Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WaIslam wote dugu moja.Wao na dini yao nami na dini yangu.
Usiuchanganye Uislam na Muislam.WaIslam wote dugu moja.
Bila Muislam moja moja hakuna Uilsam.Usiuchanganye Uislam na Muislam.
Unaweza kuwa Muislam jina na si Muislam mwenye kuufata Uislam.Bila Muislam moja moja hakuna Uilsam.
Utamaduni wa waarabu ni kuabudu masanamu Nabii ibrahim alimkuta baba yake anaabudu masanamu makanisani Mtume S.A.W aliwakuta watu wengi makka na makafir lakini baada ya kupewa utume akawafundisha kuhusu uislamu,Arabic culture tu hiyo hakuna cha Dini
Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119Una ushahidi wa Hilo?..pili hiyo ndoa yako unayotoa mahari na kuachana baada ya miaka mitano siyo biashara ya ukahaba!?..maana tofauti ni muda tu!!
Hijab ilibuniwa na Umar na Muhammad aka copy kutoka kwake , ilikuwa wake zake muhammad wanavaa hovyo wale gang member wa muhammad wakawa wakiingia wanawatamani , Umar ndio akaja na idea ya Hijab alipambana na idea yake mpaka muhammad akakubali akaipachika kwenye koran...dini ya mchongo kwa sababu ya hijabu!!?.
Koran mnasomaga kweli , muanzilishi wa masanamu ni allah , alituma majini kwa suleiman muislamu yakajenga msikiti na kuweka masanamuUtamaduni wa waarabu ni kuabudu masanamu Nabii ibrahim alimkuta baba yake anaabudu masanamu makanisani Mtume S.A.W aliwakuta watu wengi makka na makafir lakini baada ya kupewa utume akawafundisha kuhusu uislamu,
Nadhan ulipewa hiyo theory vibaya,
Tuishie hapa mkuu, Namuomba Mungu atuongoze sote In Sha Allah.Koran mnasomaga kweli , muanzilishi wa masanamu ni allah , alituma majini kwa suleiman muislamu yakajenga msikiti na kuweka masanamu
Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
Weka sababu kwanini mwanamke ajifunike halafu vazi lenyewe ni jeusi?Unafuata mila za wazungu ukinya mnajifutia makaratas ukipishana na mtu haruf mavi balaa
Hujaacha kuphilwa na misalaba!?Hijab ilibuniwa na Umar na Muhammad aka copy kutoka kwake , ilikuwa wake zake muhammad wanavaa hovyo wale gang member wa muhammad wakawa wakiingia wanawatamani , Umar ndio akaja na idea ya Hijab alipambana na idea yake mpaka muhammad akakubali akaipachika kwenye koran
Nukuu ya waislamu wanatujuza aya ya hijab ilipotokea
Umar said:.... , both righteous and evil doers enter your wives, so why don't you tell them to observe the hijab? Then the verse of hijab was revealed. ...... and it was revealed like that. Musnad Ahmad 157
Hata mama yake yesu hakuwa na akili timamu,maana akivaa hivyoWeka sababu kwanini mwanamke ajifunike halafu vazi lenyewe ni jeusi?
Kaa ujiua hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayependa kuvaa hayo madude.
Kwanza elewa hilo vazi amelichagua mwenye Allah katika Quran kwa mwanamke wa kiislamu, lakini pia akabainisha kwamba uchi wa mwanamke ni mwili mzima isipokuwa paji lake la uso, vikanja vya mikono na miguu.Weka sababu kwanini mwanamke ajifunike halafu vazi lenyewe ni jeusi?
Kaa ujiua hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayependa kuvaa hayo madude.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kosa vyote ila siyo akili wakuuKwanza elewa hilo vazi amelichagua mwenye Allah katika Quran kwa mwanamke wa kiislamu, lakini pia akabainisha kwamba uchi wa mwanamke ni mwili mzima isipokuwa paji lake la uso, vikanja vya mikono na miguu.
Shida kubwa inakuja kwenye matamanio mwanamke anapo expose maeneo yake ya mwili ukitoa haya yaliyotajwa kuna uwezekano mkubwa sheitwan akapata nafasi ya kujipenyeza na kusababisha kile ambacho sasa dunia inahangaika huku na kule kuweka sheria za kitwaghuuti ili kikome kutokea ingawa inashindikana.
Kwa wale ambao hawana dini au dini zao zilizokaa kimya kwenye maandiko yao wanaona ni jambo la kawaida lakini ukifanya tathmini mwanamke aliyejisiriti na aliye expose mwili wake ni wazi ibilisi atatokea kwenye huyo aliyeachia maungo yake ya mwili ingawa haimaanishi kwamba wanavaa kisheria hawatakuwa na hilo tatizo lakini imeangalia uwezekano wa kukwepa hiyo setuation.
Kuhusu rangi ya vazi kuwa jeusi nadhan ni mtazamo wako, hakuna rangi maalum ya mazi sharia inataka ujisitiri tu
Si muache Mungu atakuja kuwahukumu mwenyeweKuna watu Iran na nchi zingine za kiislam Wana hamu na maisha ya kikafiri,ulale na hawara usiku kucha mchana kutwa,kuelewa,fasheni..hawajui madhara yake,kwamba huku tunalea watoto tusio na uhakika Kama ni wetu kweli
RelaxHujaacha kuphilwa na misalaba!?