Kenya 2022 Madai ya Odinga kuhusu Ruto kuchakachua matokeo ni ya kijinga sana kwa sababu hizi

Kenya 2022 General Election
Hiki ulichoandika una uhakika nacho mkuu! Maana 100.01% kinachozidi sio 0.1% bali ni 0.01%. Pia hiyo 0.01 inayozidi inatokana na round off ya decimals. Ukijumlisha bila kufanya round off ya decimals unapata 100%
 
Haitakuwa 0.1 % bali ni 0.01%.

Na 0.01% ya kura milioni 14 sio kura laki 140
.

Ukiangalia hayo matokeo wajakoya kapata 0.44% ambazo ni kura elfu 60.

Mwaure 0.23% ambazo ni kura elfu 31.

Haiwezekani 0.01 ikawa na kura nyingi kuliko 0.44% na 0.23%.

Na hata kama wakisema ni 0.1% bado haiwezi kuwa na kura nyingi kuliko 0.44% na 0.23%.
 
Kama ni uongo chekubati kwanini aliwanyima wajumbe wenzake kupitia kwa uhakiki?
 
Kama ni uongo chekubati kwanini aliwanyima wajumbe wenzake kupitia kwa uhakiki?
Mkuu unaamini wajumbe? Au sababu Chebukati hajaamua kupngea na media kueleza ukweli kamili?
Ok basi tu assume aliwanyima, hiyo ilipunguza nini? Kuwa matokeo yaliyotangazwa ni ya uwongo? Yamekosewa wapi tofauti na hiyo 100.01% wanayodai ambayo ni upuuzi?

Wana matokeo yao tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…