Mada ya ushirikina: Miongozo namna watu wanavyoumizwa kwenye ulimwengu usio na ithibati za kisayansi

Duh, hatari tupu pasipo ulinzi wa Mungu!
 
If magic and witchcraft really existed people would have weaponized them long time ago. We would have invisible rockets and enchanted bullets.

Afrika inayo jidai ina uchawi mbona inashindwa kuutumia kushinda kombe la dunia?

Afrika inayo jidai ina uchawi wenye nguvu ilishindwa kuutumia huo uchawi kuwaloga wazungu wakati wa utumwa na ukoloni. Miafrika ilikufa kama kuku.

Mleta mada huna tofauti na Kinjeketile Ngwale aliye waaminisha watu wake wakipayuka maji! maji! maji! Risasi zitabadilika na kuwa maji kweli. Matokeo yake wakadunguliwa kama njiwa.
 
Mambo vp? Bro nyani nakukaribisha kwa Nia njema ukirudi nyumbani Tanzania.
Ntakupa tour ya bureee uje huku sumbawanga najua utachange your mind..
Then utakuja uwape mrejesho shida kubwa ni kua exposure yako ime ruin Mila na desturi za kiafrika.

Karibu Katavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…