Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

Mkuu tafadhali weka screenshot ya hivyo vifurushi tuone
Namba 4
Screenshot_20210401-103914_Phone.jpg
 
Kwa mjibu wa TCRA, mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021.
Pia mitandao itawatarifu watumiaji wake mabadiliko hayo.
Baadhi ya mitandao unachanganya taarifa hizo kwa mfano rejea hapa.

Vodacom Tanzania
Habari, kuendelea kutoa huduma bora zaidi tutafanya marekebisho kwenye vifurushi 02/04/2021.Endelea kufurahia huduma bora kutoka Mtandao Supa.Vigezo kuzingatiwa

Lakini baadhi ya mitandao imetoa taarifa tofauti.
Rejea hapa.

Halotel Tanzania
Mpendwa mteja, Taarifa ya mabadiliko ya vifurushi vyetu vyote kuanzia tarehe 01/04/2021. Piga *148*66# kujiunga vifurushi. Asante kwa kutumia Halotel!
Jiwe kaondoka safi sn mama tunakuamin
 
Back
Top Bottom