Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
- #41
Hujui chochote, hujui hesabu,Nilidhani najadiliana na sound mind fellow.
Naona niishie hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui chochote, hujui hesabu,Nilidhani najadiliana na sound mind fellow.
Naona niishie hapo
Eti mtu mjinga kama huyu ambae siajabu HATA kula yake ni TABU anaita madai ya Raila ni ya kijinga hichi si KITUKO jameni hahahaa!Hawa jamaa wa Raila ni wajinga kwelikweli, eti team ya Ruto wali hack matokeo?
Ni uongo kwa sababu hizi
Matokeo yote kutoka vituo vya kupigia kura ambayo yanajazwa kwenye fomu ziitwazo fomu 34A yote yalisainiwa na mawakala wa kila upande kabla ya kuwekwa kwenye mtandao wa IEBC
Kisha hizo fomu original za vituoni yaani hizo 34A zilijumliswa kupata matokeo ya jumla ya jimboni, na mawakala wa pande zote wakiwepo pia, matokeo ya jumla ya vituoni yanajazwa kwenye fomu nyingine inayoitwa 34B na kusainiwa na mawakala wa pande zote
Hizo fomu 34B zinapelekwa makao makuu ya kuhesabu, yaani Bomas na kuhakikiwa na Tume na mawakala wa pande zote pia
Katika kuhakiki fomu za 34B ni lazima majumuisho yake yafanane na matokeo yaliyoandikwa kwenye fomu 34A ambazo zilipakiwa mtandaoni na kila mtu kuziona na pia lazima zifanane na fomu original za 34A ambazo maafisa wa tume kutoka majimboni wanakua nazo
Baada ya uhakiki huu ambao ndio umechukua muda mrefu, fomu zilizohakikiwa za 34B nazo huwekwa mtandaoni
Sasa ili mtu achakachue matokeo inabidi a hack mtandao wa IEBC na kubadilisha zile fomu za 34A zilizopo na public ilishaziona na kisha kubadili pia zile fomu original za 34A ambazo maafisa wa tume wapo nazo na kubadili pia zile hesabu za kwenye fomu 34B ambazo zni mjumuisho wa matokeo ya kwenye fomu 34A na zilishainiwa na mawakala wa pande zote
Sasa mpinzani atakuwa vipi na nguvu za kufanya hayo yote?
Hata serikali yenyewe haiwezi kuchakachua sababu waki hack server na kubadilisha matokeo ya fomu 34A tayari wapinzani watajua sababu matokeo wanayo, yaliwekwa public mara tu zoezi la kupiga kura lilipo isha
Hilo ni lijinga yameshazoea kupelekeshwa na fisiemu hata huwaga hayajuelewi.!!Tume ya uchaguzi kugawanyika siyo jambo jepesi kama unavyofikiria ya mwaka 2017 yanaweza jirudia.
Shambulia hoja, usishambulie mtoa hoja, hatujuani hapaEti mtu mjinga kama huyu ambae siajabu HATA kula yake ni TABU anaita madai ya Raila ni ya kijinga hichi si KITUKO jameni hahahaa!
Sihitaji kukuona ili nikujue. Huu ushuzi uliandika hapa tayari nimejua ww ni wa aina gani /very narrow thinkingShambulia hoja, usishambulie mtoa hoja, hatujuani hapa
Kazikwe Chato mnyonge wa JiweSihitaji kukuona ili nikujue. Huu ushuzi uliandika hapa tayari nimejua ww ni wa aina gani /very narrow thinking
Katika hili ndiyo!!Kwa hiyo makamu wa rais ana nguvu kuliko rais?
Hao mawakala wanadanganya mchana kweupe na macho makavu! Ingekuwa hivyo vurugu zingetokea mapema sana na isingesubiri hadi siku ya mwisho na dakika za mwisho! Kilichotokea ni kuwa ngome ya Kenyatta mlima kenya walimgomea Uhuru Kenyatta kutaka wampigie Odinga!! Biashara ya Uhuru na Odinga ikawa imeishia hapo!! Ukiona mtu mzima anatoa mahesabu ya asilimia kuwa kigezo cha kugomea matokeo as if hawajui kanuni ya round off figures ujue maji yamezidi unga! Hiyo round off ilifanywa kwa wote!Mawakala wa Odinga wanasema hawakupata access ya form za matokeo.
Wewe umepata access na kujithibitishia kuwa wao ni waongo. Maana yake IEBC walicompromise some data kinyume na utaratibu. Au inawezekana wewe ni manipulator wa hizo claims kwa kuhack mtandao wa Tumr ili kujaza kura hewa...
Jitahidi kufanya uchunguzi claims kabla haujajitia aibu kwenye kadamnsi
Wanasema kuwa kabla hazijawekwa mtandaonj kuna manouver imefanyika.
Mbona hhelewi?
Mmeiba kura
sawa Mwenyekiti wa IEBC.Hawa jamaa wa Raila ni wajinga kwelikweli, eti team ya Ruto wali hack matokeo?
