya maamuzi,

take time to sleep, tumia vena phd yako kusoma nyakati, lala usingizi, usikeshe kuwa za Ikulu.....


life ice has got lots to offer you, your family also needs you, taifa pia, Sio lazima uwe Raisi. Kazi zippo nyingi, uwezo wako unajulikana, mamlaka hutoka KWA Mungu......

tumia helikopta, ongea Muda mfupi.....we still need you....
 

weka picha/video sasa we vp
 
Bakulutu,kule nyuma ya umati ni jengo au nini? yale maandishi hayasomeki vizuri.
 
Kwahiyo upo uwanjani sahizi au kiherere cha 'be the First' baada ya kupata 'title' itakayouza whole day na kupata wachangiaji.???

Sioni mantiki ya thead usiku huu ilihali hakuna jipya linalofanyika hadi kuche asbh saa4.



Unanishangaza sana wewe.........kwanini sasa ukapost si ungeboresha tu kama wenzio wale magamba??
 
Kikwete akiwaambia mnaunganisha picha huwa mnakataaga sasa na hapo mmeanza uongo.wa wazi wazi hiyo si shoo ya fiesta
 

Mkuu, sio kesho. Ni Leo.
 
Kuna maandishi ambayo yanajieleza kwenye jukwaa la nyuma na hao watu wanaonekana walikuwa wanaangalia kitu kikiendelea kwa makini.Tuache ushabiki wa kupitiliza bwana.Hii si kweli.
 



Kha ha ha haaaaaaa!! Kamanda hili la leo watalizungumzia white house daaadekiii!!

Yetu ni moja tu,kurusha yajirio live Watanzania wajioneeee!!!!!
 
Kwa watu wanaofahamu kazi tunazofanya kwa pamoja hapa jf kwa Live Updates Usitegemee Hilo mkuu..

Wewe Usibanduke hapa...


Aisee pamoja sana kamanda hapa roho imetulia sasa yaani raaaha burdani....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…