Nyerere alikuwa anatuchagulia mpk viongozi. Kwako wewe huo ndo ulikuwa ushauri wa maanaNyerere alikua akishauri mambo ya msingi...
Kikwete ameshauri jambo gani la msingi zaidi ya wizi...
Tazama deni la taifa, rudi hapa ufafanue hiyo pesa imefanya kazi gani?
Huyo ni fisadi papa pamoja na mwenzie Kikwete.Rostam hakuhamia Kenya.Amewekeza Kenya kwenye Taifa Gas.Wacha kusikiliza vikao vya kahawa.
Angalau aliweka kiongozi wa maana...Nyerere alikuwa anatuchagulia mpk viongozi. Kwako wewe huo ndo ulikuwa ushauri wa maana
Umaskini unakusumbua.Ndio lugha za waliofeli kimaisha.Huyo ni fisadi papa pamoja na mwenzie Kikwete.
Unamlinganisha baba wa Taifa,na hizi, takataka!Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?
Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?
Ni udini ?
Hatuwezi kufanana ktk uelewa.Angalau aliweka kiongozi wa maana...
Kikwete amefanya nini cha maana nchi hii?
Kwa miradi aliyoiacha magufuli,deni la taifa ilikua lazima liongezeke hata kama jpm mwenyewe angekuwepo,miradi yote ile hamna uliosimama,kibaya zaidi walalamika wa deni la taifa hao hao ukikamilishwa mradi kipindi hiki mnasema ni maono ya magu,kingine TZ pamoja na wizi na miradi yote bado hatuko kwenye zone ya wadaiwa sugu,kuna nchi zipo kwenye zone ya wadaiwa sugu na deni kubwa kuliko sisi na hawana miradi mikubwa kama yetuNyerere alikua akishauri mambo ya msingi...
Kikwete ameshauri jambo gani la msingi zaidi ya wizi...
Tazama deni la taifa, rudi hapa ufafanue hiyo pesa imefanya kazi gani?
Ukiona unachukia utajiri na matajiri basi Dunia imekupiga.Fanya kazi kwa bidii wacha majungu na husda.Chuki ikikuzidi jitundike.Mimi nijitundike kwa sababu ya mtu fukara asiweza kufikiria vema?Siwezi fanya hivyo .Na sitafanya ila ukweli nitasema tu.
Wewe unasumbuliwa na mapepo sibure...Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?
Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?
Ni udini ?
Uliwahi kusikia Warioba ameshauri kufanywa mambo ya uvunjifu wa Katiba kama anavyofanya fisadi papa??Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?
Kataa nyumbuHao wanatoa ushauri lakin siyo kufatana kila sehemu .wastaafu wengi wamekuwa wakitoa ushauri kwa viongozi wa sasa but kikwete imekuwa too much kila sehemu yupo?
Na shida kubwa ni kwamba inaonekana kikwete anapendelea familia yake .angali mtoto wake na mke wake hawakuwa na mpinzani
Kumbuka kikwete na yey ni sehemu ya wachakatahi wa majina .ndio maana kilele zimekuwa nyingi sana kila sehemu
Watanzinia sasa tumeamka
#kaata_wahuni.
NyumbuUliwahi kusikia Warioba ameshauri kufanywa mambo ya uvunjifu wa Katiba kama anavyofanya fisadi papa??
Wacha weeee😆😆Acha ujinga, Nyerere halinganishwi na Rais Mstaafu yeyote.
Tuambie kama Mama Nyerere alikuwa mbunge
Tuambie mtoto wa Nyerere aliyekuwa waziri
Tuambie Nyerere alijengewa nyumba ngapi na serikali
Mwalimu is an icon asiyelinganishwa na mtu yeyote.
Hilo mtoa mada ulielewe vizuri.
Mkuu hivi vitoto vya juzi, nadiriki kusema bado vinanuka mikojo, vinafikiri Nyerere ni mtu wa kulinganishwa na hao mafisadi wanao wafahamu.Wacha weeee😆😆
Fuatilia uchaguzi wa ccm ambapo magufuli anachaguliwa mkapa alisema asiyetaka atoke ingine nyerere akiwa mstaafu aliivunja G 55 !Hao wanatoa ushauri lakin siyo kufatana kila sehemu .wastaafu wengi wamekuwa wakitoa ushauri kwa viongozi wa sasa but kikwete imekuwa too much kila sehemu yupo?
Na shida kubwa ni kwamba inaonekana kikwete anapendelea familia yake .angali mtoto wake na mke wake hawakuwa na mpinzani
Kumbuka kikwete na yey ni sehemu ya wachakatahi wa majina .ndio maana kilele zimekuwa nyingi sana kila sehemu
Watanzinia sasa tumeamka
#kaata_wahuni.