Mabishano kati ya Wakili Kibatala na shahidi, kesi ya Boniface Jacob na Malisa

Unajibu ulichoulizwa huo upumbavu wa mtaani wa kufundishana lugha usubr nje ya mahakama
 
Sasa akitafuta ukweli ndio ajijibu? Mahakama ndiyo inatafuta ukweli kupitia ushahidi na Cross examination mbumbumbu wahedi weee yaani mi sio kusoma majadiliano tu na case nyingi nimeskiliza kwahiyo wewe endelea kuendesha zako venye unajua
Wakili anahoji ili apoteze muda ? Maana ya kupewa ushahidi na kuwa nao ni nini ?

Hoja sio kumsikiliza, hoja ni kupatia na kuwa sahihi. Hata kumsikiliza nako Kuna adabu zake.
 
Wakili anahoji ili apoteze muda ? Maana ya kupewa ushahidi na kuwa nao ni nini ?

Hoja sio kumsikiliza, hoja ni kupatia na kuwa sahihi. Hata kumsikiliza nako Kuna adabu zake.
Kwenye maswali pale hujaona majibu mengi ni hapana? Ushahidi ni upi ametoa sasa au porojo za kutunga.
Nina mashaka na uelewa wako juu ya case za mahakamani yaani we ni box alafu we hujiulizi uko kinyume na comments karibu zote za wadau au akili mnemba
 
wanamchokozeaga nini huyu mwamba mbona anawanyoosha sana!! ngoja tusubiri na Ile ya lisu ikianza maana nawaonea huruma wanavyodhalilika huko mahakamani,maana sipati piicha uko watoto wanakuangalia baba yao unavyodhalilishwa pale mahakamani aisee!
 
Huu mti
HUu mtiririko wa maswali ya wakili naupendaga sana
Yaani nafarijika sana moyoni
 
Lighano atukosisye I soni, mwee
 
Kwahiyo kwenye Cross examination hapo kibatala alitakiwa aulize maswali gani tofauti na ushahidi aliotoa shahidi?
Haya tukusikilize labda una hoja
Swali kama shahidi umepanick lina lengo gani zaidi ya kubabaishana!!!

Huyo shahidi nayeye ni mdogo sana,huyu wakiri unatakiwa uhakikishe kapanick yeye,maana ana mahakama hapo,ana wasikilizaji na hakimu yuko kwake,wewe unatakiwa ucheze na akili zake namna anavyoenda.

Wakili:Una elimu gani???
Shahudi:Elimu ipi unazungumzia??
wakili:Unayoijua,
SHahidi:elimu ya juu.
Wakili:namaanisha umefika kidato cha ngapu??
Shahidi😱oh cha nne hukuwa specific.
 
Mmmh unaulizwa swali, na wewe unauliza? Hujasoma anapokuwa mbishi hakimu anamtaka kujibu kile anachoulizwa? Hawezi kwenda nje ya swali la wakili sheria ndivyo inasema. Umeskiliza case ngapi ukakuta mashahidi wanajibu ivo?
Kwamfano alimuuliza suala la leseni kama ameionesha mahakama kuthibitisha kuwa wewe ndio ulikuwa dereva wakati mlienda kumpekua mtuhumiwa?
Hapo ni ndiyo au hapana....
Jibu kwa majibu yako
 
nafasi ya ni ya wakiri kuuliza swali,hakuna sheria inamtaka mtuhumiwa au shahidi ajibu anavyopenda wakili.pale sio mjadala wa kibiashara ni mahakamani,ni either mtu apate haki au aipoteze.

Wakiri:ulionyesha leseni mahakamani??
Shahidi:sikuulizwa/sikutakwa kuionyesha.

wakili,hakimu sukari zinapanda"shahidi jibu kama ulivyoulizwa"

Ningerudia jibu hili hili mpaka aombe mwongozo,na kuifafanulia mahakama kwanini anadhani sikumjibu kama alivyouliza!!!
 
Nakwambieni huyo alitoka hajamaliza dose akili haijakaa sawa😀😀
Haya maneno yako hayabadilishi ukweli, au yakanifanya Mimi niwe mgonjwa wa akili.

Tunataka hoja na kupatia.
 
Tuliza akili unapojadiliana na Mimi. Hakuna sehemu nilipo nakishi kuhusu hapana, nimenakishi kuhusu sijui na usahihi wa maswali yanayo ulizwa bali na uendeshwaji.

Umesahau ya kuwa huko mmetuambia ya kuwa tayari Shahidi ameshatoa ushahidi, hapo anachofanya Wakili ni kuhakiki tu. Aisee, nyinyi ni vilaza sana. Hata kumbukumbu huna na umakini kadhalika.

Huu nao ni utoto mwingine, wingi kwetu sisi si hoja, hoja ni usahihi. Ndio maana Kuna baadhi ya wakati mtu mmoja huitwa "Umma/Uma" na wingi huwa ni WA jinsi ya Kike. Hapo ndio umethibitisha bila kificho kati yangu na wewe nani box.
 

Unatakiwa ujibu swali jinsi ulivyoulizwa .
Kama hujui unasema sijui ,
Huwezi kurekebisha swali uliloulizwa.
 
Mkuu mahakamani zinatumika sheria zilizotungwa na wanadamu na sio Mungu.
Wakili yupo sahihi.
Tena kibatala ni very smart person .
Nia ya kibatala pamoja na kushinda kesi ni pamoja na kuwadhalilisha polisi kwani anajua wanatumika hovyo.
Unafikiria kwa nini dpp aliiondoa kesi ya mbowe mahakamani walijua kwamba wangekutana na maswali ya kudhalilisha sana kutoka kwa kibatala ambao yangeweza kuiacha uchi serikali hususani polisi.
Ushauri ni kwamba Jeshi ka Polisi liache kutumika hovyo na wanasiasa manake wao ndio wanakwenda kutoa ushahidi mahakamani ambapo wanakuwa wanatunga uongo wanaoshindwa kuutete na hivyo kukuta wanadhalilishwa na kuaibika na maswali ya kibatala.
Kibatala ni mwanasheria mzuri anajua hao mashahidi wote ni vilaza wanatumika na yeye anajua kuwaenyesha .
Nakumbuka kuna shahidi askari kwenye kesi aliomba poo alimwambia hakimu turbo linamuuma kumbe alitaka kukimbia maswali.
Hongera sana kwake kibatala anaitendea haki profession yake ya sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…