Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mie nadhani kulogwa ndio kuna singiziwa zaidi,Mkuu, punyeto inasingiziwa tu.
Sidhani kama kuna mwanaume hajapitia hiyo kadhia maana wengi wakiwa mashuleni na vyuo huponea huko!
Tatizo la kukosa nguvu za kuchakata mbususu kikamilifu chanzo chake halisi ni vyakula na vinywaji visivyofaa
sasa hawa vijana wanakuja kushtakiwa na wake zao kwa kushindwa kupeleka moto, pamoja na mambo mengine huulizwa ikiwa wamefanya ponyeto na wengi wao wamekiri kuanzia wakiwa darasa la saba hadi pale walipooa na hapo hapo tatizo la mshedede kugoma kusimama likaanza...Punyeto inaongeza nguvu za kiume, not the contrary.
Upungufu wa nguvu za kiume kwa 98% ni psychological.
mlikua kazini wote,Umeoa mfanyakazi wote mnarudi jioni mpo hoi , mara mna migogoro ya fedha , kero za makazini mnakuja nazo mpka nyumbuni hizo nguvu za kiume na kike mtazitolea wap gentleman ?🐒
Hahaha Nyie itakuwa wanawadanganya wanamwaga molasisi humo mnadhani ute.Kwanza huko huko kwenye simu atakua ameshalowana kabla hata ajafika kwa sisi ambao hatujaoa 😁😁😁😁😁
mwaka wa 28 huu ndoa ipo imara hadi najiogopa,moto ule ulee,hata kama wewe unataka nikupelekee moto ilete tu hiyo mbususu uje utoe ushuhuda humu humuendelea tu na huo uchafu, na nimemshauri uache ache kabisa huo mchezo,
utasema yote ukifika kwenye ndoa tena hadharani kwa majuto sana 🐒
Ongea nao mkuu.Pia na wanawake wanakosa ujuzi kwenye ndoa zao wamezubaa! tena wamejisahau Sana unajua kuna wanawake wanaamini tendo la ndoa lazima aanzishe mwanaume hapo unakuta anahamu lakini hasemi anakuja kuonesha dalili zake baada ya muda huku mwanaume ana stress za madeni machine haisimami basi
lawama zinaanza! wadada kuweni
watundu wategeni wanaume wenu muda wote ili kuwavutia
Kwanza kinachohusisha uume kusimama kwa uimara ni mishipa ya damu, siyo misuli. Hao vijana mmewaharibu saikolojia kwa kuwaaminisha punyeto inasababisha hayo madhara.sasa hawa vijana wanakuja kushtakiwa na wake zao kwa kushindwa kupeleka moto, pamoja na mambo mengine huulizwa ikiwa wamefanya ponyeto na wengi wao wamekiri kuanzia wakiwa darasa la saba hadi pale walipooa na hapo hapo tatizo la mshedede kugoma kusimama likaanza...
misuli ya uume imesinyaa na source ya kuzalisha hizo nguvu za kijinsia imechakaa na kuzeeka kabla wewe hujazeeka, unazalisha vimaji tu kama kuku 🤣
nakubali sio misuli ni mishipa,Kwanza kinachohusisha uume kusimama kwa uimara ni mishipa ya damu, siyo misuli. Hao vijana mmewaharibu saikolojia kwa kuwaaminisha punyeto inasababisha hayo madhara.
Kwahiyo ni tatizo la saikolojia na kutokujiamini tu, mnaouza madawa fake ya kuongeza nguvu za kiume ndio mnawaharibu.
Punyeto kimsingi inaongeza nguvu za kiume.
Mkuu utake usitake jambo hilo ni hela.Unapigaje punyeto wakati bei ze shusha.
Na kuna hadi kifurushi cha kubeep mitandao yote
🤣🤣🤣🤣 Sikuhizi unam🥱....🙌Punyeto inaokoa mahali pasipo kuwa na msaada wa karibu , maswala ya nguvu za kiume ni drama tu za wauza dawa , mwanamke mwenye afya nzuri dakika tano tu zinatosha kumrithisha kinyume na hapo jua haupwendwi😅
😅😅😅 nina nini malizia🤣🤣🤣🤣 Sikuhizi unam🥱....🙌
🤣🤣🤣Una mdomo kweli 🥴😅😅😅 nina nini malizia
😁😁😁 hapana nina kula na pua, halafu nmekufananisha😁😁😁🤣🤣🤣Una mdomo kweli 🥴
🤣🤣🤣🤣Ni yuleyule...mzururaji🤒😁😁😁 hapana nina kula na pua, halafu nmekufananisha😁😁😁
Hakika😁😁🤣🤣🤣🤣Ni yuleyule...mzururaji🤒