Mabadiliko makubwa yaja! Mzee wa Shelui jiandae

Mzee wa Shelui Sha Madyelu, wasalimie Kyegenge, Tyeme Mtoa, Gyumanga, Kisua, Tintigulu, Mukulu, Makunda, Old Kiomboi, Mtekente, Kidalu, Nkokilangi, Kibigili.
Na Sekenke umetusahau na watu wa Ndago je ??!
Uwe mbwane uwe leka nkani zasho 🤣😅
Uwe mbii katii, songera zigizigi ,,misigiri,usule,nzinziligi,motomoto,mbelekese,ulemo.👐
 
Akimwondoa na asipomwondoa itasaidia nini Kwa Taifa na wananchi?

Hizi dana dana zote ni kwa maslahi ya Chama na Familia zao tu.
We need system reform otherwise mtafukuzana kila siku.

Mwigulu na wengine wataonewa tu.
 
Kaka nakuheshimu Sana ...na inawezekana namheshimu kimei Sana ...lakini naomba uweke records zako sawa...Kimei hakuwa founding CEO wa CRDB.... Kimei aliichukua kutoka Kwa mtu mwingine ikiwa tayari transformation imeshakamilika Hadi hisa zipo sokoni...Ni kwelii alifanya kazi kubwa hapo CRDB lakini wapo waliofanya kabla yake pia ....
 
Hiyo Wizara ya Maokoto ni Ngumu mno! Hata atakayekuja hataiweza.
Tunakosea Sana kuacha uchumi wote kuendeshwa na mtu mmoja...
Zamani tulikuwa na tume ya mipango...na waziri anaelekezwa na tume ya mipango....
Waziri wa fedha jukumu lake sio kuendesha wizara ...yeye anaendesha uchumi na anapaswa kuwa na watu zaidi ya 10 ambao ni official wasaidizi wake...ambao zamani walikuwa hao tume ya mipango
 
Kimei alichukua uCEO Toka kwa John Rubambe
 
Hivi lakini cha ajabu kipi mbona mnazidi Uzandiki? Kazi za kisiasa si ndivyo zilivyo? Leo imo kesho haimo, ajabu kitu gani eti???
 
Mtu mwingine si ndo huyo wa tarakea au.

Huna lolote wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…