Ni uongo kwa sababu hizi
Matokeo yote kutoka vituo vya kupigia kura ambayo yanajazwa kwenye fomu ziitwazo fomu 34A yote yalisainiwa na mawakala wa kila upande kabla ya kuwekwa kwenye mtandao wa IEBC
Kisha hizo fomu original za vituoni yaani hizo 34A zilijumliswa kupata matokeo ya jumla ya jimboni, na mawakala wa pande zote wakiwepo pia, matokeo ya jumla ya vituoni yanajazwa kwenye fomu nyingine inayoitwa 34B na kusainiwa na mawakala wa pande zote
Hizo fomu 34B zinapelekwa makao makuu ya kuhesabu, yaani Bomas na kuhakikiwa na Tume na mawakala wa pande zote pia
Katika kuhakiki fomu za 34B ni lazima majumuisho yake yafanane na matokeo yaliyoandikwa kwenye fomu 34A ambazo zilipakiwa mtandaoni na kila mtu kuziona na pia lazima zifanane na fomu original za 34A ambazo maafisa wa tume kutoka majimboni wanakua nazo
Baada ya uhakiki huu ambao ndio umechukua muda mrefu, fomu zilizohakikiwa za 34B nazo huwekwa mtandaoni
Sasa ili mtu achakachue matokeo inabidi a hack mtandao wa IEBC na kubadilisha zile fomu za 34A zilizopo na public ilishaziona na kisha kubadili pia zile fomu original za 34A ambazo maafisa wa tume wapo nazo na kubadili pia zile hesabu za kwenye fomu 34B ambazo zni mjumuisho wa matokeo ya kwenye fomu 34A na zilishainiwa na mawakala wa pande zote
Sasa mpinzani atakuwa vipi na nguvu za kufanya hayo yote?
Hata serikali yenyewe haiwezi kuchakachua sababu waki hack server na kubadilisha matokeo ya fomu 34A tayari wapinzani watajua sababu matokeo wanayo, yaliwekwa public mara tu zoezi la kupiga kura lilipo isha
Ndio ndio mkikuyu.Hawa jamaa wa Raila ni wajinga kwelikweli, eti team ya Ruto wali hack matokeo?

sawa Mwenyekiti wa IEBC.
Ila JIULIZE kwa nini wajumbe 4 wamejiondoa na wanakupinga? yaani umebaki na member 2 tu huoni aibu ndugu? au ndiyo unafanya mambo za Zecha ???
wakikuyu washaapa hawakataa wampe Mjaluo nchi ije nvua lije jua.Ndio ndio mkikuyu.
John Sack OLANYA OCHENG.
Mke halali wa william RUTO
zoezi la kuhakiki limefanyika kihuni, zitarudiwa zote mahakamani tujue mbichi na mbivu.Hao 4 waliteuliwa kwa Kazi maalum na Kenyatta na wote ni wafuasi wa team Odinga ndio option pekee iliyobakia baada ya nyingine zote kufeli
zoezi la kuhakiki limefanyika kihuni, zitarudiwa zote mahakamani tujue mbichi na mbivu.
Atleast wakenya wana pa kulalamikia matokeo ya Urais, sisi kwetu hapa Matokeo yakishatangazwa na Mwenyekiti basi inageuka Biblia.
Mfamaji anatapatapa hapo!Hawa jamaa wa Raila ni wajinga kwelikweli, eti team ya Ruto wali hack matokeo?
Ni uongo kwa sababu hizi
Matokeo yote kutoka vituo vya kupigia kura ambayo yanajazwa kwenye fomu ziitwazo fomu 34A yote yalisainiwa na mawakala wa kila upande kabla ya kuwekwa kwenye mtandao wa IEBC
Kisha hizo fomu original za vituoni yaani hizo 34A zilijumliswa kupata matokeo ya jumla ya jimboni, na mawakala wa pande zote wakiwepo pia, matokeo ya jumla ya vituoni yanajazwa kwenye fomu nyingine inayoitwa 34B na kusainiwa na mawakala wa pande zote
Hizo fomu 34B zinapelekwa makao makuu ya kuhesabu, yaani Bomas na kuhakikiwa na Tume na mawakala wa pande zote pia
Katika kuhakiki fomu za 34B ni lazima majumuisho yake yafanane na matokeo yaliyoandikwa kwenye fomu 34A ambazo zilipakiwa mtandaoni na kila mtu kuziona na pia lazima zifanane na fomu original za 34A ambazo maafisa wa tume kutoka majimboni wanakua nazo
Baada ya uhakiki huu ambao ndio umechukua muda mrefu, fomu zilizohakikiwa za 34B nazo huwekwa mtandaoni
Sasa ili mtu achakachue matokeo inabidi a hack mtandao wa IEBC na kubadilisha zile fomu za 34A zilizopo na public ilishaziona na kisha kubadili pia zile fomu original za 34A ambazo maafisa wa tume wapo nazo na kubadili pia zile hesabu za kwenye fomu 34B ambazo zni mjumuisho wa matokeo ya kwenye fomu 34A na zilishainiwa na mawakala wa pande zote
Sasa mpinzani atakuwa vipi na nguvu za kufanya hayo yote?
Hata serikali yenyewe haiwezi kuchakachua sababu waki hack server na kubadilisha matokeo ya fomu 34A tayari wapinzani watajua sababu matokeo wanayo, yaliwekwa public mara tu zoezi la kupiga kura lilipo isha
Hao Makamishna wa Mchongo kabisa, wanaonekana kabisa wako upande gani utadhani kuwa wao ni mawakala wa chama. Nani alilipia gharama za wao kufanya press conference Serena Hotel?Wewe nae hujasikia makamishina wa IEBC waliojitenga na mchakato kutokana na giza linaloghubikwa matokeo hayo?