Una ushahidi wa Hilo?..pili hiyo ndoa yako unayotoa mahari na kuachana baada ya miaka mitano siyo biashara ya ukahaba!?..maana tofauti ni muda tu!!
Niambie mimi ukristo umeruhusu wapi zinaa ama ndoa ya kihuni.
Weka ushahidi ndoa gani ya kikristo inaruhusu kuachana baada ya miaka mitano uliyosema.
Mimi naweka ushahidi wa ndoa ya kizinzi ambayo quran imeruhusu
Fungua kitabu cha quran kisha soma Sura An-Nisa verse 24
Kama hutaelewa unaweza pata muongozo hapa chini na vielelezo nakuwekea.
Mut’ah ni neno ambalo lina majina mengine kama al-Mawqit (yaani muda) na Ndoa ya al-Munqatwi‘ (yaani kukatika).
“Mut’ah maana yake ni makubaliano ya kimatamshi baina ya mwanamume na mwanamke ambaye hana mume,
makubaliano ya kuishi kama mume na mke kwa muda uliokubaliwa kwa kiwango maalumu cha pesa kinacholipwa huyo mwanamke baada ya kuisha muda wa Mut’ah. Qaadhi wala mwakilishi au yeyote kuwa shahidi hakuhitajiki. Makubaliano haya hupangwa kibinafsi na kisiri baina ya watu wawili. Mwanamume halazimiki kisheria kutoa himaya, chakula na mavazi kwa mwanamke. Kitu muhimu anachokitoa ni kumpa huyo mwanamke kiwango kile cha pesa walichokubaliana. Baada ya kupewa hizo pesa mafungamano yao tayari huisha. Muda wa kubakia pamoja ndani ya Mut’ah kunaweza kuwa mchana mmoja na usiku wake au hata saa moja au masaa mawili.” [Tahrirul Wasiylah, uk. 292].
Quran imeruhusu ushenzi mwingi sana mtume alikuwa anaoa mpaka vitoto vya miaka 9.
Wewe unaweza ruhusu binti yako aolewe akiwa na miaka 9 na mwanaume wa miaka 50.
Yaani alikuwa mbakaji. anabaka vitoto kwa jina la ndoa.
Kwenye kitabu cha dini anafundisha waumini zinaa na biashara ya umalaya kwa jina la ndoa ya mutaa