Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Unaweza kuhitimisha kwa kusema,
Inafedhehesha sana,
Inasikitisha sana,
Inasononesha sana kwakeli.
Uzuri wanakiri wenyewe kupiga nyeto kwa muda mrefu sana.
Ni aibu mno ndrugu zango..
Hivi sasa wanajutia nguvu imara sana za kijinsia, walizopoteza bafuni kwa nyeto kwa uhodari sana, lakini pia madhara ya afya hususan ya kisaikolojia na ulegevu wa mshedede wanayokumbana nayo hivi sasa yanawongezea msongo wa mawazo zaidi. Hawana uhodari wa tendo la ndoa kama walivyokua wakipiga nyeto.
Ama kweli majuto ni mjukuu..
Eti kijana wa miaka 40 au chini ya hapo, anahangaika na mizizi utadhani mganga wa kienyeji, ana bugia na kumeza kila anachoambiwa ni dawa ya kuongeza nguvu za kijinsia, kumbe maskini ya Mungu, aliathiri misuli ya mshedede wake kwa kuusugua na deto kwa mkono wake mgumu kama spana vile, matokeo yake akaathiri na kuuchosha misuli na mfumo wa afya ya uzazi wake, maskini kijana wa watu, mtanashati, unamuona mwenye afya, lakini kumbe ni suruali na shati tu lakini hamna maajabu ndani yake..
Leo kaoa pisi kali,
binti laini, anapewa mbususu, mshedede hausimami na umepoa kama barafu, na wala hauna dalili hata ya kustuka tu. Na mkeo ndiyo yuko tayari hot anahitaji kupelekewa moto...
Inasikitisha sana,
Inasononesha sana,
Inafedhehesha sana wajemeni..
Leo hii kila kona ya nchi, mabaraza ya usuluhishi wa masuala ya ndoa mitaani, na kwenye madhehebu ya dini, yanahangaika sana usiku na mchana kusuluhisha kesi za vijana wadogo tu wa kiume kutowapatia haki ya tendo la ndoa wake zao kwa zaidi ya miezi mi3 au zaidi. Mshedede is no more. Kisingizio eti labda kalogwa. hakuna kulogwa ni madhara ya nyeto hayo.
Inaumiza sana mtima.
Ushauri wa jumla,
wewe kijana unaepanga kwenda kupiga nyeto sasa hivi na umeshaandaa na sabuni kabisaa naskia siku hizi mmeadvance kidogo mnatumia mafuta, nakushauri acha hiyo ujinga mara moja sawa! alaaa!
Na wewe ambae ndio umemaliza kupiga punyeto sasahivi. leo iwe ndiyo mwanzo na mwisho wa kufanya huo uchafu, lione kwanza.
Usinichekee kabisaa utakuja kujuta baadae kama hawa ambao sasa hivi wanatia hurumu..
Na wew ambae hujui nyeto ni nini, don't try even to know it or to learn it. Don't do it at home or at school.
Tunza afya yako ufurahie maisha yako.🐒
Mungu Ibariki Tanzania