marcus dedsec
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 944
- 987
Weka sababu hapaHata mama yake yesu hakuwa na akili timamu,maana akivaa hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka sababu hapaHata mama yake yesu hakuwa na akili timamu,maana akivaa hivyo
Nyie hata hamueleweki shetani ni nini?Kwanza elewa hilo vazi amelichagua mwenye Allah katika Quran kwa mwanamke wa kiislamu, lakini pia akabainisha kwamba uchi wa mwanamke ni mwili mzima isipokuwa paji lake la uso, vikanja vya mikono na miguu.
Shida kubwa inakuja kwenye matamanio mwanamke anapo expose maeneo yake ya mwili ukitoa haya yaliyotajwa kuna uwezekano mkubwa sheitwan akapata nafasi ya kujipenyeza na kusababisha kile ambacho sasa dunia inahangaika huku na kule kuweka sheria za kitwaghuuti ili kikome kutokea ingawa inashindikana.
Kwa wale ambao hawana dini au dini zao zilizokaa kimya kwenye maandiko yao wanaona ni jambo la kawaida lakini ukifanya tathmini mwanamke aliyejisiriti na aliye expose mwili wake ni wazi ibilisi atatokea kwenye huyo aliyeachia maungo yake ya mwili ingawa haimaanishi kwamba wanavaa kisheria hawatakuwa na hilo tatizo lakini imeangalia uwezekano wa kukwepa hiyo setuation.
Kuhusu rangi ya vazi kuwa jeusi nadhan ni mtazamo wako, hakuna rangi maalum ya mazi sharia inataka ujisitiri tu
Hijab ilibuniwa na Umar na Muhammad aka copy kutoka kwake , ilikuwa wake zake muhammad wanavaa hovyo wale gang member wa muhammad wakawa wakiingia wanawatamani , Umar ndio akaja na idea ya Hijab alipambana na idea yake mpaka muhammad akakubali akaipachika kwenye koranKwanza elewa hilo vazi amelichagua mwenye Allah katika Quran kwa mwanamke wa kiislamu,
We hata kuandika hujuiiAcha porojo, suala la kuvaa hijabu kwa muislamu ni jambo la kisharia kwa nchi yenye dola ya kiislamu hili sio jambo geni zaidi ya kutii sharia, ingawa sina hakika sana kwamba ukikataa kuvaa hijabu inabidi kuuliwa.
Dini zilizobaki ukitoa uislamu zimebaki kimya sana kwenye mambo kama haya ndio mana unakuja hapa na kudharau hijabu kwasababu ukiristo siku zote unakuwa umekaa kimya kwenye baadhi ya mambo mengi hayana fatwa katika kitabu chenu ndio mana tuna mashaka na ukiristo.
Mama maryam mama yake yesu alivaa hijab lakini wakiristo wameacha kufuata mila ya mama yake yesu mama maryam lakini pia hamutaki kujua kwa nini alivaa, ukiristo uko kimya sana, lakini cha kushangaza munatii sheria zinazotungwa makanisa makuu huko roma italy na marekani
Nakuuliza umeacha kuphillwa na misalaba!?Relax
Nukuu ya waislamu wanatujuza aya ya hijab ilipotokea
Umar said:.... , both righteous and evil doers enter your wives, so why don't you tell them to observe the hijab? Then the verse of hijab was revealed. ...... and it was revealed like that. Musnad Ahmad 157
Mbona hamjaacha mungu aje kuhubiri mwenyeweSi muache Mungu atakuja kuwahukumu mwenyewe
Kutukana kwako hakubadilishi mtunzi wa hijab kuwa UmarNakuuliza umeacha kuphillwa na misalaba!?
Huna hoja nadhan kaa kimyaWe hata kuandika hujuii
Mama mariam kuvaa hijab ilikuwa ni aina ya mavazi ya watu wa huko.Acha porojo, suala la kuvaa hijabu kwa muislamu ni jambo la kisharia kwa nchi yenye dola ya kiislamu hili sio jambo geni zaidi ya kutii sharia, ingawa sina hakika sana kwamba ukikataa kuvaa hijabu inabidi kuuliwa.
Dini zilizobaki ukitoa uislamu zimebaki kimya sana kwenye mambo kama haya ndio mana unakuja hapa na kudharau hijabu kwasababu ukiristo siku zote unakuwa umekaa kimya kwenye baadhi ya mambo mengi hayana fatwa katika kitabu chenu ndio mana tuna mashaka na ukiristo.
