Maandamano Iran: Hadi watu 35 wamekufa baada ya mwanamke kufia mikononi mwa polisi

Taifa lolote lenye akili ni lazima lingefanya hivyo. Hivi utaamrishaje wanawake wajifunike kisa huwezi kuzuia tamaa zako unapoona wanawake? Kama huwezi kujizuia basi jitoboe macho kama yule jamaa wa kwenye hadithi aliyechoshwa kuona mambo ya dunia akaomba apofuke.
Kwamba benki pasiwekwe ulinzi Ila raia wazuie tamaa zao dhidi ya pesa zilizopo benki!!
 
Hueleweki unataka kuwasilisha nini kilichopo kweny ubongo wako. Fedha zilipo benki na wanawake wapi wapi? Binadamu tumekuwa wanyama? Wewe unashindwa kujizuia unapoona kichwa cha mwanamke? Na yeye je akiona kichwa chako hashikwi tamaa?
 
Kwa hiyo tamaa kwenye pesa haipo ...Hadi pawekwe ulinzi!?...uislam unazuia chanzo Cha matatizo,hauzuwii matokeo japo una utatuzi kwa yote,zinaa mtu ahemkwi bila sababu ni mpaka aone,ndiyo maana ukaanza kukataza kuikaribia,Kisha stara,Kisha kitenganisha jinsia,Kuinamisha macho,adhabu kwa mtendaji...tamaa si kila mtu anaweza zuwia
 
Nauliza, wao wanawake hawana tamaa?
 
Kwa hiyo tamaa kwenye pesa haipo ...Hadi pawekwe ulinzi!?...uislam unazuia chanzo Cha matatizo,hauzuwii matokeo japo una utatuzi kwa yote,zinaa mtu ahemkwi bila sababu ni mpaka aone,ndiyo maana ukaanza kukataza kuikaribia,Kisha stara,Kisha kitenganisha jinsia,Kuinamisha macho,adhabu kwa mtendaji...tamaa si kila mtu anaweza zuwia
Ndio hadi kulazimika kuua mabinti js to prove a point on modesty?
 
Mwanamke kuuawa kisa kijisehemu cha nywele zake kilionekana wazi, imesababisha wa-Iran waseme imetosha, uzombi wa kidini hawautaki tena. Miji 80 ya Iran inatamalaki waandamaji.

Nilishangaa sana bibi mswahili FaizaFoxy anatetea huu ukatili kwa wanawake wenzake kisa mzuka wa kidini...

FdZHQCEWIAAxjAW

Large protests continued in Iran for the sixth day in a row on Saturday with protestors blocking streets in various cities across the country and reports claiming they had taken control of the city of Oshnavieh.

The protests against the government broke out both online and in the streets last week after Mahsa Amini died in police custody following her arrest by the modesty police who accused her of wearing her hijab wrong.

After news of Amini's death broke, Iranian women took to social media, posting videos of themselves cutting their hair and burning their hijabs, and other videos posted online showed women of all ages in the streets waving their hijabs in defiance.

The protestors, which were made up of both men and women, marched through the streets, shouting out slogans like "death to the dictator" and "live free or die," blocked roads and caused damage to the security forces that tried to stop them.

The Islamic Republic of Iran Broadcasting reported a total casualty count of 35, but the precise number is unclear amid the chaos of the protests.

MSN
Nyang'au wa ki Amerika wameshaingia hapo tayari
 
Ndio hadi kulazimika kuua mabinti js to prove a point on modesty?
Uislam unakataza kuua,Pana habari mbili juu ya kifo Cha huyo binti,polisi wanasema akipata mshituko wa moyo,familia yake inasema hakuwa na matatizo ya moyo,ila ukweli ni kafa mikononi mwa polisi...nini kilisababisha kifo chake!?..mateso au moyo!?
 
Ndo hicho ndo kimewakera waIran
 
Angeachwa na kichwa chake umauti usingemkuta, huo uzombi wa kidini unatesa sana dunia, mwarabu Muddy alikosea sana kwenye kulazimisha hiyo dini yake kwa hao Waajemi.
 
Ndo hicho ndo kimewakera waIran
Kuna watu Iran na nchi zingine za kiislam Wana hamu na maisha ya kikafiri,ulale na hawara usiku kucha mchana kutwa,kuelewa,fasheni..hawajui madhara yake,kwamba huku tunalea watoto tusio na uhakika Kama ni wetu kweli
 
Back
Top Bottom