Unasema wakristo wafuate mila ya mama yake mariam?Acha porojo, suala la kuvaa hijabu kwa muislamu ni jambo la kisharia kwa nchi yenye dola ya kiislamu hili sio jambo geni zaidi ya kutii sharia, ingawa sina hakika sana kwamba ukikataa kuvaa hijabu inabidi kuuliwa.
Dini zilizobaki ukitoa uislamu zimebaki kimya sana kwenye mambo kama haya ndio mana unakuja hapa na kudharau hijabu kwasababu ukiristo siku zote unakuwa umekaa kimya kwenye baadhi ya mambo mengi hayana fatwa katika kitabu chenu ndio mana tuna mashaka na ukiristo.
Mama maryam mama yake yesu alivaa hijab lakini wakiristo wameacha kufuata mila ya mama yake yesu mama maryam lakini pia hamutaki kujua kwa nini alivaa, ukiristo uko kimya sana, lakini cha kushangaza munatii sheria zinazotungwa makanisa makuu huko roma italy na marekani
Mariam mama yake Yesu pia alikuwa na mila ya kupanda Punda.
Kwa hiyo na sisi leo tupande Punda?
Hivi nyie watu mbona mna reasoning za kijinga sana?