Kenya 2022 Madai ya Odinga kuhusu Ruto kuchakachua matokeo ni ya kijinga sana kwa sababu hizi

Kenya 2022 General Election
Ngumu sana system kumuacha Rais, tena Uhuru.

mkuu unakuwa kama hufahamu siasa za kiafrika zilivyo kabisa, Amani Karume alitaka kumpa uraisi Maalim Seif 2010 na alishindwa, maana TISS na majority ya chama chake hawakuwa wakimuunga mkono kwa hilo.
 
mkuu unakuwa kama hufahamu siasa za kiafrika zilivyo kabisa, Amani Karume alitaka kumpa uraisi Maalim Seif 2010 na alishindwa, maana TISS na majority ya chama chake hawakuwa wakimuunga mkono kwa hilo.
Sio kweli. Tanganyika ndio ilishikilia matokeo na kimsingi Rais wa Jamhuri ana mamlaka hadi Zanzibar. Kwa mantiki hiyo Karume ilibidi atekeleze maelekezo ya Rais wa Jamhuri
Tafuta mfano mwingine.
 
Sio kweli. Tanganyika ndio ilishikilia matokeo na kimsingi Rais wa Jamhuri ana mamlaka hadi Zanzibar. Kwa mantiki hiyo Karume ilibidi atekeleze maelekezo ya Rais wa Jamhuri
Tafuta mfano mwingine.

huo ndio mfano sahihi, na hata Samia leo hii atake kuipa Chadema nchi haitokua jambo jepesi ambalo ataweza kufanikiwa kiwepesi hata kama yeye ni raisi.
 
Haihitaji kuwa staff wa IEBC kujua hilo
Mawakala wa Odinga wanasema hawakupata access ya form za matokeo.

Wewe umepata access na kujithibitishia kuwa wao ni waongo. Maana yake IEBC walicompromise some data kinyume na utaratibu. Au inawezekana wewe ni manipulator wa hizo claims kwa kuhack mtandao wa Tumr ili kujaza kura hewa...

Jitahidi kufanya uchunguzi claims kabla haujajitia aibu kwenye kadamnsi
 
Mawakala wa odinga ni waongo, fomu zote za matokeo za 34A zipo mtandaoni na kila mtu anaweza kuzipata, hata wewe

Fomu 34A ndio fomu muhimu zaidi kwenye matokeo na ndio huzaa matokeo ya kwenye fomu 34B na 34C

Kama wangekuwa na dukuduku la kweli la kubadili matokeo wangekuwa wana challenge fomu 34A za mtandaoni, Tume pale ilikuwa ikifanya formality tu

wameshindwa uchaguzi wanaleta visingizio
Jana wakala mkuu alisema mtandao wa tume ulidukuliwa na fomu zilibadilishwa

Lakini leo maofisa wa tume waleta sababu zao nyingine za kipuuzi, eti asilimia za kura zilizidi 100% ni 100.01%
Unaona tu ni sababu hazina mashiko sababu asilimia hizo zilikuwa round off two decimal places

Kingine ni kuwa upande wa odinga haujaleta matokeo yao kuonyesha original yapo hivi na yaliyopo mtandaoni yamebadilishwa wapi
 
Wanayaandaa, watatuletea, mkuu. Emu tuwe na subra kidogo.
 
Hawa waliteuliwa ba Uhuru mwaka 2021 kumzuia Ruto , ila ndio imetoka mzee
Ushawahi kuona wapi Serikali inaibiwa kura?

View attachment 2324744
Hawa 4 commissioners watakuwa marafiki na wafuasi kindakindaki wamesetiwa na Uhuruto ili wazidi kummegea Raila pesa zake mahakamani. Usikute nao wanacheza game lilelile chini ya the Hustler. hahahahahaha!
 
Ok Sasa wale Nakanishna wanne kwanini hawakubaliani na matokeo😂😂 kabla ya Raila Anza na EIBC TEAM
 
Wanasema kuwa kabla hazijawekwa mtandaonj kuna manouver imefanyika.

Mbona hhelewi?

Mmeiba kura
 
Hebu tuanzie hapa kwanza....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…