Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu
Chimbo la dawa muhimu za binadamu kwa kariakooo linapatikana wapi?
CORE PHARMACY...mtaa ni lindi street nadhani maana sikumbuki vizuri najua jinsi ya kufika zaidi.
 
Mi nayajua Machimbo ya kila bidhaa kariakoo..lkn siezi toa Code humu maana huenda nina wateja wangu humuhumu ninaowauzia..huyu mwamba aliyetoa mchongo humu inawezekana hana biashara.maana huwezi kumwaga mchongo wa kazi kiboya namna hii.
Ukiona hivyo ujue huna cha maana unachofanya, ni ujanja ujanja tu na utakuwa huna muda mrefu kwenye hyo biashara
 
Nielekeze na mimi pakupata kiti kama ivhi kwa bei poa namba 0757978499
 

Attachments

  • IMG_6633.jpg
    IMG_6633.jpg
    102.9 KB · Views: 100
Wapi naweza kupata viatu vya bei rahisi.au kupata namba ya mhusika… Ahsante
IMG_0090.jpg
 
Mimi naomba kujua tu yafuatayo je ni chimbo Gani wanauza t-shirt za Form 6 zile ambazo machinga wanauza Elfu 7? Pia naomba kujua kariakoo shimoni ni wapi na ni chimbo Gani wanauza zile sendles za kimasai Kwa jumla pamoja na sabuni za kuogea.

tshirts ni posta kwa wahindi wanazo nyingi sana na kofia na wanabei nzuri sana ...watu wa kkoo wa kuprint naona wanazifata huko mtaa siujii kwa jina ila nayajua maduka
 
nguo za ndani wengi wanachukua nairobi...wanasafiri wanaleta mzigo wanasupply kwa watu...sasa hapo sijui nkusaidiejee..0744302922 nipigie ntakuunganjsha na mtu anauza chupi kkoo atakupa connection ya nairobi
Okay...sio wanachukua chupi kikombaaa hawa au pale pale karibu na odeon....wenyewe wanasema kifuniko cha asali
 
Samahani na chimbo mashuka ya spesho napata wap jumla kwa Dar

nenda sehemu inaitwa CABS ni wahindi mbele ya DIT kuna Chuo cha CBE...ukivuka chuo cha CBE tembea metre 100 kama unaelekea maktaba kuu...upande wa kushoto utaona nje wanauza magaodoro mengi ya spring ndani wanauza kwa jumla mapazia na mashuka mazuri sana bei nzuri sana.....0757719960 wapigie
 
Okay...sio wanachukua chupi kikombaaa hawa au pale pale karibu na odeon....wenyewe wanasema kifuniko cha asali

yaani kununua jumla ni maamuzi yako...ununue kwa wanaoleta kutoka nairobi na kuuzia watu kwa jumla kkoo...au uwe unaenda nairobi kufata mzigo au ununue kwa wanaoleta kutoka china
 
Asante kwa uzi mzuri, na kwa rim papers bei rahisi napata wapi kkoo hapo. Tunaruhusiwa ku share kwa anaejua please.

rim papers kwa bei nzuri ni wasomali...ukienda kkoo ulizia maduka ya stationery ya wasomali ndowako cheap kuliko wauza vifaa vya stationery wote...sasa me ntakupa no ya mtu anaeuza pia hapo kkoo kwa jumla rim papers lakini sio msomali ila ukifanikiwa kufika mitaa yake ndoupo karibu na maduka ya wasomali 0742 573 641...
 
Back
Top Bottom