Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

Safi ilitakiwa iwekwqwote
 
Magufuli alipingwa kisawasawa kwa udikteta wake. Fuatilia vizuri.
Na wala hakuchaguliwabkwa dini yake. Actually, wengi tulimpinga kwa tabiavyake.
 
Kwamba ukimuona tu tayari kashika Jembe analima 🤣
 
******* yu hao
 
Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?

Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?

Ni udini ?
Tofauti na huyu Nyerere hakuwa Chawa wa mtu, alitumia haki yake ya Kikatiba na uzoefu wake wa kiuongozi kuikosoa na kuishauri serikali kama anavyofanya Warioba na Butiku na husikii watu wanawalalamikia.
 
Tofauti na huyu Nyerere hakuwa Chawa wa mtu, alitumia haki yake ya Kikatiba na uzoefu wake wa kiuongozi kuikosoa na kuishauri serikali kama anavyofanya Warioba na Butiku na husikii watu wanawalalamikia.
Jadili mada mezani
 
CCM DAIMA OCTOBER 28 TUNAENDA TIKI mapemaaa !!!

maskofu wataendelea kula Matembele mpaka 2030 !!

kwasasa tumewazoea na tumeziba masikio waongee waimbe kwaya wachoke !!! wananchi tumekubaliana maskofu wale tembele kwamiaka mengine 5

waongee waruke Samasoti lkn mwendo wa Tembelee mpaka 2030.
 
Udini unaingia kwa sbbu matamshi ya kumtoa jk ktk ushauri yametolewa na Maaskofu
Na kama mtamsikiliza vzuri yule Askofu anazungumzia uhalali wa JK kutoa ushauri. Na mihemko yetu JF tayari tumeishatoka ktk Mada, the issue here "is he eligible to advise/consult"
Ni ukhanithi wa kiakili kufikiri kwamba kiongozi hana uhalali wa kumshauri kiongozi mwingine hasa ukitilia maanani kuna waliopokezana wote hawapo duniani. ??
Ukiangalia non verbal communication/tone ya Askofu ni dhahiri alikuwa ameongozwa na hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…