Mama maryam mama yake yesu alivaa hijab lakini wakiristo wameacha kufuata mila ya mama yake yesu mama maryam lakini pia hamutaki kujua kwa nini alivaa, ukiristo uko kimya sana, lakini cha kushangaza munatii sheria zinazotungwa makanisa makuu huko roma italy na marekani
Sasa mwenzetu si utakuwa unadindisha 24/7 ? Kwa siku unakutana na wanawake wangapi wenye nywele nzuri?Kwamba nywele siyo urembo,hazivutii yaani!?
Marekani wazee wa furssa wale jamaa! Hata china alishitukia tukia la Nancy Pelos kwenda Taiwan! Ule ulikua ni mtego
Hapo Marekani na Israel lazima wapenyeze majasusi wao kuchochea vurugu
Hii tabia ya kusingizia kila kitu ni Marekani, nao ni ujingaYale yake ya Libya soon mtasikia tu UN na Marekani kutaka kuweka mambo sawa!
Wale wamasai wa Dodoma wana tabia za wagogo wameishi maisha Yao yote kule sababu ni wafugaji kama wagogo, hawana tabia za kuua vilema na albino kama kule Arusha.Masai vilema wapo! Na hata jana nilimuona pale Dodoma!
Basi unajiona mjanjaa na dini hiyo uliyoletewa ,unajiona ushamaliza maishaNadhan sasa umekubali hoja, katika uislamu hakuna nchi ambayo inaabudiwa, waislamu kote duniani wanaifata Quran na mienendo ya Mtume wetu S.A.W
Hakuna hahabar za roma wala vatican, dini ya kiislamu haikuletwa na updates kutoka ulaya na magharibi, taratibu zake ni zile zile since memorial tofauti na nyinyi mnaopangiwa dini kutoka magharibi
Kuvutia na kudindisha hapohapo!!?..siyo kwamba nitamsaka na kupanga mipango ya kuzini nae!?Sasa mwenzetu si utakuwa unadindisha 24/7 ? Kwa siku unakutana na wanawake wangapi wenye nywele nzuri?
Aya anashusha Allah sw,bichwa Kama kitimoto akili hakuna..kamasi tupu,waislam wamesema waislam wamesema,uislam ni dini ya Allah sw siyo ya waislamKutukana kwako hakubadilishi mtunzi wa hijab kuwa Umar
Nukuu ya waislamu wanatujuza aya ya hijab ilipotokea
Umar said:.... , both righteous and evil doers enter your wives, so why don't you tell them to observe the hijab? Then the verse of hijab was revealed. ...... and it was revealed like that. Musnad Ahmad 157
Ata uruke ugaregare itabaki muanzilishi wa hijab ni Umar na hajatunga hiyo tu mpaka ibada ya jiwe pale macca ni yeye alileta ideaAya anashusha Allah sw,bichwa Kama kitimoto akili hakuna..kamasi tupu,waislam wamesema waislam wamesema,uislam ni dini ya Allah sw siyo ya waislam
Bado unaphilwa na misalaba!?Ata uruke ugaregare itabaki muanzilishi wa hijab ni Umar na hajatunga hiyo tu mpaka ibada ya jiwe pale macca ni yeye alileta idea
Nukuu ya waislamu wanatujuza aya ya hijab ilipotokea
Umar said:.... , both righteous and evil doers enter your wives, so why don't you tell them to observe the hijab? Then the verse of hijab was revealed. ...... and it was revealed like that. Musnad Ahmad 157
Kazi yangu ni kukuelemisha mtunzi wa hijab ata utukane vipi atabaki kuwa UmarBado unaphilwa na misalaba!?
Hujaacha kuphilwa na misalaba!?Kazi yangu ni kukuelemisha mtunzi wa hijab ata utukane vipi atabaki kuwa Umar
hijab ni Umar na hajatunga hiyo tu mpaka ibada ya jiwe pale macca ni yeye alileta idea
Nukuu ya waislamu wanatujuza aya ya hijab ilipotokea
Umar said:.... , both righteous and evil doers enter your wives, so why don't you tell them to observe the hijab? Then the verse of hijab was revealed. ...... and it was revealed like that. Musnad Ahmad 157
Mtunzi wa hijab atabakiwa kuwa UmarHujaacha kuphilwa na misalaba!?