Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Eti Bora upambane huko Mtaani 😅Mungu aniepushie mbali na ashindwe huyo shetani
Sina ofis ya maana ila siwez na nitajitahid nipambane huko mtaani kazini hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti Bora upambane huko Mtaani 😅Mungu aniepushie mbali na ashindwe huyo shetani
Sina ofis ya maana ila siwez na nitajitahid nipambane huko mtaani kazini hapana
Wee bwana wanakutisha tuu hwawa mbona kuna raha sana kuwa na mpenzi kwa ofisi.Mungu aniepushie mbali na ashindwe huyo shetani
Sina ofis ya maana ila siwez na nitajitahid nipambane huko mtaani kazini hapana
Sasa bodaboda ndio kazi nzuri maana ata ukiwa nanmiaka 70 unaendesha tuu wake za watu. Muhimu zingatia mazoezi na sex kwa wingiUmewahi kumuona Bodaboda mwenye miaka 60?
Huna kipato, hiyo hela ya kulipa Kodi utapata wapi?
Wakati huu wa Ujana, ndiyo wakati wa kuandaa Uzee wako
madam ni ufikiri tu, Tena sisi wenye natural powers (ushawishi, mvuto), una weza jikuta wewe ndo una Anza kuni sumbua.Mawazo potofu hayo
Aaah acha kutupiga za forti seven years banaa wazee wote wa zamani wanajifanya wana clean sheet 😂😂😂😂Ukitaka uharibu Ofisi, hasa kwa wewe ukiwa ni Mkuu wa hiyo Taasisi/kitengo basi anza kuwa na mahusiano ya kingono na wasaidizi wako.
Na hata kwenye biashara binafsi ukisha anza kutembea na wateja wako, ndiyo mwanzo wa kufirisika/kuitia najisi biashara.
Sijawahi kuanzisha mahusiano ofisini, japo zimewahi kuletwa PisiKali zinijaribu
Nashukuru Mungu sikuwahi kuanguka kwenye ile mitego 🙏
Siku uki umwa au kufukuzwa kazi, hiyo lunch ata pelekwa na kidume chenye midevu ka wewe😂😂Wee bwana wanakutisha tuu hwawa mbona kuna raha sana kuwa na mpenzi kwa ofisi.
Ebu imagine lunch time anakupeleka lunch. Mara kale ka wivu mwanaume mwengine akikuangalia ukiwa umependeza.
Mara anakuja kasimama kwa desk lako kumahaba anakuuliza babe nimemaliza nakusubiria nje pale
Aunile mnajaribu ibia mpate ndenda kwa ofisi.
Changamka mrembo sasa unadhani mume utampata wapi kama sio mapenzi ofisini
Tatizo lenu ni kwamba mnataka kumiliki hizi mbususu na kuna na wivu nazo. Acha huo ujinga bwana.Siku uki umwa au kufukuzwa kazi, hiyo lunch ata pelekwa na kidume chenye midevu ka wewe😂😂
Yaani sisi Wakulima tunastaafu na miaka 60 Kwa lazimaSasa bodaboda ndio kazi nzuri maana ata ukiwa nanmiaka 70 unaendesha tuu wake za watu. Muhimu zingatia mazoezi na sex kwa wingi
Wewe ndo ukawa nidhamu huna sasa kumfatilia 😅😂😂😂Mimi alipojaa tu kwenye mfumo akaanza kuchelewa kazini na ku dogde bila sababu za msingi.. Na mimi ndio nilikuwa nasimamia nidhamu.. Hakuna rangi niliacha kuona🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Anko mshana wewe na mzee Grahams, hamnifikii kwa kuwa ugumu😆.Una moyo sana.. Ila sidhani kama unanifikia au unanizidi😀
Sio imagine we Bwana uliwalaa nao walipeleka taarifa za uongo 😂😂😂Nilikuja kujua miaka minne baadaye kwamba wale mabinti nililetewa ili kunipima
Imagine ningewala, huenda ingekuwa ndiyo tiketi yangu ya kutofikia hatua fulani kwenye shughuli zangu za Kilimo huku Kijijini 😜
Miaka ya 47 Wanawake zetu hawakuwa wanapenda show off kama ilivyo Wanawake wa miaka yenuAaah acha kutupiga za forti seven years banaa wazee wote wa zamani wanajifanya wana clean sheet 😂😂😂😂
Mzee wangu mwenyewe fail zake chafu tunazo halafu najifanya kutuweka vikao kila mwisho wa mwezi tunamchora tuu vijana wake tunacheeka kiutani 😂😂😂
Wazee wa 47 sionwa kuwaamini ila ishi nao
Ila mlikuwa smart sana hata kumbususua
50 sii keshokutwa tuu mzee am 46Yaani sisi Wakulima tunastaafu na miaka 60 Kwa lazima
Halafu wewe Bodaboda unataka uwe unaendesha na miaka 70?
Sio rahisi kama unavyodhani
Kama ulikosea kujipanga, hujachelewa
Anza sasa kuandaa Uzee wako sasa, hadi ufike 50 utakuwa umefanikiwa pakubwa
Ngoja nijaribu kukuletea Mjukuu wangu mmoja wa kike nione kama utatoboaAnko mshana wewe na mzee Grahams, hamnifikii kwa kuwa ugumu😆.
Kuna kipindi tuli hitaji wasaidizi wa kike katika shughuli fulani, Sasa Baada ya tangazo zili kuja pisi zime fungasha, warefu kwa wafupi.
Kumbe watu Wana angalia reaction yangu, nilicho fanya ni ubabe tu, weka mtu mzima mmoja, wadogo 4.
Mara utumiwe sms, una pikiwa na nani 😂😂
Mimi mbususu za nini??, japo ni kijana ninaye chipukia ila huo ushamba Sina.Tatizo lenu ni kwamba mnataka kumiliki hizi mbususu na kuna na wivu nazo. Acha huo ujinga bwana.
Washenzi sana hawa kengewa siku hiziMiaka ya 47 Wanawake zetu hawakuwa wanapenda show off kama ilivyo Wanawake wa miaka yenu
Ndiyo maana zamani, unaweza kuzaa na Mwanamke nje ya Ndoa
Na mtoto kuja kujulikana kwamba ni wako miaka 30 baadaye
Siku hizi, kitendo cha kumpa mimba tu, ndiyo siku hiyo hiyo Mke wako wa Ndoa atajua
Ataletewa hadi ushahidi wa hotel uliyoenda naye
Ndiyo ukomae ndani ya hii miaka 4 iliyobaki50 sii keshokutwa tuu mzee am 46
Point ya kuzungatia!cheki yule dada alivyo na macho mazuri
Lego nikuenjoy sio kiximaliza...unaburudisha nafsi mzeeeMimi mbususu za nini??, japo ni kijana ninaye chipukia ila huo ushamba Sina.
Nina mambo mengi ya msingi, sometimes silali napiga u jobless pro max.
Halafu Nita zila ngapi??, Nita zimaliza au ni kuji chosha tu.