Maandamano Iran: Hadi watu 35 wamekufa baada ya mwanamke kufia mikononi mwa polisi

Maandamano Iran: Hadi watu 35 wamekufa baada ya mwanamke kufia mikononi mwa polisi

Akili yako kama ipo ni ndogo sana, nahisi hujapewa akili bali umepakwa akili kama mafuta usoni
Mimi na baba yako tulipewa akili sawa..Ila mama yako alipewa kidogo zaidi,ndiyo maana akaachia manii ya baba yako yamuingie uzaliwe Hali akijua upungufu wa akili wa baba yako
 
Wewe umetaja amri kumi..ila unaleta vifungu tofauti.

Anyway suala la mavazi litabaki suala la jamii husika..tamaduni zinatofautiana.

Sketi ni vazi la heshima kwa wanaume wa Scotland.

Endelea kuvaa kobazi na dela sorry kanzu.[emoji28]

#MaendeleoHayanaChama
Si mzima wewe
 
Nilisoma kitabu kinaitwa Arabian Sends kimeandikwa na Alfred Thesiger, ni kitabu kizuri sana. Nilichogundua watu wanachanganya tamaduni za asili na dini, chiki binafsi wanazifanya kuwa ndiyo mafundisho ya dini. Lakini vile vile tukumbuke kuna mafundisho ya dini ambayo yanatokana na utamaduni asilia wa mahali zilikotoka hizi dini lakini kimsingi hayana faida yoyote kiroho. Akili za kawaida tu zitujibu, hivi mwanamke kutofunika kichwa inaweza mfanya asiende peponi? Jibu ni kwamba haiwezekani kwa sababu Mungu hawezi kuwa na masharti ya namna hiyo, ila tu ni utamaduni wa watu wa mashariki ya kati kama ilivyo kuvaa kanzu. Ndiyo maana ukienda Tunisia, Egypt, Turkey etc pamoja hayo mambo hayapo
Nazani hili Jambo Lina ukweli mkubwa sana Ndio maana wanasema Dini ni yote kuhusu kuharibu utamaduni wa wengine na kuwalazimisha watu wafuate wa kwako
 
Kama ni vazi la middle east alikotoka yesu na mama maryam kwanini unafuata sheria za kanisa toka Roma Italy ama Vatican?

Umecopy na kupaste mila za wazungu toka magharibi kuwa ndio maisha yako
Hahaha...Wewe hapo mwenyewe na msikiti wako unaoswali mnafuata mila na sheria za roma.

Au hujui kuwa hata Kalenda unayotumia kila siku (na mnayotumia msikitini) ni ya kanisa la roma?
 
Waafrica wengi hawana nywele za kuvutia
Labda wa babati tu

Nywele ziko kwa watu weupe
Hasa Arabuni na Asia
Naturally black long silky hair sio blondes
Sijui y Mungu katunyima huku Africa daah
Hata Mimi ni mzaliwa wa mbulu ila sijawahi kuvutiwa na nywele za wanawake kabisa
 
Hata Mimi ni mzaliwa wa mbulu ila sijawahi kuvutiwa na nywele za wanawake kabisa
Ndugu zako ndo wana nywele nzuri hii nchi na rangi pia
Wengine woote ni majanga makubwa

Sijui kwanini tukanyimwa nywele jmn dahh
Nywele ya Waarabu wewee inavutia
Raha ya nywele ziwe ndefu, laini and flowy
 
Hahaha...Wewe hapo mwenyewe na msikiti wako unaoswali mnafuata mila na sheria za roma.

Au hujui kuwa hata Kalenda unayotumia kila siku (na mnayotumia msikitini) ni ya kanisa la roma?
Nadhan sasa umekubali hoja, katika uislamu hakuna nchi ambayo inaabudiwa, waislamu kote duniani wanaifata Quran na mienendo ya Mtume wetu S.A.W

Hakuna hahabar za roma wala vatican, dini ya kiislamu haikuletwa na updates kutoka ulaya na magharibi, taratibu zake ni zile zile since memorial tofauti na nyinyi mnaopangiwa dini kutoka magharibi
 
Arabic culture tu hiyo hakuna cha Dini
 
Back
Top Bottom