Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene ahamishiwa Utumishi na Utawala Bora, Jenista arejeshwa Sera, Bunge na Uratibu

Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene ahamishiwa Utumishi na Utawala Bora, Jenista arejeshwa Sera, Bunge na Uratibu

Sasa SimbaChawene kashughulike kisawasawa na Watumishi wote wanaokutwa na makosa ya kuiba..

Usiwahamishe bali waondoe kazini. Jenista alikaa kimya tu na kucheka cheka nao. Hata kuwahamisha alishindwa.

Simbachawene umeaminiwa na sasa kawaondoe wote wenye kashfa.
 
Uteuzi...
 

Attachments

  • 20230401_195431.jpg
    20230401_195431.jpg
    154.6 KB · Views: 2
Kwamba ndio amefanya nini?

Siku zijazo, tuweke sheria ya kubana hizi teua tengua; ukitengua unatupa na sababu, kwanini unamtoa A unampeleka B, sio kujifanya Miungu kwamba mfanyayo ni unquestionable.

Kwahiyo watu wanakula Per diem kesho kwenye uapishwaji?

Vikao vya makabidhiano ya ofisi, manunuzi ya fenicha na gari la Waziri mpya n.k
 
Back
Top Bottom