Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 1,710
- 8,690
- Thread starter
-
- #241
Hapa ndiyo sijui wengi wamesahau au ndiyo ile fulani kanichukulie cheti usikilize na masharti halafu fulani akipenda naye hata hasikilizi. ๐Msafirishaji anapopewa leseni na LATRA hupewa masharti ya leseni, hii ni pamoja na kutobagua abiria. Serkali hutekeleza jukumu la kuwalinda watoa huduma, hii ndiyo sababu wasafirishaji wamepandishiwa nauli za watu wazima kutoka sh. 500 hadi sh. 600 - 1400 ili wasifanye kazi kwa hasara.
๐๐๐๐ uduguu jamaniiThubutuu!! Subiri uone. ๐น๐น
Em fafanua zaidi.Kama inajali.
Na sio ijali kwa gharama ya biashara za watu binafsi. Hiyo ni dhulma
๐๐๐๐ nyiee, sio hivyo.Huyo kashindikana ๐น๐น
Naam bila shaka mkuuJamani unataka nichangie mjadala nikiwa na hasira Kali hivi ๐ฌ๐ฌ๐ฌ, hee tutafika kweli ๐คฃ, huku wewe hapo unaachilia spana ๐ง konki plus, si tutapata stroke ๐คฃ
Naamini mijadala yetu inaweza kuwa rafiki na ujumbe ukaenda vilevile maana kikubwa ni Nia zetu wote mioyoni mwetu kwenye kutimiza wajibu wa Maendeleo na ustawi wa jamii ๐น๐ฟ
๐๐๐๐ kaeni mkao wa kula, nakuja na kundi maalumu, lilo telekezwa.Na mfollow ili akiandika tu ninao๐๐๐
Hujajibu lile swaliHujambo? Sasa Kila nukta ujibu? Si utazimia kwa uchovu.... Maswali na majibu mengine ni cross multiplication, unakumbuka hizi hesabu lakini ๐
Huduma Kwa jamii?Kwa nauli ya miambili ni hasara tu mdau kununua gari kwa ajili yao
Iwekwe tu idadi maalumu ya kuwapakia
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃUzuri wewe Gombe sugu. Huogopi kupopolewa๐๐๐๐ kaeni mkao wa kula, nakuja na kundi maalumu, lilo telekezwa.
Khanisi sio tusi mkuu! Usiogope kama upo ivyo kaka! Nisamehe kwa hilo.Unajifanya unatukana bila kuwa hata na nidhamu. Issue kama hii imekuwa raised humus na kiongozi wa serikali wewe unalibeba jukumu la matusi badala ya kujadili hoja.
Mkiambiwa muende VETA mnanuna.
Kuna kipindi hata kuwa mtumwa au kumilikiwa na Mtu mwingine hio ilikuwa ni Sheria na Haki ya mtu.., sasa kuwepo kwa hio Haki haimaanishi Sheria hio haikuwa Kandamizi..., hivyo sababu tumeona hili suala linajirudia na tumeona watu wanapaki magari kwa kushindwa kurudisha mikopo, tumeona makonda wanalalamika na kulia kwamba Hajapa Hesabu ya Tajiri..., Common Sense na busara ni kujiuliza ni wapi tunaweza kurekebisha..., Ukizingati hata hio 600 hadi 1400 anayotoa mtu mzima kulingana na kipato chake bado ni mtihani..., basi tujiulize je kuna a better alternative ?Msafirishaji anapopewa leseni na LATRA hupewa masharti ya leseni, hii ni pamoja na kutobagua abiria. Serkali hutekeleza jukumu la kuwalinda watoa huduma, hii ndiyo sababu wasafirishaji wamepandishiwa nauli za watu wazima kutoka sh. 500 hadi sh. 600 - 1400 ili wasifanye kazi kwa hasara.
Wee niogope Keyboard warriors? Nakuja na uzi kabambe, lazima hili kundi maalumu lifikiwe.๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃUzuri wewe Gombe sugu. Huogopi kupopolewa
Najua uzi utafutwa๐sasa ukiwekq tu we nitagWee niogope Keyboard warriors? Nakuja na uzi kabambe, lazima hili kundi maalumu lifikiwe.
