Mabadiliko ya sheria ya mafao ya retirement benefits act, (cap. 225)

Mabadiliko ya sheria ya mafao ya retirement benefits act, (cap. 225)

Elites!

1. Do we need political elites or technocrat elites to move ahead as a nation?

2. If we need both, at what ratio the integration of both sides should be?

3. Are our elites independent or dependent in terms of influence from external heinous and rogue forces with ill intent towards our genuine citizens development?

4. Do some of our political and technocrat elites driven by lack of morals and humanity...for instance, ushering the demise of "Life insurance fund" by mismanaging fund's resources?

===
Wenye kukagua makosa ya uandisha wa kiingereza haayaa kazi kwenu!

Wenye kuheshimu matumizi ya tafakuri tunduizi hayaaa kazi kwenu...!

Nakadhalika nakadhalika!
 
Mpakà akiri itukae sawa tutakuwa tumekwisha. Walioko jikoni wanajipakulia na kushiba kwanza. Hao wengine watajijua.
Nasubiria kusikia machawa wa CCM kama watafutahishwa na hili!
 
Hii nchi bila siku watumishi na wananchi kiujumla kuamua kuwa sasa inatosha basi tutaendelea kuburuzwa na hawa mabwanyenye wanaoendelea kujilimbikizia utajiri kwa majasho ya walalahoi kila uchwao.

Ifikie mahali tuseme inatosha.
 
Hii nchi mpaka hapa ilipofikia, inahitaji mapinduzi kisiasa na pia kifikra. Haiwezekani mfanyakazi aliyekatwa hela kwenye mshahara wake kwa miaka chungu nzima, anapostaafu apangiwe matumizi ya fedha zake!

Kama vipi wapangiwe basi hata matumizi ya mishahara yao kila mwezi. Si wanatoa sababu za kipuuzi eti wakipewa zote kwa mkupuo, wanazitumia hizo pesa vibaya!

Swali la kujiuliza; je, zinawahusu? Au ni kiherehere chao tu.
 
Mpaka mtakapozinduka usingizini Somalia itakuwa imewaacha mbali sana....
 
Hii ndio nzuri.
Hakuna namna unaweza kumsaidia Mtanzania, hakuna.
Ukipata nafasi ya kumpiga Mtanzania mpige
 
Back
Top Bottom