Umeshasema Mungu, Ni Yeye Mungu ndiye Ataadhibu siku ya hukumu. Sio sisi wanadamu tuanze kuadhibiana kama wanavyofanya hao polisi wa Iran.Unajua maana ya amri!?..Kama atakuadhibu usipofuata hiyo ni lazima au hiyari!?..ubongo wako mbele nyuma nyuma mbele!!?..au unatembea kichwa chini miguu juu kiasi unaelewa mambo tofauti!!?
Wewe mla mlenda unawezaje kumuadhibu mwanadamu mwenzako? Hayo mamlaka umepewa na nani? Na wewe kama nani?