tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,739
- 8,044
Ngumu sana system kumuacha Rais, tena Uhuru.anaweza kuwa na nguvu ikiwa ana support ya system
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngumu sana system kumuacha Rais, tena Uhuru.anaweza kuwa na nguvu ikiwa ana support ya system
Ngumu sana system kumuacha Rais, tena Uhuru.
Sio kweli. Tanganyika ndio ilishikilia matokeo na kimsingi Rais wa Jamhuri ana mamlaka hadi Zanzibar. Kwa mantiki hiyo Karume ilibidi atekeleze maelekezo ya Rais wa Jamhurimkuu unakuwa kama hufahamu siasa za kiafrika zilivyo kabisa, Amani Karume alitaka kumpa uraisi Maalim Seif 2010 na alishindwa, maana TISS na majority ya chama chake hawakuwa wakimuunga mkono kwa hilo.
Sio kweli. Tanganyika ndio ilishikilia matokeo na kimsingi Rais wa Jamhuri ana mamlaka hadi Zanzibar. Kwa mantiki hiyo Karume ilibidi atekeleze maelekezo ya Rais wa Jamhuri
Tafuta mfano mwingine.
Haihitaji kuwa staff wa IEBC kujua hiloWewe ni staff wa IEBC?
Kama siyo, basi kaa kwa kutulia
Mawakala wa Odinga wanasema hawakupata access ya form za matokeo.Haihitaji kuwa staff wa IEBC kujua hilo
Mawakala wa odinga ni waongo, fomu zote za matokeo za 34A zipo mtandaoni na kila mtu anaweza kuzipata, hata weweMawakala wa Odinga wanasema hawakupata access ya form za matokeo.
Wewe umepata access na kujithibitishia kuwa wao ni waongo. Maana yake IEBC walicompromise some data kinyume na utaratibu. Au inawezekana wewe ni manipulator wa hizo claims kwa kuhack mtandao wa Tumr ili kujaza kura hewa...
Jitahidi kufanya uchunguzi claims kabla haujajitia aibu kwenye kadamnsi
unayejua umeshindwa kutujuzaHujui lolote mkuu, pole sana
Wanayaandaa, watatuletea, mkuu. Emu tuwe na subra kidogo.Mawakala wa odinga ni waongo, fomu zote za matokeo za 34A zipo mtandaoni na kila mtu anaweza kuzipata, hata wewe
Fomu 34A ndio fomu muhimu zaidi kwenye matokeo na ndio huzaa matokeo ya kwenye fomu 34B na 34C
Kama wangekuwa na dukuduku la kweli la kubadili matokeo wangekuwa wana challenge fomu 34A za mtandaoni, Tume pale ilikuwa ikifanya formality tu
wameshindwa uchaguzi wanaleta visingizio
Jana wakala mkuu alisema mtandao wa tume ulidukuliwa na fomu zilibadilishwa
Lakini leo maofisa wa tume waleta sababu zao nyingine za kipuuzi, eti asilimia za kura zilizidi 100% ni 100.01%
Unaona tu ni sababu hazina mashiko sababu asilimia hizo zilikuwa round off two decimal places
Kingine ni kuwa upande wa odinga haujaleta matokeo yao kuonyesha original yapo hivi na yaliyopo mtandaoni yamebadilishwa wapi
Hawa 4 commissioners watakuwa marafiki na wafuasi kindakindaki wamesetiwa na Uhuruto ili wazidi kummegea Raila pesa zake mahakamani. Usikute nao wanacheza game lilelile chini ya the Hustler. hahahahahaha!Hawa waliteuliwa ba Uhuru mwaka 2021 kumzuia Ruto , ila ndio imetoka mzee
Ushawahi kuona wapi Serikali inaibiwa kura?
View attachment 2324744
Ok Sasa wale Nakanishna wanne kwanini hawakubaliani na matokeo😂😂 kabla ya Raila Anza na EIBC TEAMHawa jamaa wa Raila ni wajinga kwelikweli, eti team ya Ruto wali hack matokeo?
