Hii nchi mpaka hapa ilipofikia, inahitaji mapinduzi kisiasa na pia kifikra. Haiwezekani mfanyakazi aliyekatwa hela kwenye mshahara wake kwa miaka chungu nzima, anapostaafu apangiwe matumizi ya fedha zake!
Kama vipi wapangiwe basi hata matumizi ya mishahara yao kila mwezi. Si wanatoa sababu za kipuuzi eti wakipewa zote kwa mkupuo, wanazitumia hizo pesa vibaya!
Swali la kujiuliza; je, zinawahusu? Au ni kiherehere chao tu.