Kenya 2022 Madai ya Odinga kuhusu Ruto kuchakachua matokeo ni ya kijinga sana kwa sababu hizi

Kenya 2022 Madai ya Odinga kuhusu Ruto kuchakachua matokeo ni ya kijinga sana kwa sababu hizi

Kenya 2022 General Election
Ukijumlisha percentage ya wagombea wote wa Urais unapata 100.01%; hiyo 0.1% inatoka wapi?

0.1% value yake ni kura zaidi ya 140,130; na mshindi katoboa kwa kura 200,000 na ushee zaidi ya mwenzake.

Hakuna hata kura moja iliyoharibika ambayo imekuwa declared. Hakuna idadi kamili ya wapiga kura wote wa kura za Urais.....

Hapa unasemaje ndugu mtoa hoja ?? Mbaya zaidi zaidi kwa nini ma kamishina 4 kati ya 7 wajiengue??

View attachment 2326199
Hiki ulichoandika una uhakika nacho mkuu! Maana 100.01% kinachozidi sio 0.1% bali ni 0.01%. Pia hiyo 0.01 inayozidi inatokana na round off ya decimals. Ukijumlisha bila kufanya round off ya decimals unapata 100%
Screenshot_20220816-163427_Chrome.jpg
 
Ukijumlisha percentage ya wagombea wote wa Urais unapata 100.01%; hiyo 0.1% inatoka wapi?

0.1% value yake ni kura zaidi ya 140,130; na mshindi katoboa kwa kura 200,000 na ushee zaidi ya mwenzake.

Hakuna hata kura moja iliyoharibika ambayo imekuwa declared. Hakuna idadi kamili ya wapiga kura wote wa kura za Urais.....

Hapa unasemaje ndugu mtoa hoja ?? Mbaya zaidi zaidi kwa nini ma kamishina 4 kati ya 7 wajiengue??

View attachment 2326199
Haitakuwa 0.1 % bali ni 0.01%.

Na 0.01% ya kura milioni 14 sio kura laki 140
.

Ukiangalia hayo matokeo wajakoya kapata 0.44% ambazo ni kura elfu 60.

Mwaure 0.23% ambazo ni kura elfu 31.

Haiwezekani 0.01 ikawa na kura nyingi kuliko 0.44% na 0.23%.

Na hata kama wakisema ni 0.1% bado haiwezi kuwa na kura nyingi kuliko 0.44% na 0.23%.
 
Hawa jamaa wa Raila ni wajinga kwelikweli, eti team ya Ruto wali hack matokeo?

Ni uongo kwa sababu hizi

Matokeo yote kutoka vituo vya kupigia kura ambayo yanajazwa kwenye fomu ziitwazo fomu 34A yote yalisainiwa na mawakala wa kila upande kabla ya kuwekwa kwenye mtandao wa IEBC

Kisha hizo fomu original za vituoni yaani hizo 34A zilijumliswa kupata matokeo ya jumla ya jimboni, na mawakala wa pande zote wakiwepo pia, matokeo ya jumla ya vituoni yanajazwa kwenye fomu nyingine inayoitwa 34B na kusainiwa na mawakala wa pande zote

Hizo fomu 34B zinapelekwa makao makuu ya kuhesabu, yaani Bomas na kuhakikiwa na Tume na mawakala wa pande zote pia

Katika kuhakiki fomu za 34B ni lazima majumuisho yake yafanane na matokeo yaliyoandikwa kwenye fomu 34A ambazo zilipakiwa mtandaoni na kila mtu kuziona na pia lazima zifanane na fomu original za 34A ambazo maafisa wa tume kutoka majimboni wanakua nazo

Baada ya uhakiki huu ambao ndio umechukua muda mrefu, fomu zilizohakikiwa za 34B nazo huwekwa mtandaoni

Sasa ili mtu achakachue matokeo inabidi a hack mtandao wa IEBC na kubadilisha zile fomu za 34A zilizopo na public ilishaziona na kisha kubadili pia zile fomu original za 34A ambazo maafisa wa tume wapo nazo na kubadili pia zile hesabu za kwenye fomu 34B ambazo zni mjumuisho wa matokeo ya kwenye fomu 34A na zilishainiwa na mawakala wa pande zote

Sasa mpinzani atakuwa vipi na nguvu za kufanya hayo yote?

Hata serikali yenyewe haiwezi kuchakachua sababu waki hack server na kubadilisha matokeo ya fomu 34A tayari wapinzani watajua sababu matokeo wanayo, yaliwekwa public mara tu zoezi la kupiga kura lilipo isha
Kama ni uongo chekubati kwanini aliwanyima wajumbe wenzake kupitia kwa uhakiki?
 
Kama ni uongo chekubati kwanini aliwanyima wajumbe wenzake kupitia kwa uhakiki?
Mkuu unaamini wajumbe? Au sababu Chebukati hajaamua kupngea na media kueleza ukweli kamili?
Ok basi tu assume aliwanyima, hiyo ilipunguza nini? Kuwa matokeo yaliyotangazwa ni ya uwongo? Yamekosewa wapi tofauti na hiyo 100.01% wanayodai ambayo ni upuuzi?

Wana matokeo yao tofauti?
 
Back
Top Bottom