Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulizia mtaa unipe mrejeshoMimi sijui mitaa so siwezi kukuelekeza uende mtaa gani, ila nikivifuata najua wapi navipata.
Usisahau kusubscribeHuu uzi usipotee nifanyeje?
Poa mkuu,Ulizia mtaa unipe mrejesho
Ahsante Sana mkuu ila hizo tshert ukiingia ndani kule unakuta wengine wanaziuza Elfu 10 Kwa jumla sasa sijajua kama Zina tofauti na hizo wanazouza Elfu 7000 machinga na pia naomba kuelekezwa machinga complex IPo mtaa Gani na pia penye maduka ya vipodozi mfano dettol ya kuogea ya mtoto unakuta inauzwa 18000 Kwa dazen lakini ukija barabani huku unakuta wamepanga chini wanauza jero jero nazo sijajua pia kama ni feli au la ila zinafanana vile vile.Tisheti Form 6 nenda mtaa wa Agrey na Congo utazipata. Kariakoo shimoni pamefungwa kwa sasa(Ndo lilipokuwa soko lililoungua) sandoz za kimasai kwa bei nzuri Nenda Machinga Complex kule ndo kuna viwanda vidgo vidogo zaid ya 200 wanakuuzia hata pea 1 na bei zao ni njema. Sabuni mtaa wa Msimbazi A&B karibu na vituo vya mwendo kasi kote kuna maduka ya vipodozi bila shaka utazipata huko
Mtaa wa lindiNa machimbo ya( PPE's),
Yaani vitu hivi yako wapi kwa hapo kariakoo mkuu....??
gloves,
helmet,
Overall
Ear plug
Dust mask
Safety glass,
Safety boots
Cutting disc
Drill machine
Welding shield,
Angle grinders
Air compressors
safety harness belt,
Vifaa vya usalama na kazi mahala pa kazi kama Workshops na Mining areas vinauzwa wapi kwa hapo kariakoo mkuu???
Sima vzr post dr mbna amsema chimbo la pazia na pochiMe nataka kujua chimbo la mapazia na mikoba ila nko mkoan
Machinga complex ni karume pale👇Ahsante Sana mkuu ila hizo tshert ukiingia ndani kule unakuta wengine wanaziuza Elfu 10 Kwa jumla sasa sijajua kama Zina tofauti na hizo wanazouza Elfu 7000
Nenda maduka ya vipodozi kaulizie utapata taarifa vizuri zaidi,kuwa makini usije kuwauliza madalali watakuingiza chaka,maana wao watakuambia subiri Kwa hapa nikakuulizie kisha abakuletea bidhaa ameweka na chake cha juumachinga na pia naomba kuelekezwa machinga complex
IPo mtaa Gani na pia penye maduka ya vipodozi mfano dettol ya kuogea ya mtoto unakuta inauzwa 18000 Kwa dazen lakini ukija barabani huku unakuta wamepanga chini wanauza jero jero nazo sijajua pia kama ni feli au la ila zinafanana vile vile.
Mbona mleta mada ameelezea vizuri yanakopatikana.soma tena Kwa umakiniMe nataka kujua chimbo la mapazia na mikoba ila nko mkoan
Ahsante Sana hayo maduka ya vipodozi nayajua Sana tuMachinga complex ni karume pale[emoji116]
Nenda maduka ya vipodozi kaulizie utapata taarifa vizuri zaidi,kuwa makini usije kuwauliza madalali watakuingiza chaka,maana wao watakuambia subiri Kwa hapa nikakuulizie kisha abakuletea bidhaa ameweka na chake cha juu
Maduka ya vipodozi mengi yapo usawa wa kituo cha mwendo Kasi cha msimbazi upande wa kushoto km unaelekea fire au ulizia big bon wapi kisha ukifika pale uliza Kwa watengeneza simu mule barabarani wqtakuelekeza maduka yalipo maana yapo Kwa ndani kidogo ..narudia tena usithubutu kuongea na watu wenye dalili ya kukuonyesha madalali/ watu wa Kati...ingia mwenyewe dukani
Mcheki huyu 0754306669Vitenge