Chimbo lipi kariakoo la kupata bidhaa za jumla za simu kama cover, screen protector, headphone, charger, na simu za bei ya jumla
 
Upande wa kushoto ukiwa unashuka chini kuelelekea fire kabla hujafika kituo Cha Mwendokasi Cha Msimbazi B unazama Kwa ndani Kuna bidhaa kibaoo Kwa bei Chee.
 
Pia ukihitaji majeneza ya bei chee na ya kisasa kabisa nicheki fasta utaletewa ulipo (kwa wakazi wa Dodoma, Morogoro na Dar)
 
Kichwa kigumu wewe
 
Mi nayajua Machimbo ya kila bidhaa kariakoo..lkn siezi toa Code humu maana huenda nina wateja wangu humuhumu ninaowauzia..huyu mwamba aliyetoa mchongo humu inawezekana hana biashara.maana huwezi kumwaga mchongo wa kazi kiboya namna hii.
 
Hebu imagine mtu aje hapo eneo lako uliloajiriwa (kwa nyie waajiriwa)halafu amwambie bosi wako kwamba anajua chimbo la wafanyakazi wa bei rahisi kuliko alionao..utajisikiaje!
 
Mkuu
 
Roho ya kimasikini hii.Tz kuna raia milioni 60+ alafu mtu unakuwa na hofu ya kupoteza wateja kisa kuogopa kuchangia huu uzi wa jf??[emoji848][emoji848] Wakati hata waliousoma hawafiki 10k
 
Kitu ambacho umesahau kumwambia mara nyingi masupplies wa jumla ukiwa sio mteja permanent hawezi kukuzia mzigo bei sawa na wale wanaofamika Kila siku mfano Leo nikupe Milioni 10 uende aboder pale ukachukue subwoofer lazima wakulize wew duka lako ni lipi au jina lako ni lipi la biashara ukijichanganya ukakosea kutaja jina ambalo hawalijui hawakukuzi mzigo cause wanawajua wafanyabiashara wote wanaochukua mzigo kwao ,pia waweza kukuuzia ila bado ukauziwa bei kubwa ko kujua chimbo hakukupi garanti ya kupata bidhaa Kwa bei nafuu .
 
Roho ya kimasikini hii.Tz kuna raia milioni 60+ alafu mtu unakuwa na hofu ya kupoteza wateja kisa kuogopa kuchangia huu uzi wa jf??[emoji848][emoji848] Wakati hata waliousoma hawafiki 10k
Tajiri hakupi mchongo wa pesa hata siku moja..karagabaho.
 
Naomba kujua machimbo ya vitambaa vya vijora yapo sehem gan k, koo
 
Chimbo la bidhaa za sokoni mfano ndizi mzuzu,samaki kitoga kambare n.k km kunamtu anaye jua please
 
Chimbo LA vifaa vya michezo kwa jumla ni wapi.?
jezi,mipira,viatu,vifaa vya mazoezi na n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…