๐๐๐๐
Huu haufutwi, wee subiri, yaan nakala iwe kwa Mama Vicky afu ufutwe? mello na modes wake watatafuta Pa kujificha.Najua uzi utafutwa๐sasa ukiwekq tu we nitag
Ni busara zaidi kubadilisha mtizamo wako kuhusu LATRA, inawezekana unasema kutokana na uwezo wako wa kuhisi, lakini haujachukua hatua kuthibitisha hisia zako.Muheshimiwa waziri umefocus sana na hizo namba za latra, tunajua taasisi za serikali kuzipigia simu ni sawa sawa na na kulamba kiganja cha paka hamna kitu wanajisikia sana na si kwamba hawajui wanajua vizuri tu, bahat nzuri mimi nimewahi kuwa muhanga enzi nasoma ikabidi niwenajilipia nauli kamili, inafika kipindi mpaka mmna mkalili konda, NASHUKURU NI MIAKA MINGI IMEPITA
Wazo ni kuwa serikali inamagari mengi sana, wawabebe hao wanafunzi kwa hiyo 200 tuone, polisi, jeshi, nataasisi nyingine ikawekwa muda bwana saa 12 kamili magari yatapakia wanafunzi, kuwapeleka karibu na shule au shuleni
Anyway usije niambia nipige simu, maana kazi yangu yenyewe ni kupiga simu kwenye hayo maofisi ya serikali kutatua tu changamoto ndogo wanakupiga danadana kama nini
Last mimi napenda unavyojaribu kutoa elimu kwa watu kazi njema sana
Shukrani sana Mheshimiwa waziri kwa kuwa mfuatiliaji mzuri wa mambo mbalimbali yanayoihusu wizara yako pamoja na mambo yanayohusu wizara za kisekta.Wasaalam,
Kule x kuna hoja kwamba, baadhi ya "makonda" wa ma Bus ya abiria wanazuiwa wanafunzi kupanda ma Bus hayo.
Tangu kuja kwangu iliambatana na ujumbe uliokuwa umetumwa kwenda kwa CarolNdosi na uliosomeka "Carol , naomba usaidie hili, moja ya changamoto kuubwa ni wanafunzi kupanda daladala sijui ni sheria ipi inaruhusu konda kuaamua kupakia au kutopakia, kiufupi wakinamama wanaopeleka watoto wao asubuhi vituoni wanapitia shida sana"
Baada ya kuwasiliana na taasisi ya udhibiti (LATRA) na kwa kuzingatia kuwa, changamoto hii huenda inawakumba wazazi wengi, naomba kutoa mrejesho kwa majukwaa yote kuwa; Hakuna Sheria inayomruhusu "Konda" wa Gari la abiria kuzuia wanafunzi wasipande magari hayo. Hapo ni kuwa, "Konda" huyo anakuwa ameamua tu kukiuka Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) chini ya Wizara ya Uchukuzi na kinachotakiwa ni Wazazi hao watoe taarifa LATRA waambatishe na namba ya gari husika. Namba ya LATRA hiyo hapo.
Ahsanteni kwa ushirikiano, tuwalinde watoto wetu๐น๐ฟ
Shukrani kwa CarolNdosi kwa ushirikiano. Mkurugenzi LATRA ahsante kwa ushirikiano.
We jamaa hauko sawa, unauhakika wanafunzi wote wanaoenda shule wanakula migahawani? ni wanafunzi wangapi hawana uwezo na wanashinda njaa shuleni chakula wanapata baada ya kurejeq nyumbani!!??...unamaanisha hawa wabaki nyumbani wasiende shule sababu hawana uwezo wa kulipia nauli?? PATHETIC...Mbona serikali haiamuru wanafunzi kula mgahawani Bure? Kwani watoto hawapati njaa shuleni
Kwanini serikali iwaonee daladala, serikali haijui hii ni biashara
Msimamo wangu: ili kuepuka usumbu wanafunzi walipe nauli kamili
Enzi hizo niko kadogo.Na kwenye hizo hekaheka usisahau zile hekaheka za kusaka walimu wa tuition,mara mchikichini,mara pale Nakiete kwa nyuma mara Tambaza nyieeee ilikuwa ni oyaoya halafu jumapili mchana unazamia disco Billicanas kuna mashindano ya kushake mama anajua umeenda discussion aweeee....ila hapo wewe ulikuwa primary๐๐๐
Najua lazima utaleta hilo kundi maalum la vidampa..!! ๐น๐นKwann lakini? Udugu em bhana
๐๐๐๐๐