Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
Afu sasa hadi za serikali eti hazipokei NHIF. khaaaahWatuambie na hospital zinazoendelea kupokea huduma ya NHIF maana hospital nyingi kwa sasa ukifika wanakwambia hawapikei NHIF
hospital gani ya serikali isiyopokea nhif?Afu sasa hadi za serikali eti hazipokei NHIF. khaaaah
Hapo hiyo huduma siyo ya mwaka tena, ni miez 9, uhun!Yani huduma ni kwa mwaka mtu kalipia halafu unamsubirisha miezi mitatu?
Ili iweje
Halafu siku hizi ukienda na kadi ya NHiF hospital kuna huduma nyingi tu unaambiwa ulipie cash mwenyewe maana hiyo bima haihusikimabadiliko NHIF kama huna uwezo utakufa, hakuna nafuu yeyote zaidi ya kutafuta pesa kwa nguvu kutoka kwa wananchi
Hii nchi naona kama IMEOZA..sjawah kuona nchi inayotafuta pesa nyingi kwa nguvu kwa maskini.Siku mkiacha kupeleka kundi la watu 70 wa Bongo Muvi Korea, Msafara wa Rais kuwa na utitiri wa V8 au kununua magoli ya Simba, Yanga na Taifa stars kwa mamilioni na pesa hizo zikawekezwa kwenye afya labda tutapata unafuu wa michango
Kwani wakati wa Nyerere wa sera za tiba bure na elimu bure kwa umma, ilikuwaje akaweza?ujinga ni mzigo, inakuwaje mtu afikieie matibabu yatakuwa rahisi au bima kwawote kwa nchi isiyo na viwanda vya kutengeneza madawa na vifaa tiba... tafuteni pesa
Chadema kwa uongo, labda hospital za serikali ya Chadema ndio hazipokei NHIF.Afu sasa hadi za serikali eti hazipokei NHIF. khaaaah
MAOMBI yako makalii sanaaKama Taifa tuna safari ndefu sana , hospital zenyewe hazina madawa ,wahudumu wachache halafu suluhisho ni kuongeza gharama za matibabu kutoka 50,400 Hadi 150000,huku wakubwa wakiwa wanatibiwa nje ya nchi.Maskini wa kitanzania wataendelea kufia kwenye milango ya zahanati kama MARIAM ZAHORO wa Handeni.Alipofariki kwa kukosa 150,000 ili afanyiwe operation,wameona kumbe 150,000 unaweza kumfisha mtu ,wameamua kuweka kifurushi hicho ili raia washindwe kulipia na hatimaye wafariki wakiwa wanajiona.Eeee Mungu wetu tunakuomba Kila mkubwa alipelekwe India kwa ajili ya matibabu basi asirudi nchini na akirudi arudi akiwa maiti.
ina maana 150000 kwa miez tisa na mwaka tenaYani huduma ni kwa mwaka mtu kalipia halafu unamsubirisha miezi mitatu?
Ili iweje
kabisaaaHapo hiyo huduma siyo ya mwaka tena, ni miez 9, uhun!