Ni uongo kwa sababu hizi
Matokeo yote kutoka vituo vya kupigia kura ambayo yanajazwa kwenye fomu ziitwazo fomu 34A yote yalisainiwa na mawakala wa kila upande kabla ya kuwekwa kwenye mtandao wa IEBC
Kisha hizo fomu original za vituoni yaani hizo 34A zilijumliswa kupata matokeo ya jumla ya jimboni, na mawakala wa pande zote wakiwepo pia, matokeo ya jumla ya vituoni yanajazwa kwenye fomu nyingine inayoitwa 34B na kusainiwa na mawakala wa pande zote
Hizo fomu 34B zinapelekwa makao makuu ya kuhesabu, yaani Bomas na kuhakikiwa na Tume na mawakala wa pande zote pia
Katika kuhakiki fomu za 34B ni lazima majumuisho yake yafanane na matokeo yaliyoandikwa kwenye fomu 34A ambazo zilipakiwa mtandaoni na kila mtu kuziona na pia lazima zifanane na fomu original za 34A ambazo maafisa wa tume kutoka majimboni wanakua nazo
Baada ya uhakiki huu ambao ndio umechukua muda mrefu, fomu zilizohakikiwa za 34B nazo huwekwa mtandaoni
Sasa ili mtu achakachue matokeo inabidi a hack mtandao wa IEBC na kubadilisha zile fomu za 34A zilizopo na public ilishaziona na kisha kubadili pia zile fomu original za 34A ambazo maafisa wa tume wapo nazo na kubadili pia zile hesabu za kwenye fomu 34B ambazo zni mjumuisho wa matokeo ya kwenye fomu 34A na zilishainiwa na mawakala wa pande zote
Sasa mpinzani atakuwa vipi na nguvu za kufanya hayo yote?
Hata serikali yenyewe haiwezi kuchakachua sababu waki hack server na kubadilisha matokeo ya fomu 34A tayari wapinzani watajua sababu matokeo wanayo, yaliwekwa public mara tu zoezi la kupiga kura lilipo isha
Hicho ndicho kimemponza! Khaaa!Eti walikuwa wanamuita Babaa 😂
Wanasema kuwa kabla hazijawekwa mtandaonj kuna manouver imefanyika.Mawakala wa odinga ni waongo, fomu zote za matokeo za 34A zipo mtandaoni na kila mtu anaweza kuzipata, hata wewe
Fomu 34A ndio fomu muhimu zaidi kwenye matokeo na ndio huzaa matokeo ya kwenye fomu 34B na 34C
Kama wangekuwa na dukuduku la kweli la kubadili matokeo wangekuwa wana challenge fomu 34A za mtandaoni, Tume pale ilikuwa ikifanya formality tu
wameshindwa uchaguzi wanaleta visingizio
Jana wakala mkuu alisema mtandao wa tume ulidukuliwa na fomu zilibadilishwa
Lakini leo maofisa wa tume waleta sababu zao nyingine za kipuuzi, eti asilimia za kura zilizidi 100% ni 100.01%
Unaona tu ni sababu hazina mashiko sababu asilimia hizo zilikuwa round off two decimal places
Kingine ni kuwa upande wa odinga haujaleta matokeo yao kuonyesha original yapo hivi na yaliyopo mtandaoni yamebadilishwa wapi
Hebu tuanzie hapa kwanza....Mawakala wa odinga ni waongo, fomu zote za matokeo za 34A zipo mtandaoni na kila mtu anaweza kuzipata, hata wewe
Fomu 34A ndio fomu muhimu zaidi kwenye matokeo na ndio huzaa matokeo ya kwenye fomu 34B na 34C
Kama wangekuwa na dukuduku la kweli la kubadili matokeo wangekuwa wana challenge fomu 34A za mtandaoni, Tume pale ilikuwa ikifanya formality tu
wameshindwa uchaguzi wanaleta visingizio
Jana wakala mkuu alisema mtandao wa tume ulidukuliwa na fomu zilibadilishwa
Lakini leo maofisa wa tume waleta sababu zao nyingine za kipuuzi, eti asilimia za kura zilizidi 100% ni 100.01%
Unaona tu ni sababu hazina mashiko sababu asilimia hizo zilikuwa round off two decimal places
![]()
Kingine ni kuwa upande wa odinga haujaleta matokeo yao kuonyesha original yapo hivi na yaliyopo mtandaoni yamebadilishwa wapi
Fomu zipi zimefanyiwa? 34A au 34B?Wanasema kuwa kabla hazijawekwa mtandaonj kuna manouver imefanyika.
Mbona hhelewi?
Mmeiba kura
Fomu zipi zimefanyiwa? 34A au 34B?
Copy za 34A wote wanazo kama kuna faulo yoyote si waonyeshe
Hiyo imetokea sababu ya kukadiria hizo asilimia kwenye nafasi mbili za desimali
Nilidhani najadiliana na sound mind fellow.Hiyo imetokea sababu ya kukadiria hizo asilimia kwenye nafasi mbili za desimali