Mabraza wenye miaka 40+, mkiendelea kuwahubiri vijana wa 20+ na 30+ kupuuzia mambo haya kuhusu wanawake then they will be no hope for the future

Ni
hilo la mwanamke kuwa hana tabia atazikuta kwako nmecheka had sio poa,, dogo utakuja kutana na wild woman ndo utajua hujui

hilo la mwanamke kuwa hana tabia atazikuta kwako nmecheka had sio poa,, dogo utakuja kutana na wild woman ndo utajua hujui
Wewe ndio utakae mfundisha jinsi ya kukutreat wewe whether she is wild or she is not wild
 
Nadhani the best ni kuacha kuchukua ushauri tu

Maana kama mnajua kila kitu kwanini mje Kwa wakubwa zenu?

Ujuaji umewafanya vijana wengi muishi fake life, mdharaulike na mgongwe na maisha

Wewe hujaelewa Mada mkuu. Hakuna alieomba ushauri hapa. Soma Tena uelewe vizuri.

Unaweza kuwa kaka angu kiumri lakini kiakili nikawa Sawa na babu yako. .

Kuwa na umri mkubwa sio kigezo cha kuwa Na busara Kwa Sababu hata wapuuzi huwa wanazeeka.
 
We are the people our parents warned us about
 
Imeandikwa "Alichokiunganisha MUNGU, Mwanadamu asikitenganishe".
Acha kukariri. Umewahi kujiuliza kama Adam angekataa kula tunda aliloletewa na mkewe halafu Eva akamblackmail Adam kwamba "Kama huli mimi na wewe basi (kama walivyo wanawake wengi wakiona wanapendwa kwa dhati na Waume zao)" halafu Adam akaamua kuendelea kutii agizo la Mungu kwa uaminifu ,je,unadhani Mungu angefurahishwa au angesikitishwa na Adam kwa kuamua kujitenga na Eva mtoa roho?. Lililo jema ni lipi kumtii Mungu uachane na mkeo au kumtii mkeo ujitenge na Mungu. Jifunze kusoma alama za nyakati.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Unataka kuteleza tu solve hayo matatizo ndio uanaume ,sasa wapi utamkuta mtu aliyekamilika wote wana madhaifu suluhisho sio kukimbia
Wewe kuna Mwamba ameshakwambia unasolve vipi tatizo ambalo halipo? Tatizo la kutengenezwa Kwa makusudi?

Wewe endelea kusolve hayo matatizo mkuu labda ipo siku utavumbua kitu.

Mimi hoja yangu ni mwanaume hupaswi kuvumilia mambo ya hovyo hovyo unayo fanyiwa na mwanamke.

Mwanamke akikuzingua achana nae chukua mwanamke mwingine.

Matatizo tunayo solve ni kama vile anaumwa, anauguliwa, amepata msiba etc etc

Mwanamke kukufyonza mbele ZA watu hilo sio tatizo lako Na Wala halipaswi kuwa tatizo kwako, hiyo ni ground/ Sababu ya wewe kuachana nae na kuchukua mwanamke mwingine

Women always come to us with an expiry date.

Akishaanza kutokukuonyesha heshima Na utii tafsiri yake Ni kwamba hiyo Ni ishara kwamba ame expiry kuwa Na wewe so she has to be replaced with an immediate effect
 
Hakupendi

Tafuta pesa utawapata hadi wa chanikiwiti
Mkuu hela nampa sana hizi elfu sabasaba ten ten kibao lakini wapi, ikafika mahala akaniambia nisimpe hela kiasi hicho niwe nasubili akiniomba maana yeye aamini katika pesa bali anaamini katika upendo wa kweli na mpaka sasa anaomba pesa kidogo sana[emoji848] tena mara moja moja

Alishaumizwa sana kwenye mapenzi nazani ndio mana anakua mzito kuufungua moyo wake kwangu japo naona mabadiliko tofauti na tulivyo anza kwakweli ananikibali sana sijui tatizo ni nini[emoji3064]
 
Hicho kitu kisingeweza kutokea,sasa kinaweza kutokea kwasababu tayari tuna dhambi iliyochumwa na Wazazi hawa.
 
Daah bado huwajui wanawake aisee pole ukikua utawajua.
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia

"Ukiona unaanza kuwaelewa wanawake ujue unakaribia kufa"

Issue ya msingi ni tuishi nao kwa akili kama maandiko yanavyo tuhasa.
 
Hawachelewi kwenda kusema etc Ushimen ndio alinishauri nifanye hivi[emoji23][emoji23]
Hahaha..

Umbea wa watu wawili wanaolala uchi na kujifunika shuka moja pamoja ni hatari sana.

Wavumilie tu, hakuna namna! Ndio maisha yako hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…