Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

Inatozwa kwa sheria ipi!!?
 
Kamshahara ninakolipwa na mhindi kanakatwa kodi, benki kanakutana na tozo, nikituma kwa wazazi kijijini nakutana na tozo, nikinunua umeme tozo, kila kona tozo, sasa nasikia kuna tozo mpya inakuja kila tulalapo na wake zetu.
 
Hizi 'tozo' limekuwa jambo.

Hela ya namna hii ndiyo huliwa na wajanja bila ya jasho kabisa.
Hizi tozo zilisemwa mwanzo kabisa kwamba zitajenga madarasa na zahanati; pesa ya IMF ilipokuja habari ikaendelea kuwa hiyo hiyo kujenga vitu vilevile. Sasa watu watapumbazwa, mwisho wa siku wataambiwa hela yote ilitumika ilivyopaswa kutumika, kumbe 'tozo' imepitishwa pembeni!
 
Kamshahara ninakolipwa na mhindi kanakatwa kodi, benki kanakutana na tozo, nikituma kwa wazazi kijijini nakutana na tozo, nikinunua umeme tozo, kila kona tozo, sasa nasikia kuna tozo mpya inakuja kila tulalapo na wake zetu.
Mwishowe hata hewa unayovuta utaambiwa utoe tozo kwa ajiri ya mazingira, hukusikia habari za mlima Kilimanjaro mazingira yake kuathirika?
Wewe subiri tu hapo hapo 'tozo' ya "Hewa" haiko mbali.
 
Serikali imetupush to the limit

Any further push kwa kweli itabidi wajiandae kwa consequences. Hili halikubaliki

Serikali gani hii inafanya mambo bila weledi wala misingi ya utu namna hii!?

Hatutaki maendeleo kwa pesa za kudhulumu watu, hata Mwalimu alisema maendeleo ya hivyo hapana!
Inatosha sasa!
 
Jiwe alikuwa anachungulia akaunti za watu akikuta imenona anapora. Lkn huyu mama anapora kwa staili ya tozo. 2025 tuseme NO
 
Ni unyang'anyi uleule......kwa sheria kandamizi
 
Bullshit! Mshikamano wa kumkamua mtu asiye na uhakika wa milo miwili kwa siku huku mkuu wa nchi anazunguka na misafara ya ma VX zaidi ya 50 na helikopta 2 juu? Serikali iongoze kwa kuonyesha uzalendo wa kupunguza matumizi yasiyo ya lazima.
 
Nchi ya mazwazwa hii mpk siku yakazinduke yatakuwa yashakamuliwa vya kutosha
 
CHADEMA mlisema JPM akifa mtapata Uhuru nadhani hapa Mungu anawajibu kupitia Samia ,wanasema ukiomba mama wa kambo afe anakufa mamako na ndio unaipata fresh

Tulieni dawa iingie so mlitaka demokrasia ndio hii Sasa tena ya kiuchumi kizalendo

USSR
Kwani we hiyo tozo hukatwi ,kama bado unawaza genge la chato nenda kalinde kaburi lake
 
Pana haja ya kufuata accounts statements na kulianzisha ikithibitika.

Miamala tuliachana nayo si kwa kupenda 😁😁.

Kama na huku tena hapo itakuwa ni kutafutana uchawi!
 
Bullshit! Mshikamano wa kumkamua mtu asiye na uhakika wa milo miwili kwa siku huku mkuu wa nchi anazunguka na misafara ya ma VX zaidi ya 50 na helikopta 2 juu? Serikali iongoze kwa kuonyesha uzalendo wa kupunguza matumizi yasiyo ya lazima.
Hizi kodi za mshikamano mimi nataka mama aziongeze kila sehemu, hawa watu wakikamuliwa vizuri kwenye chaguzi akili zitaanza kuamka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…