Maandamano Iran: Hadi watu 35 wamekufa baada ya mwanamke kufia mikononi mwa polisi

Maandamano Iran: Hadi watu 35 wamekufa baada ya mwanamke kufia mikononi mwa polisi

Uwe unauliza vitu usivyovijua badala ya kujifanya unajua,watu wanaopaswa kuuawa kwenye uislam ni wawili tu,aliyeua..na huyu kuuawa kwake idhini itoke kwa ndugu wa aliyeuliwa,wa pili ni wale wanaowapiga Vita na kuwaua waislam
Wa tatu , anae badili dini yake
"Muhammad said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"Sunan an-Nasa'i 4063
 
Uwe unauliza vitu usivyovijua badala ya kujifanya unajua,watu wanaopaswa kuuawa kwenye uislam ni wawili tu,aliyeua..na huyu kuuawa kwake idhini itoke kwa ndugu wa aliyeuliwa,wa pili ni wale wanaowapiga Vita na kuwaua waislam
Wa nne , washirikina
Koran 9;5. Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo,...
 
Kuna nchi za kipuuzi kweli ukifanyika uchaguzi utasikia fulani kashinda kwa 99%hao wanaandamanaji wanawaumbua.
 
Uwe unauliza vitu usivyovijua badala ya kujifanya unajua,watu wanaopaswa kuuawa kwenye uislam ni wawili tu,aliyeua..na huyu kuuawa kwake idhini itoke kwa ndugu wa aliyeuliwa,wa pili ni wale wanaowapiga Vita na kuwaua waislam
Mohd mwenyewe kasema auliwe anayeiacha dini yake,wazinzi....yaani hamna tofauti na kibaka akikamatwa mpaka vibaka wenzie wanamsulubu.
 
Kipindi cha Mariam hakukuwa na wahalifu kama walikuwepo hawakuvaa hijab?MUNGU ndio anajua kama wewe ni mwema ama la wala si appearance yako.
Mkuu Mungu anajua lakini swali linakuja kulikuwa na haja gani kuteremshiwa kitabu? (Quran)., Sisi waislamu Quran ndio kioo chetu kila jambo tunafuata huo muongozo na nyenendo za Mtume wetu S.A.W., hakuna jambo jimpya ambalo tumejitungia na kufanya maamuzi kama unavyodhani. hakuna
 
Ati mungu Hana dini!!!(mungu anayo dini(utaratibu) aliowapa watu namna gani wamuabudu,kuhusu Muhammad na Musa hayo tunafundisha humu kila siku,Soma Qur'an 5:20-21 utapata habari za Musa,Kisha Soma Qur'an 2:30 na 2:38 utapata habari za Adam,ukitaka kupata mtazamo wa uislam juu ya manabii wengine uwe unagoogle Moses in Qur'an,Jesus in Qur'an,Abraham in Qur'an nk...ili kutupunguzia kuwekeza kila siku
Unaposema Mungu anayo DINI maana yake na yeye kuna anayemuabudu ama?

Quran si mnasema Mohamed ndo alishushiwa na mwaka wa Kiislam unaanzia wapi? Sasa Mussa aliabudu kutumia Dini gani hebu nijibu hapa.
 
Uwe unauliza vitu usivyovijua badala ya kujifanya unajua,watu wanaopaswa kuuawa kwenye uislam ni wawili tu,aliyeua..na huyu kuuawa kwake idhini itoke kwa ndugu wa aliyeuliwa,wa pili ni wale wanaowapiga Vita na kuwaua waislam
Kwahiyo mtu asipokubaliana na imani yako anatakiwa auwawe?
 
Naskia wanataka na ruhusa ya kwenda uwanjani kuangalia mpira wa miguu na michezo mingine.

Nako walipigwa marufuku pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom