Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

Vinaanza rasmi kesho leo ni siku ya wajinga
Kwahiyo wewe ndo mjuvi kutuliko sisi tulioangalia na kukuta kuna mabadiliko ya bei?

Mkuu punguza ujuaji,wewe umekuwa sasa,usitake kulijua kila jambo, wakati mwingine hata kama unalijua ni vema kukaa kimya,
 
Leo nimeweka voucher ya jero kama kawaida yangu kifurushi cha jero ni mb 500 nifungue Sasa Menu nijiunge nakuta mambo kama ifuatavyo .....


Sasa hii ni kukomoana
FB_IMG_16172651391123881.jpg
 
Back
Top Bottom