Maandamano Iran: Hadi watu 35 wamekufa baada ya mwanamke kufia mikononi mwa polisi

Kwanza elewa hilo vazi amelichagua mwenye Allah katika Quran kwa mwanamke wa kiislamu, lakini pia akabainisha kwamba uchi wa mwanamke ni mwili mzima isipokuwa paji lake la uso, vikanja vya mikono na miguu.

Shida kubwa inakuja kwenye matamanio mwanamke anapo expose maeneo yake ya mwili ukitoa haya yaliyotajwa kuna uwezekano mkubwa sheitwan akapata nafasi ya kujipenyeza na kusababisha kile ambacho sasa dunia inahangaika huku na kule kuweka sheria za kitwaghuuti ili kikome kutokea ingawa inashindikana.

Kwa wale ambao hawana dini au dini zao zilizokaa kimya kwenye maandiko yao wanaona ni jambo la kawaida lakini ukifanya tathmini mwanamke aliyejisiriti na aliye expose mwili wake ni wazi ibilisi atatokea kwenye huyo aliyeachia maungo yake ya mwili ingawa haimaanishi kwamba wanavaa kisheria hawatakuwa na hilo tatizo lakini imeangalia uwezekano wa kukwepa hiyo setuation.

Kuhusu rangi ya vazi kuwa jeusi nadhan ni mtazamo wako, hakuna rangi maalum ya mazi sharia inataka ujisitiri tu
Nyie hata hamueleweki shetani ni nini?
 
Kwanza elewa hilo vazi amelichagua mwenye Allah katika Quran kwa mwanamke wa kiislamu,
Hijab ilibuniwa na Umar na Muhammad aka copy kutoka kwake , ilikuwa wake zake muhammad wanavaa hovyo wale gang member wa muhammad wakawa wakiingia wanawatamani , Umar ndio akaja na idea ya Hijab alipambana na idea yake mpaka muhammad akakubali akaipachika kwenye koran

Nukuu ya waislamu wanatujuza aya ya hijab ilipotokea
Umar said:.... , both righteous and evil doers enter your wives, so why don't you tell them to observe the hijab? Then the verse of hijab was revealed. ...... and it was revealed like that. Musnad Ahmad 157
 
Acha porojo, suala la kuvaa hijabu kwa muislamu ni jambo la kisharia kwa nchi yenye dola ya kiislamu hili sio jambo geni zaidi ya kutii sharia, ingawa sina hakika sana kwamba ukikataa kuvaa hijabu inabidi kuuliwa.

Dini zilizobaki ukitoa uislamu zimebaki kimya sana kwenye mambo kama haya ndio mana unakuja hapa na kudharau hijabu kwasababu ukiristo siku zote unakuwa umekaa kimya kwenye baadhi ya mambo mengi hayana fatwa katika kitabu chenu ndio mana tuna mashaka na ukiristo.

Mama maryam mama yake yesu alivaa hijab lakini wakiristo wameacha kufuata mila ya mama yake yesu mama maryam lakini pia hamutaki kujua kwa nini alivaa, ukiristo uko kimya sana, lakini cha kushangaza munatii sheria zinazotungwa makanisa makuu huko roma italy na marekani
We hata kuandika hujuii
 
Relax
Nukuu ya waislamu wanatujuza aya ya hijab ilipotokea
Umar said:.... , both righteous and evil doers enter your wives, so why don't you tell them to observe the hijab? Then the verse of hijab was revealed. ...... and it was revealed like that. Musnad Ahmad 157
Nakuuliza umeacha kuphillwa na misalaba!?
 
Kutukana kwako hakubadilishi mtunzi wa hijab kuwa Umar

Mama mariam kuvaa hijab ilikuwa ni aina ya mavazi ya watu wa huko.
Si vibaya mtu kuvaa hijab lakini why iwe lazima?
 
Masai vilema wapo! Na hata jana nilimuona pale Dodoma!
Wale wamasai wa Dodoma wana tabia za wagogo wameishi maisha Yao yote kule sababu ni wafugaji kama wagogo, hawana tabia za kuua vilema na albino kama kule Arusha.
 
Nadhan sasa umekubali hoja, katika uislamu hakuna nchi ambayo inaabudiwa, waislamu kote duniani wanaifata Quran na mienendo ya Mtume wetu S.A.W

Hakuna hahabar za roma wala vatican, dini ya kiislamu haikuletwa na updates kutoka ulaya na magharibi, taratibu zake ni zile zile since memorial tofauti na nyinyi mnaopangiwa dini kutoka magharibi
Basi unajiona mjanjaa na dini hiyo uliyoletewa ,unajiona ushamaliza maisha
 
Sasa mwenzetu si utakuwa unadindisha 24/7 ? Kwa siku unakutana na wanawake wangapi wenye nywele nzuri?
Kuvutia na kudindisha hapohapo!!?..siyo kwamba nitamsaka na kupanga mipango ya kuzini nae!?
 
Kutukana kwako hakubadilishi mtunzi wa hijab kuwa Umar

Nukuu ya waislamu wanatujuza aya ya hijab ilipotokea
Umar said:.... , both righteous and evil doers enter your wives, so why don't you tell them to observe the hijab? Then the verse of hijab was revealed. ...... and it was revealed like that. Musnad Ahmad 157
Aya anashusha Allah sw,bichwa Kama kitimoto akili hakuna..kamasi tupu,waislam wamesema waislam wamesema,uislam ni dini ya Allah sw siyo ya waislam
 
Ata uruke ugaregare itabaki muanzilishi wa hijab ni Umar na hajatunga hiyo tu mpaka ibada ya jiwe pale macca ni yeye alileta idea

Nukuu ya waislamu wanatujuza aya ya hijab ilipotokea
Umar said:.... , both righteous and evil doers enter your wives, so why don't you tell them to observe the hijab? Then the verse of hijab was revealed. ...... and it was revealed like that. Musnad Ahmad 157
 
Ata uruke ugaregare itabaki muanzilishi wa hijab ni Umar na hajatunga hiyo tu mpaka ibada ya jiwe pale macca ni yeye alileta idea

Nukuu ya waislamu wanatujuza aya ya hijab ilipotokea
Umar said:.... , both righteous and evil doers enter your wives, so why don't you tell them to observe the hijab? Then the verse of hijab was revealed. ...... and it was revealed like that. Musnad Ahmad 157
Bado unaphilwa na misalaba!?
 
Bado unaphilwa na misalaba!?
Kazi yangu ni kukuelemisha mtunzi wa hijab ata utukane vipi atabaki kuwa Umar

hijab ni Umar na hajatunga hiyo tu mpaka ibada ya jiwe pale macca ni yeye alileta idea

Hujaacha kuphilwa na misalaba!?
 
Hujaacha kuphilwa na misalaba!?
Mtunzi wa hijab atabakiwa kuwa Umar

Back
Top Bottom