Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nani anakushonea suit jacket linakuwa linaning'inia kama la mtoto? Ungepata fundi mzuri ungeshona jacket la heshima siyo linalobembea juu juu utadhani umechukua la mdogo wako (jacket namaanisha nyie mnaloita koti) huwa lina vipimo vyake siyo mnavyo vaa siku hizi inakuwa kama umevaa kitop.Asante kwa kuiba post yangu instagram account yenye jina la @kelvinkibenje hata hivyo si mbaya kwani lengo ni kusaidiana. Aya wanaotaka machimbo zaidi na elimu ya biashara mnaweza kwenda instagram kuna post nyingi mtapata kitu. Serch @kelvinkibenje
Hivi vitambaa vya kushona mapazia vinapatikana wapi?
Nipe chimbo la mashati original au t shrts ,mfano wa heat gear fabrics au nike dri fit.
Sitaki midosho ambayo ukifua mara moja inapauka
Ndugu wakati nataka kuanza likizo; nipo tayari kujitolea jambo hili kwa kushirikiana na mleta hoja na wengine wote wanaojua machimbo na wenye majitaji.Na mtaa wenye machimbo ya nguo za watoto
Unabofya hicho kialama cha kengereUkitaka Ku subscribe Uzi inakuaje nielekezwe tafadhari hata kwa picha
Mkuu nielekeze kwa pichaUnabofya hicho kialama cha kengere
Asante kwa kuiba post yangu instagram account yenye jina la @kelvinkibenje hata hivyo si mbaya kwani lengo ni kusaidiana. Aya wanaotaka machimbo zaidi na elimu ya biashara mnaweza kwenda instagram kuna post nyingi mtapata kitu. Serch @kelvinkibenje
Safi sanaKama kuna mfanyabiashara anataka kuenda hiyo mitaa tajwa hapo juu alafu hajui aanzie wapi kijana wangu anaweza kuenda nae atampoza kidogo baada ya matembezi mafupi na kumuonyesha machimbo.
Ni nani anakushonea suit jacket linakuwa linaning'inia kama la mtoto? Ungepata fundi mzuri ungeshona jacket la heshima siyo linalobembea juu juu utadhani umechukua la mdogo wako (jacket namaanisha nyie mnaloita koti) huwa lina vipimo vyake siyo mnavyo vaa siku hizi inakuwa kama umevaa kitop.
Unazungumzia Somanga...si ndio?Pia kuna Chimbo la Ubuyu wa vimto na Ladha nyingine. N pale kwa Magomeni kanisani njia ya kwenda Tandale.
Naomba kufahamu maduka ya jumla ya maziwa, pampers na vifaa/ vyombo vya watotoUkifika Big bon vuka upande wa pili unaotazamana na Big Bon wa barabara kubwa ya mwendokasi na upite kichochoro chochote kuingia huo upande huo kuelekea Magharibi utaanza kuyaona maduka na utatokea upande barabara wa Daladala za kwenda SINZA Makumbusho,( zamani mbezi). Utaona Maduka yapo pande zote za barabara
Umeupiga mwingi sana,hongera mkuu maana huu uzi utatusaidia wengi mno[emoji120]Unatafuta bidhaa bei nafuu na jumla Kariakoo? Hapa nakupa machimbo bure ufanye biashara,
Save hiii post kwanza itakusaidia baadae.
Maduka ya jumla kwa vitambaa vya Masofa, yanapitakana mtaa wa kipata, anza na kipata na msimbazi mpaka kipata na swahili yapo ya kutosha.
_
Vifaa vya umeme nenda Mtaa wa Narung'ombe.
_
Spear za pikipiki Nenda mtaa wa swahili na k/koo hapo kuna maduka mengi.
_
Mtaa wa congo na narung'ombe underground ya Tanzanite kule chini kuna mtaa mzima unaingia unatembea chini kwa chini kuna t-shirts za bei nafuu.
_
Vifaa vya plastiki Nenda Duka la cello kariakoo .
_
Make up _ kituo cha mwendokasi ukiachana na huu upande ilipo msimbazi polisi ule mwingine unaingia ndanindani.
_
Kwa nguo za ndani (chupi) ukimaliza kituo cha mwendokasi kinachoangaliana na msimbazi police, kwenye upande wa vitu vya make up kuna mtaa mmoja unaingia yapo maduka mengi dozen za cotton Ni Bei nafuu.
_
Rasta bei ya jumla ziko upande wa pili wa kituo cha mwendokasi kinachoangaliana na msimbazi police, mtaa yanapopaki magari ya makumbusho gerezani yanayopitia Sinza.
_
vitambaa vya vijora ni Msimbazi Kwa nyuma.
Chimbo la dawa muhimu za binadamu kwa kariakooo linapatikana mtaa wa Kipata na nyamwezi street.
_
Bidhaa za simu, cover, charger, housing Kwa bei Chee ziko Upande wa kushoto ukiwa unashuka chini kuelelekea fire kabla hujafika kituo Cha Mwendokasi Cha Msimbazi B unazama Kwa ndani
_
Vifaa vya ujenzi ni Mtaa wa livingstone kuna Duka Linaitwa Bahdela bei poa vyote utapata.
Vifaa vya stationaries ni mtaa wa Kipata ( maduka ya wasomali ndo bei nzuri )
Shati ni mtaa wa Agrey/congo au mchikichi/Congo
Mashine mbalimbali kama za miwa, kusaga nk nenda Mtaa wa SIDO
Narudia Vitenge ni pale mnazi mmoja ile njia ya kuingia posta. Wale wahindi watakuuzia vitenge vizuri bei nafuu. (ukipata connection ya Uganda utatisha)
Maduka ya wachina wanaouza viatu vya kike ni mtaa wa congo.
Nimeona pia nimsaidie. Kuna watu wanazikosea heshima sana suits. Unakuta mwanaume amevaa suit yenye kitop na suruali. Unashangaa hii dunia tunaenda wapi....Ila weee jamaa [emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia muda nani kaanza. Pia insta yangu kuonyesha machimbo ni zaidi ya mara moja, ni kawaida kushare ujumbe.Post yako instagram imeandikwa 2days ago
Hii post nayo 11/11
Hapo nani kamwibia mwenzake? Au mnashare mawazo? Au ni ID Mbili mtu mmoja!?
Angalia muda nani kaanza. Pia insta yangu kuonyesha machimbo ni zaidi ya mara moja, ni kawaida kushare ujumbe.Post yako instagram imeandikwa 2days ago
Hii post nayo 11/11
Hapo nani kamwibia mwenzake? Au mnashare mawazo? Au ni ID Mbili mtu mmoja!?
Kweli. Hiyo ni kutokana na kipato. Suti unapata mzuri kulingana na bei.Ni nani anakushonea suit jacket linakuwa linaning'inia kama la mtoto? Ungepata fundi mzuri ungeshona jacket la heshima siyo linalobembea juu juu utadhani umechukua la mdogo wako (jacket namaanisha nyie mnaloita koti) huwa lina vipimo vyake siyo mnavyo vaa siku hizi inakuwa kama umevaa kitop.